Pole mzee Malecela, amepoteza watoto wanne!

Halo huyo Anne kilango atakuwa kaenda kwao huko upareni Kuna kijijini kinaogopeka Kwa uchawi sio Bure aisee.
Huyo Tatu Ntimizi bado yuko hai?
Atakuwa yupo hai,aliwahi kuwa mbunge na Naibu waziri.Angekuwa hayupo hai kifo chake kingechapishwa humu.Atakuwa yupo analea wajukuu.
 
Well said mkuu..huo upande wa pili wana binadamu haramu
 
Halo huyo Anne kilango atakuwa kaenda kwao huko upareni Kuna kijijini kinaogopeka Kwa uchawi sio Bure aisee.
Huyo Anna Kilango Malecela mwenyewe 2015 alikoswa koswa kuuawa akiwa naibu waziri kwa kuvamiwa na majambazi yaliyomjeruhi akiwa safarini nusura naye aondoke alikoswa koswa
 
Huyo Anna Kilango Malecela mwenyewe 2015 alikoswa koswa kuuawa akiwa naibu waziri kwa kuvamiwa na majambazi yaliyomjeruhi akiwa safarini nusura naye aondoke alikoswa koswa
Halo Kuna jambo ambalo si la kawaida kinaendelea kwenye hizi familia.
 
Huyu Babu ni mkongwe anaongea HADI na mawziri waliopo humu nchini kama anampigia rafiki take wa karibu!!

Ananiambia siasa ni mfumo wa kilimwengu huwezi ingia halafu ukadumu hivi hivi!

Lazima uwe umepikwa eti ki Mungu Mungu huchomoki!!!
Kwa hiyo hata JPM kule kumtaja Mungu kwenye kila kitu ni maigizo tu? Ni kwamba naye alipikwa haswa?
 
Mzee alitekwa na mama wa kinyakys

Kuna vitu vingine unaweza ukazungumza humu ukaonekana
Kama unamkejeli marehemu
Ila all in all marehemu alipitia kipindi
Kigumu sana..

Ova
 
Dah hapa natamani kujazia nyama
Sema sasa itakuwa kama tunamdhihaki marehemu
Ila wazee wetu hawa sometime wanazingua sana

Ova
 
Duh ,km ni kweli basi kazi ipo!
Ss na mkewe je? Nae shida nn?
Sidhani km hajielewi either amefungwa au alipewa mashart magumu mno alipotaka kurekebisha.

Huyo jaji aneitwa mwenda sijui, nimesoma kule utube kuwa nae ni mgonjwa mno tena wa muda mrefu.
nikasema mhh ,kumekucha hapa ....

hivi hao watt wanakufa Kwa umri upi ?
 
Dah hapa natamani kujazia nyama
Sema sasa itakuwa kama tunamdhihaki marehemu
Ila wazee wetu hawa sometime wanazingua sana

Ova
Alizaliwa kabla according to nilivyosoma story...
Ile. Kwamba mama mzazi na mama wa kambo walikuwa marafiki na baadae kuwa maadui wakubwa ,Kuna kitu hapa katikati hakiko sawa Kwa Hawa wamama na wote ndo walishakufa ..
Sad, mhanga wa hiyo vita akawa mtt ,jmn!
Walivyo wanafiki, kwenye wasifu wa marehemu nimesikiliA utube kule,eti ndo Leo hii wanasema alikuwa mtt wa kwanza wa Mzee jamani ,hizi familia 🙌🙌.

Wakati walikuwa wanamtenga akiwa hai....
 
Kwenye mazishi ya Mwele, katika orodha ya watoto wa John Malecela huyo marehemu Le Mutuz was left out. Hata mwenyewe hakuhudhuria mazishi ya dada yake!!
 
Kwenye mazishi ya Mwele, katika orodha ya watoto wa John Malecela huyo marehemu Le Mutuz was left out. Hata mwenyewe hakuhudhuria mazishi ya dada yake!!
Ni kweli hata msiba wa huyomdogo ake wa kiume lupy sijui ,walikuwa wanamtenga ,mtt mwenyewe 1 Tena wamemkuta
Je wangekua na wazazi km wa kwetu Hawa ? Watt Kila Kona mpk aibu wangeganyaje?
 
Tutasema sana lakini ni kawaida tuu, vifo kwenye familia vinatokea sana na kila siku, na ukiangalia vizuri baadhi ya watoto wake wameishi zaidi miaka zaidi ya 50 au 60, kwa bongo hiyo miaka wengi hawafikishi, bongo ukifika 70 umeishi sana na mara nyingi umri huo ni magonjwa tuu kuanzia kiuno mpaka nywele
 
Lupi hata ukimuangalia alikuwa overweight na nafikiri lifestyle yake ya pombe na misosi haikuwa nzuri sana
Kwao wote Wana miili mikubwa hata Samweli bonge la mtu kaenda hewani.., I think sbb mama zao wanyak's,maana wale Wana miili mikubwa
Nimeona utube wanasema huyo jaji ni mgonjwa sna🤔
Nikasem,kumekucha 😷
 
Kwenye mazishi ya Mwele, katika orodha ya watoto wa John Malecela huyo marehemu Le Mutuz was left out. Hata mwenyewe hakuhudhuria mazishi ya dada yake!!
Inaonekana lemutuz hakupata some love from family maana nasikia hata watoto wake na x wake ilikuwa vita tupu, sometimes maisha ndio hivyo ila safari ni moja kwa kila mtu na kila mtu na changamoto zake...RIP lemutuz
 
Ni kweli ukiona mtu amakula bata na kutaka kuthibitishia umma kuwa ana furaha kwa kutumia nguvu know he has someting to hide.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…