Pole Catherine Magige, hii iwe fundisho kwa wadada maarufu nchini

Aziza Hana influence Kama Cath ndo maana waona wako kimya.

Ingekuwa Cath Hana influence ungeona salamu za pole kila Kona Kama napata
Acha bangi kwanza kisha tibiwa ndo uje kuandika hapa
 
Nasikia hata tajiri wa mabasi wa Dodoma ambaye pia ni mbunge alipita nae nyakati Fulani.

Pia nasikia Yule msanii icon nae aliteleza nae

Pia nasikia mbunge Fulani wa huko Geita alijiburuza nae

Si Haba
Anagawa pipi kwa wenye umate mate.

Subiri wakianza kukatika kama umeme wa kojani
 
Ni wewe dada yake uliyekuwa unang'ata pendo la mawifi wote bila shaka. [emoji848][emoji848][emoji848]

Maana hili jina linafanana kidogo na la wifi wao wakina Cathy linalotumika Instagram

Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
WiFi dizaini ya Yule dadake diamond [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Anakwenda na upepo wa kakake[emoji1]
 
Kisa nafasi zao. Ingekuwa mi ndo Aziza Sasa hivi Niko rumande ningempiga kisu.
 
Haya, na mengine mengi ya aibu, yanaweza kuepukwa kwa wanandoa kujaribu kuishi maisha ya uaminifu katika ndoa zao. Tabia hii ya kuwa na michepuko na kuzaa zaa nje huko siyo nzuri kwa wanandoa na mwisho wake ndo kama hivi. Aibu tupu mtu unazikwa na maugomvi watu wakigombea mali ulizoacha.
 
Marehemu anaendelea kuishi kati yetu kupitia matendo yake enzi za uhai wake
 
Dah si angeishia kuaga kanisani (kama aliagiwa kanisani)................. Mpaka na shada katengeneza na kwenda kuliweka?! Dah
Mwanakulifind...........
 
Tena unamfunika gubigubi [emoji3][emoji3][emoji3] nachekà kama mazuri, napiga picha ambavyo ungemnyanyua kama paka vile kalamba maziwa
 
Mungu awabariki sana aisee. Tunaona huku hekaheka za mawifi, hatari sana
 
Ni wewe dada yake uliyekuwa unang'ata pendo la mawifi wote bila shaka. [emoji848][emoji848][emoji848]

Maana hili jina linafanana kidogo na la wifi wao wakina Cathy linalotumika Instagram

Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
Ndugu wa mme walio wengi huwa wanafiki sana hawanaga maana yeyote
 
Familia yenu inamjua MUNGU, usiombe ukutane na familia ya wademkaji uwii majeshi yote wanahamishia huko nyumba ndogo!
 
Shida yetu Wanawake ni kujiona wewe ni bora kuliko aliyekuwepo. Ukianza kupigwa matukio ndiyo unajiona kumbe na wewe ulikuwa boya tu uliuvaa mkenge kama uliyekuwa unamdharau
Hivi ni kweli wanawake hampendani?
 
Umeandaa mazingira gani baina ya mkeo na mchepuko pindi utakapo kufa?
Umeenda mazingira gani kati ya watoto wa mkeo na wamchepuko wako pindi utakapokuwa haupo tena hai au hauna tena nguvu kama sasa?
Vip ndugu(waoande zote mbili ukweni na kwenu) na familia wanamahusiano gani?

Ukipata majibu yake utajua nn kitatokea baada ya kifo chako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…