Wanaume wenye mahawara wanapaswa kujua madhira wanayowasababishia watoto na wake zao baada ya kufa. Ni aibu na ujinga mtupu ukiachia mbali ubinafsi. Angekuwa anafaa si angemuoa badala ya kumweka kinyumba.
Achana na kutowafahamu mkuu. Mimi hata hii habari ndio naiona hapa mda huu.Ajabu sana wote wanaoongelewa hapa siwafahamu
WaoajiNa nani!?
Tatizo pia Cath Ana historia chafu. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]ukahaba na kupola Waume wa wengi. Alimpola shigela kwa mtu. Kagesheki akawa mke wa 2
Fire ujitose uungueYaani tujitose kwenye movement za electrons[emoji15]
Costa 2 walau1. M
2. Then K
3. Then S
4. Then M
5. Then C
6. Then the late
Hapo hatujahesabu one night stand
Hivi mwanamke akiwa na miaka 55 anapaswa awe ametembea na wanaume wangapi?
Weka....mzeenajitahidi kuweka video nzima japo haina maadili
Faili lake kichama lilikuwa safi Mkiti kapitishaHivi hawa wanawake wanaopewa viti Maalum huko ccm wanapatikanaje , mbona huyu Catherine Magige haonekani kuwa na hadhi ya ubunge ? anagombea maiti ya Mume wa mtu ili iweje ?
Kuna video inazunguka huko mitandaoni hadi aibu , nitajaribu kuidukua ili mjionee wenyewe .
Aibu kubwa sana !Faili lake kichama lilikuwa safi Mkiti kapitisha
Kwanini umeitaja CCM kwa matendo maovu ya mhusika binafsi? Hata kama angekuwa ni wa CHADEMA, aibu ya mbunge ni aibu kwa taifa zima kwa maana analipwa/alikuwa analipwa kupitia kodi za watanzania wote.Aibu alizoleta mbunge wa Viti Maalum wa ccm Magige kwenye Msiba wa anayedaiwa ni Mchumba wake zinabebwa na nani ?