Pole Catherine Magige, hii iwe fundisho kwa wadada maarufu nchini

Mwanaume halisi na mwenye kisu hahangaiki na kuomba namba dm...yaan automatic utajikuta unapata wepesi tu kupata namba yake!yaan unaletewa tu namb! Masuala ya kuombana namba ni dalili kuu ya ww maisha kuunga unga
Dah.. mkuu umeninyong'onyeza sana. Kwahiyo kumbe sisi wanaume tusio na kisu sio wanaume halisi..?🙄
 
Seriously wabunge wenye akili kama za huyu cathy means tuna safari ndefu sana kama taifa. Nasikia ana masters ya mzumbe lakini mbona kama ana behave kama ndalandefu kutoka sakina au unga ltd.

#Vitimaalumbasisasa wanakula jasho letu bila maana yoyote. Arusha na ujanja wote ccm wanapitisha mtu huyuhuyu zaidi ya 15 yrs mbunge wa viti maalum arusha Uvccm. Akili ndogo anagombania hawala maiti hata kama ana fedha ni kujifedhehesha.
 
Huyu ndiyo yule 1st lady wa wasafi kila event yupo. Inakumbusha vicky kamata alivyotapeliwa na charles mzena baada ya kuchangisha michango ya harusi halafu mke halali wa charls akaweka pingamizi. Michango msela kaikamata halafu ndoa hakufunga.Mambo ya mjini hayo.
 
Wanaume wenye mahawara wanapaswa kujua madhira wanayowasababishia watoto na wake zao baada ya kufa. Ni aibu na ujinga mtupu ukiachia mbali ubinafsi. Angekuwa anafaa si angemuoa badala ya kumweka kinyumba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…