Pole Catherine Magige, hii iwe fundisho kwa wadada maarufu nchini

Kwamba mume aligoma kuendelea na talaka na sio kwamba alitoa talaka ijumaa kama ninavyosikia?

Hapana siku hiyo ndiyo alikataa rasmi kuwa hana nia ya kutoa talaka,na inasemekana ni moja ya sababu ilimuudhi “mchumba” akaamua na kusepa zake kwenda Dodoma huku akimwacha akiwa ktk hali ya kuumwa,amefariki “Mchumba “ akiwa njiani ndiyo maana Marehemu aliomba aitiwe Mke wake wa Ndoa.
 
Kuna interview ya dada ake marehemu, amesema alipata cardiac arrest
Sijui ndugu yangu na mimi nasoma tu habari zake humu mitandaoni,kuna Member mmoja huku juu anasimulia alikuwepo Hospital wakati Marehemu anapelekwa hapo Hospital na akamuona akitoka kwa gari anatembea lakini kwa kupepesuka
Eeh na dada mtu kasema watu waende mahakamani wakaone kama kuna talaka imetolewa + hakuna cha uchumba labda tu pete za kuvalishana vichochoroni. Ila huyu wifi si ndiyo alikuwa anamsifia wifie Cathy huko mitandaoni?
 
Zile hasira na vurumai za kuvunja gate na makelele na vurugu na vitisho vya Catherine kumbe ilikuwa ni kwa ajili ya kuweka shada tu 😀😀😀😀😀😄😄😄😄😄😄 ila catherine ametumia nguvu nyingi sana kuwasilisha shada lake . Sijui kwa nini ? Michepuko wana nguvu sana msiwa underestimate jamani wooooiiii. Arusha yetu kiboko
 
Ukipata mchepuko Kama huyo Mrs Raha sana. Hawezi kukuambia umnunulie makochi au friji.
Gharama yako beer na gesti tu. Mume bwege atalisha na kulipa bili zote
Naoana anajilisha mwenyewe maana mumewe ni mtu mzito lkn yeye naona anajifanya madili anauajua na udalali juu wa vyumba na nyumba wkt kipindi kile alikuwa very classic lady.
 

Umesahau tabia za Mawifi,walikuwa wanamg’ong’a tu kipindi kaka yao yuko hai,sasa hivi ndiyo anaona hali halisi kuwa walikuwa wanamchukulia kama mpita njia tu. Nashindwa kabisa kuelewa huyu Magige hana Wazazi au Watu wazima ambao wangeweza kumshauri jana. Kama pana blunder amefanya kubwa ni jana.
 
Mnaafiki sana huyu Wifi kuna baadhi ya ndugu wa wanaume ni washenzi sana!!yaani huyu mama akae kwa macho manne hao ndugu ni vimeo vitupu
 
Hahahaa yule wifi ni kiboko aisee, anavyoongea kwa dharau sasa mweeh. Itakuwa walichokuwa wanakitaka kwa Cathy hawajakipata so akaona tu arudishe majeshi kwa mama mjengo. Kwa kweli amekosa mshauri, au ameshauriwa akagoma; si hakutaka aonekane ameshindwa
 
Wakurya wabishi sanaaa tena mnoooo
 
Kwahiyo alikuwa anaona ufahari kuitwa mjane[emoji25][emoji25][emoji25]
 
Katiba ya UMOJA WA MAWIFI NA MASHEMEJI TZ (UMMT)
Sura ya kwanza, sehemu ya pili ibara ya 8: shemeji/wifi anatakiwa kusifia na kumuunga mkono kila mpenzi anaetoka/ atakaetoka kimapenzi na ndugu yao pasipo kujari huyo mtu kama anadanganywa au anapendwa kweli.
 
Kwa kweli ndugu wa mume wengi ndivyo tulivyo, kasoro mimi[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…