johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Hahahaaaa........ huyo ni Diana Chilolo!View attachment 1800608Mamvi na JK ngoma droo!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaaaa........ huyo ni Diana Chilolo!View attachment 1800608Mamvi na JK ngoma droo!!
Kilichomuua huyo madoda Nini??
Kwamba mume aligoma kuendelea na talaka na sio kwamba alitoa talaka ijumaa kama ninavyosikia?
Maza alikua zaidi ya close na mamvi hahahaaHahahaaaa........ huyo ni Diana Chilolo!
Eeh na dada mtu kasema watu waende mahakamani wakaone kama kuna talaka imetolewa + hakuna cha uchumba labda tu pete za kuvalishana vichochoroni. Ila huyu wifi si ndiyo alikuwa anamsifia wifie Cathy huko mitandaoni?Sijui ndugu yangu na mimi nasoma tu habari zake humu mitandaoni,kuna Member mmoja huku juu anasimulia alikuwepo Hospital wakati Marehemu anapelekwa hapo Hospital na akamuona akitoka kwa gari anatembea lakini kwa kupepesuka
Hapana siku hiyo ndiyo alikataa rasmi kuwa hana nia ya kutoa talaka,na inasemekana ni moja ya sababu ilimuudhi “mchumba” akaamua na kusepa zake kwenda Dodoma huku akimwacha akiwa ktk hali ya kuumwa,amefariki “Mchumba “ akiwa njiani ndiyo maana Marehemu aliomba aitiwe Mke wake wa Ndoa.
Shabiby nasikia ni player hatari. Kama nishasikia pia nae ana fire.kama alipita na shabibu basi kweli atakua na ngoma huyo dada
Naoana anajilisha mwenyewe maana mumewe ni mtu mzito lkn yeye naona anajifanya madili anauajua na udalali juu wa vyumba na nyumba wkt kipindi kile alikuwa very classic lady.Ukipata mchepuko Kama huyo Mrs Raha sana. Hawezi kukuambia umnunulie makochi au friji.
Gharama yako beer na gesti tu. Mume bwege atalisha na kulipa bili zote
Kuna interview ya dada ake marehemu, amesema alipata cardiac arrestEeh na dada mtu kasema watu waende mahakamani wakaone kama kuna talaka imetolewa + hakuna cha uchumba labda tu pete za kuvalishana vichochoroni. Ila huyu wifi si ndiyo alikuwa anamsifia wifie Cathy huko mitandaoni?
Kaka Laigwani kwa hali ile aliyoayo kwa miaka mingi labda alikuwa anakula kwa machoHata Kama Edo alipita.
Dakika sifuri unaumbuka si yakuingilia kabisamambo ya watu ndani ni magumu mno
binafsi siwezi kuwa mzngumzaji wa mahusiano ya watu wanaojifunika shuka moja.
Mnaafiki sana huyu Wifi kuna baadhi ya ndugu wa wanaume ni washenzi sana!!yaani huyu mama akae kwa macho manne hao ndugu ni vimeo vitupuKuna interview ya dada ake marehemu, amesema alipata cardiac arrestEeh na dada mtu kasema watu waende mahakamani wakaone kama kuna talaka imetolewa + hakuna cha uchumba labda tu pete za kuvalishana vichochoroni. Ila huyu wifi si ndiyo alikuwa anamsifia wifie Cathy huko mitandaoni?
Umesahau tabia za Mawifi,walikuwa wanamg’ong’a tu kipindi kaka yao yuko hai,sasa hivi ndiyo anaona hali halisi kuwa walikuwa wanamchukulia kama mpita njia tu. Nashindwa kabisa kuelewa huyu Magige hana Wazazi au Watu wazima ambao wangeweza kumshauri jana. Kama pana blunder amefanya kubwa ni jana.
Wakurya wabishi sanaaa tena mnooooUmesahau tabia za Mawifi,walikuwa wanamg’ong’a tu kipindi kaka yao yuko hai,sasa hivi ndiyo anaona hali halisi kuwa walikuwa wanamchukulia kama mpita njia tu. Nashindwa kabisa kuelewa huyu Magige hana Wazazi au Watu wazima ambao wangeweza kumshauri jana. Kama pana blunder amefanya kubwa ni jana.
Mnaafiki sana huyu Wifi kuna baadhi ya ndugu wa wanaume ni washenzi sana!!yaani huyu mama akae kwa macho manne hao ndugu ni vimeo vitupu
Kama.ni hivyo alikuwa bado anamwitaji mkewe huko kwingine alikuwa tu anasuuza mkia tuMwanaume mara ya mwisho Mahakamani aligoma kuwa hataki kuendelea na kesi ya Taraka. Unadhani ndugu zake ni wajinga kusimama na mke wake wa Ndoa?
Kwahiyo alikuwa anaona ufahari kuitwa mjane[emoji25][emoji25][emoji25]Ahaaaa mme wa mtu sumu, nimekumbuka mdada alofiwa na sponsor. Alilia kwa uchungu alitinga msibani na timu yake mzima, mara gari la vinywaji na likafika, michele na mazagazaga kama yote.
Msibani watu wote macho kwa yule dada.sijawahi ona dada mwenye msimamo kama ule.
Alikuwa ni mchepuko ila wanaukoo wengi walikuwa wakimjua.
Yaan raha ya sponsor awe na hela, maana mchepuko ule ulitia pesa kila kitu chenye kasoro kilirekebishwa pale pale.
Marafiki wa marehemu nao walimpa nguvu mchepuko. Mafundi wa kujenga kaburi wakaletwa wapya. Watu wote walishika mdomo.
Mke mkubwa kimyaa hakusema chochote. Ile timu ta mchepuko na sare zao sasa mmmh.!!!!!!
Ni miezi 7 tangu mme wa mchepuko afe ila kila weekend mchepuko anaenda nyumbani kwa marehemu anasafisha kaburi, anapulizia perfume,maua na anaondoka.
Pesa ina nguvu nyie!!!!
Sema yeye hakuleta fujo.aligharamikia nsiba wote.kila kitu.
Mnaafiki na ni mtu mbaya Sanaa,awe makini sana Huyo mke hana ndugu hapo asimame tu Mungu Ila kiukweli kabisa wifi ni nyokkaaa tena wa vichwa saba...!!!Kwa kweli wifi wa vile sio wa kumuamini kabisa,
Katiba ya UMOJA WA MAWIFI NA MASHEMEJI TZ (UMMT)Kuna interview ya dada ake marehemu, amesema alipata cardiac arrestEeh na dada mtu kasema watu waende mahakamani wakaone kama kuna talaka imetolewa + hakuna cha uchumba labda tu pete za kuvalishana vichochoroni. Ila huyu wifi si ndiyo alikuwa anamsifia wifie Cathy huko mitandaoni?
Katiba ya UMOJA WA MAWIFI NA MASHEMEJI TZ (UMMT)
Sura ya kwanza, sehemu ya pili ibara ya 8: shemeji/wifi anatakiwa kusifia na kumuunga mkono kila mpenzi anaetoka/ atakaetoka kimapenzi na ndugu yao pasipo kujari huyo mtu kama anadanganywa au anapendwa kweli.