Pole Jacquiline, walimwengu ndo tulivyo

Pole Jacquiline, walimwengu ndo tulivyo

Aikambee unatamani Mengi angekuoa wewe hahaha Mengi alijua wanawake wa kichaga watamuua mapema ndio maana akamuoa jacline. Kama sio Jack Mengi angekufa siku nyingi sana na alishasema mwenyewe
Yaani jamaa kila uzi yupo si bure alikuwa mchepuko wa mzee
 
Nimekuuliza swali kwa kukutega vizuri umekuja kule nataka Sasa kama mnakunywa damu ya ng'ombe ya binadamu lazima mnywe yaani huo mkoa inatakiwa muoane wenyewe na kafara zenu za kijinga.

Kunywa damu ya mtu ni kinyume na sheria na mila za Kichagga.

Hivi unaanzaje kunywa damu ya mtu?

Serikali itakuacha?

Embu fikiri vizuri kuhusu hill, yaani unywe damu ya mtu usijulikane!

Hapana, damu ya mbuzi na ng'ombe tunapika na kunywa maana ni safi na salama.

Ila ya mtu hapana, hili halipo kabisa
 
Wanaomzushia Jack upuuzi wowote ni wachawi wa kiwango cha shetani.
 
Nimegundua wewe ni mjinga na bado mtoto sana, wachagga wenzio wenye akili timamu nipo nao huku mlimani wanabeba mizigo ya wazungu(wageni) ili wapate japo chochote kitu. Wewe unalilia mali zisizo kuhusu kama hauna kazi njoo huku nikupe mchongo nawewe ubebe mizigo mtoto
Ndiyo nimeshasema sasa. Kama imekuuma basi chomoa
 
Utakuja kulaaniwa wewe mjinga hivi unajua maana ya neno "Takatifu"? Au unaongea tu upuuzi, mimi nimekaa na wachagga for more than 18 years nawafaham in and out na sijaona huo utakatifu. Jiamini na kabila lako wacha kua na inferior but nimeshakwambia kama hauna kazi njoo ubebe mizigo ya hawa jamaa upate chochote kitu sio kukomalia yasiyo kuhusu
Chagga ni kabila Takatifu. Sikalazimishi kuamini. Kama imekuuma mezea, sawa!
 
Sasa kama wanaua, kwanini hawachukuliwi hatua za kisheria?

Serikali haioni?

Acheni uzushi.

Huyu Malaya wa ki2si lazima anyooshwe nyoko ninyi
Kwa hyo huyo wa kitutsi ndio amechukuliwa hatua za kisheria?Kwa Nini wachaga hamtaki kuambiwa ukweli?
Mimi sipo upande wowote katika hayo makabila isipokuwa wachaga naishi nao jirani kiukweli Wana roho mbaya mno.
Kuna mama mmoja wa kichaga alimfukuza mzazi mwenzake kwa kumtupia mabegi nje na matusi mengi hali ya kuwa walijenga wote nyumba.
Sasa mtu Kama huyu Anashindwa kumuua mtu?
 
Mkuu una raha sana, unaweza kufahamu mtu ana mapenzi ya dhati kwa kumuangalia tu? Natamani ningekuwa kama wewe
 
Maneno kama hayo yanayosambaa kama huna moyo wa chuma yanaumiza sana, inatakiwa uwe fedhuli wa roho mbaya kuweza kuyahimili, sijui Dada Jacky yupo kwenye hali gani kwa sasa, Mungu amzidishie kuwatia moyo wafiwa, time will tell

Ni nani mwenye hizo sifa zaidi ya huyo Jack??
 
Watusi mnaangaika sana.

"Watoto zake" ni moja ya kiashiria kwamba mtoa mada ni Myarwanda.

Naona anatetea Mtusi mwenzake.

Wachagga Siku zote Tupo macho.

Hatuwezi kuacha jambo lipite hivihivi wakati kuna mazingira na kelele za ajabu.

Chagga ni Taifa, ni damu, ni jamii imara.

Semeni sana, ila ukweli utajulikana tu.
Hata ukijulikana huo ukweli wewe utakusaidia nini ???
 
Kwa hyo huyo wa kitutsi ndio amechukuliwa hatua za kisheria?Kwa Nini wachaga hamtaki kuambiwa ukweli?
Mimi sipo upande wowote katika hayo makabila isipokuwa wachaga naishi nao jirani kiukweli Wana roho mbaya mno.
Kuna mama mmoja wa kichaga alimfukuza mzazi mwenzake kwa kumtupia mabegi nje na matusi mengi hali ya kuwa walijenga wote nyumba.
Sasa mtu Kama huyu Anashindwa kumuua mtu?

Sasa kama ulishindwa kumuuliza jirani yako, kwanini uje kunihoji Mimi?

Hilo la mauaji mnasema tu. Ila inashangaza, hivi kweli Wachagga tumekuwa wababe kiasi cha kuua bila kujulikana na serikali?

Kwa timekuwa mafia nchi hii.

Acha uongo
 
Utakuja kulaaniwa wewe mjinga hivi unajua maana ya neno "Takatifu"? Au unaongea tu upuuzi, mimi nimekaa na wachagga for more than 18 years nawafaham in and out na sijaona huo utakatifu. Jiamini na kabila lako wacha kua na inferior but nimeshakwambia kama hauna kazi njoo ubebe mizigo ya hawa jamaa upate chochote kitu sio kukomalia yasiyo kuhusu

In the name of Holy Chagga Tribe, Mimi siyo punda masikini kama vyasaka kubeba mizigo.
 
Nimegundua wewe ni mjinga na bado mtoto sana, wachagga wenzio wenye akili timamu nipo nao huku mlimani wanabeba mizigo ya wazungu(wageni) ili wapate japo chochote kitu. Wewe unalilia mali zisizo kuhusu kama hauna kazi njoo huku nikupe mchongo nawewe ubebe mizigo mtoto

Sasa kuwa Porter umeona ni dili sana?
 
Njoo nikupe kazi kijana unaonekana hauna ishu upo upo tu kupangia watu upuuzi wako, njoo Marangu gate ukifika nitafute kiroho safi.

Sawa mkuu, nitakuja Christmas huko.

Huko December lazima nifike kuhiji na kutalii.
 
Back
Top Bottom