Pole mzee Malecela, amepoteza watoto wanne!

Pole mzee Malecela, amepoteza watoto wanne!

Jana nilimuuliza mzee mmoja kada na mtaalam sana wa jadi kwamba ni Nini hiki!!?
Akaniambia wakati mzee anatafuta maisha ya kisiasa alienda sehem kurekebishiwa MAMBO fulani sasa baada ya kupata akakiuka masharti sasa hayo madudu yanalipa KWA kuchukua wanafamilia baadae ataenda na yeye!!!

Nikamdadisi kwani ANAWEZA saidiwa!?akasema ndio sema ye mwenyewe hajitambui kama yanamla hayo madudu!!

Nilimshangaaa sana Mzee yaani aiseh!

Haya maisha HAYA!!

Hii Inawezekana pia,siasa ina mambo mengi
Katika kuhangaika kuna sehemu alipita na kasahau
 
Hii Inawezekana pia,siasa ina mambo mengi
Katika kuhangaika kuna sehemu alipita na kasahau
Huyu Babu ni mkongwe anaongea HADI na mawziri waliopo humu nchini kama anampigia rafiki take wa karibu!!

Ananiambia siasa ni mfumo wa kilimwengu huwezi ingia halafu ukadumu hivi hivi!

Lazima uwe umepikwa eti ki Mungu Mungu huchomoki!!!
 
Jana nilimuuliza mzee mmoja kada na mtaalam sana wa jadi kwamba ni Nini hiki!!?
Akaniambia wakati mzee anatafuta maisha ya kisiasa alienda sehem kurekebishiwa MAMBO fulani sasa baada ya kupata akakiuka masharti sasa hayo madudu yanalipa KWA kuchukua wanafamilia baadae ataenda na yeye!!!

Nikamdadisi kwani ANAWEZA saidiwa!?akasema ndio sema ye mwenyewe hajitambui kama yanamla hayo madudu!!

Nilimshangaaa sana Mzee yaani aiseh!

Haya maisha HAYA!!
Babu yangu mzaa mama alifanya huo usenge kwa kuua watoto amebaki mwanae mmoja tu, pumbavu sana yule cheupe
 
Huko kwetu kuna mzee alizika namna hii, watoto walitangulizana hadi kijiji kikaogopa, alijaliwa watoto wengi lakini vijana wake wanne walianguka kwa space ya mda mfupi sana, tena wote wa kiume. Akaitwa na wazee wenzake, wakaongea, sijui kilichofanyika ila baada ya hapo bahari ikawa shwari.
Wengine hutoa kafara watoto wao kuna watu wazima wengine hovyo sana inanaliza watoto kwa kuwatoa makafara yasiyoisha
 
OIF.IZbuKpy8ek6Z9mtXRIbb9Q
Inauma!

Mtu akiwa wa umri, anategemea kimaisha watoto kumzika baba au wazazi.

Kwa mzee Samwel Malecela imekuwa kinyume.

Kwa kushuhudia msiba wa mtoto wake wa nne, imesikitisha sana.

Nimehudhuria shughuli za kumuaga Le Mutuz, Le Mbebez, William Samwel Malecela.

RIP Le Mutuz
Mtoto wa ujanani wa mzee,du inaumiza sana, Watoto wa mzee wanakufa vifo vya ghafla sana, marehemu Ipi, Senyagwa, le MUTUZ
 
Duh noma sana! Ila wakati mwingine ni masuala ya kiroho sema watu hawaelewi!
Kanuni ninrahisi sana

Usimuache mwanamke wako wa ujanani baada ya kupata mafanikio!!

Yaani

Wewe kuwa na mke wa pili tatu nne lakini yule aliekuchemshia dawa za kuoga wakati unautafuta ukuu usimuache hata kidogo mpe maisha mpe kwake hakikisha hakosi kitu chochote yaani mdekeze!!

Babu aliniambia hii kitu!

Anasema UKimuacha tu mkeo baada ya mafanikio hata kama ni ya dawa kule kuumiza kwake tu ubapoteza na wadhifa wako!!!

Nilimuelewa sana!!
 
Aiseee 🤔
Sa mke wa ndoa nae (marehemu) si alimpiku mama ake na Huyu marehemu William!
Maana imebidi nikasome historia yake aiseee, Kuna kitu hakiko sawa
Sasa mke wa ndoa ndo alieolewa,Wanaume si huwa wanakuwa na girl friends wengi.Sema anachagua mmoja tu wa kumuoa .Ndo Ezerina Mwaipopo aliubamba moyo wa John.Akawa mkewe.Huyu mama alikuwa mwanasheria msomi. Na ndo maana hakuzaa kilaza.Wanae wote ni vipanga.
 
Kama ulikuwa unamsoma Le mutuz ni kwamba ndugu zake Kwa kupitia mama Yao walikuwa wanambagua na kuweka mazingira ya yeye asije kurithi chochote Kwa Baba Yao ..
So hao ndugu zake ndo hao karibu watatu wakafa kabla yake ...na kabla ya Baba yao...
Na the fact le mutuz aliwahi zungumzia watu kugombania urithi wa Baba yao huku Baba yao hajafa ...now unaona kilichotokea...ni kuwa kama waliogombania kumrithi Mzee wao..Wengi wao kama sio wote wamekufa wao.....a bit kama uchuro hivi Kwa watoto kugombea urithi wa mtu ambae hajafa ...kama ni kweli hiii ndo ilikuwa fact ... according to marehemu mwenyewe... nilivyoelewa Mimi ..
 
Ndugu zake waliofariki ni wanne.ipi,dr Merle na kuna wawili wali pats ajali pale mbuyuni osterbay
 
In attendace:
MC Haji Manara
Mwekekiti Kamati -Kimbau
Naibu Spika Zungu
Mbunge Jerry Slaa
Mbunge Catherine Magige((Le Mbebez)
Mbunge Babu Tale-"PhD"
Mstahiki Meya WA JIJI
Maxence Melo
Wakurugenzi DSTV, ASAS, Chefs Pride,
Mabibi na mabwana na waombolezaji!

Kama ulikuwepo tia neno.

UPDATE
Aniwie radhi sana mheshimiwa Bashite a.k.a Paul Makonda, naye alikuwepo
1684247348622.png
 
Huyo mama alimtoa Tatu Ntimizi,watu wote walijua Tatu Ntimizi ndo ataolewa,hadi mzee alibadili dini na kujiita Jumanne cof of Tatu,ila Anne kapambana mpaka akaolewa yeye.Mke wa ndoa nae aliugua kimaajabu alitibiwa mpaka Kigoma huko enzi zile Makamba ni mkuu wa mkoa Kigoma. Ikute mama wa watu michepuko ndo walimpiga juju. Ila mzee nae alikuwa zip wazi enzi zake ,mweh..
Halo huyo Anne kilango atakuwa kaenda kwao huko upareni Kuna kijijini kinaogopeka Kwa uchawi sio Bure aisee.
Huyo Tatu Ntimizi bado yuko hai?
 
Back
Top Bottom