NaughtyGuy
JF-Expert Member
- Nov 10, 2017
- 1,747
- 1,939
What if ni kweli?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani jamaa kila uzi yupo si bure alikuwa mchepuko wa mzeeAikambee unatamani Mengi angekuoa wewe hahaha Mengi alijua wanawake wa kichaga watamuua mapema ndio maana akamuoa jacline. Kama sio Jack Mengi angekufa siku nyingi sana na alishasema mwenyewe
Nimekuuliza swali kwa kukutega vizuri umekuja kule nataka Sasa kama mnakunywa damu ya ng'ombe ya binadamu lazima mnywe yaani huo mkoa inatakiwa muoane wenyewe na kafara zenu za kijinga.
Ndiyo nimeshasema sasa. Kama imekuuma basi chomoa
Chagga ni kabila Takatifu. Sikalazimishi kuamini. Kama imekuuma mezea, sawa!
Kwa hyo huyo wa kitutsi ndio amechukuliwa hatua za kisheria?Kwa Nini wachaga hamtaki kuambiwa ukweli?Sasa kama wanaua, kwanini hawachukuliwi hatua za kisheria?
Serikali haioni?
Acheni uzushi.
Huyu Malaya wa ki2si lazima anyooshwe nyoko ninyi
Maneno kama hayo yanayosambaa kama huna moyo wa chuma yanaumiza sana, inatakiwa uwe fedhuli wa roho mbaya kuweza kuyahimili, sijui Dada Jacky yupo kwenye hali gani kwa sasa, Mungu amzidishie kuwatia moyo wafiwa, time will tell
Hata ukijulikana huo ukweli wewe utakusaidia nini ???Watusi mnaangaika sana.
"Watoto zake" ni moja ya kiashiria kwamba mtoa mada ni Myarwanda.
Naona anatetea Mtusi mwenzake.
Wachagga Siku zote Tupo macho.
Hatuwezi kuacha jambo lipite hivihivi wakati kuna mazingira na kelele za ajabu.
Chagga ni Taifa, ni damu, ni jamii imara.
Semeni sana, ila ukweli utajulikana tu.
Ndio hapo hata mimi nashindwa kushangaa, watanzania sisi ni wanafiki kweli.Huu ni unafki kama ulivyo unafki mwingine tu, aliyeoa hakusimangwa akiwa hai bali asimangwaye ni aliyeolewa muoaji akiwa maiti...
Ni nani mwenye hizo sifa zaidi ya huyo Jack??
Mbona povu jingi sana?
Hivi unaweza kumzungusha mzazi wako mzee kwenye daladala kutwa kucha?
Hata ukijulikana huo ukweli wewe utakusaidia nini ???
Kwa hyo huyo wa kitutsi ndio amechukuliwa hatua za kisheria?Kwa Nini wachaga hamtaki kuambiwa ukweli?
Mimi sipo upande wowote katika hayo makabila isipokuwa wachaga naishi nao jirani kiukweli Wana roho mbaya mno.
Kuna mama mmoja wa kichaga alimfukuza mzazi mwenzake kwa kumtupia mabegi nje na matusi mengi hali ya kuwa walijenga wote nyumba.
Sasa mtu Kama huyu Anashindwa kumuua mtu?
Utakuja kulaaniwa wewe mjinga hivi unajua maana ya neno "Takatifu"? Au unaongea tu upuuzi, mimi nimekaa na wachagga for more than 18 years nawafaham in and out na sijaona huo utakatifu. Jiamini na kabila lako wacha kua na inferior but nimeshakwambia kama hauna kazi njoo ubebe mizigo ya hawa jamaa upate chochote kitu sio kukomalia yasiyo kuhusu
Nimegundua wewe ni mjinga na bado mtoto sana, wachagga wenzio wenye akili timamu nipo nao huku mlimani wanabeba mizigo ya wazungu(wageni) ili wapate japo chochote kitu. Wewe unalilia mali zisizo kuhusu kama hauna kazi njoo huku nikupe mchongo nawewe ubebe mizigo mtoto
Sasa kuwa Porter umeona ni dili sana?
Njoo nikupe kazi kijana unaonekana hauna ishu upo upo tu kupangia watu upuuzi wako, njoo Marangu gate ukifika nitafute kiroho safi.