Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Jamiiforums alikuwepo mwenyewe Maxence in Melo person.Hongera kwakutuwakilisha Wana jf
RIP William sijui Mzee wa watu kabaki na wangapi sasaInaumiza sana kwa mzazi kuwazika watoto wako. Tunatarajia watoto wetu watuzike na sio kinyume chake.
RIP William, pole kwa familia ya mzee Malecela.
Pics please.Jamiiforums alikuwepo mwenyewe Max Melo in person.
Pole mzee Malecela na familia.Inauma!
Mtu akiwa wa umri, anategemea kimaisha watoto kumzika baba au wazazi...
Kiroho hili lina maana kubwa sana. Ingawa kiafrika kulisem itaonekana kama unamnanga mfiwa.Inauma!
Mtu akiwa wa umri, anategemea kimaisha watoto kumzika baba au wazazi...
Naona wahuni watupu isipokuwa Mello na wengine wawiliIn attendace:
MC Haji Manara
Mwekekiti Kamati -Kimbau
Naibu Spika Zungu
Mbunge Jerry Slaa
Mbunge Catherine Magige((Le Mbebez)
Mbunge Babu Tale-"PhD"
Mstahiki Meya WA JIJI
Maxence Melo
Wakurugenzi DSTV, ASAS, Chefs Pride,
Mabibi na mabwana na waombolezaji!
Kama ulikuwepo tia neno.
Kila aliye na roho huliliwa na wa kwake, lia na wanaolia!Naona wahuni watupu isipokuwa Mello na wengine wawili
Inafikirisha sana.Kiroho hili lina maana kubwa sana. Ingawa kiafrika kulisem itaonekana kama unamnanga mfiwa.
Hapa kuna kitu Mungu anamfundisha mzee Malecela na sitakisema kwenye jukwaa hili.
Kuzika watoto wanne is not a joke.
😅😅😅daah watu nyieNaona wahuni watupu isipokuwa Mello na wengine wawili
Hivi hyo PhD Ina baraka za TCU kweli?In attendace:
MC Haji Manara
Mwekekiti Kamati -Kimbau
Naibu Spika Zungu
Mbunge Jerry Slaa
Mbunge Catherine Magige((Le Mbebez)
Mbunge Babu Tale-"PhD"
Mstahiki Meya WA JIJI
Maxence Melo
Wakurugenzi DSTV, ASAS, Chefs Pride,
Mabibi na mabwana na waombolezaji!
Kama ulikuwepo tia neno.
ungelisema tu kwa faida ya wengineKiroho hili lina maana kubwa sana. Ingawa kiafrika kulisem itaonekana kama unamnanga mfiwa.
Hapa kuna kitu Mungu anamfundisha mzee Malecela na sitakisema kwenye jukwaa hili.
Kuzika watoto wanne is not a joke.
Wazalendo watanipopoa 😅ungelisema tu kwa faida ya wengine
mambo ya rohoni sio ya kufichana