Pole mzee Malecela, amepoteza watoto wanne!

Vita sasa ni ile nyumba ya Sea view wale watoto wa Malecela na wa Kilango. Hope mzee atakuwa kaweka mambo sawa.Siku akichomoka na Anne akabaki,vita itakuwa kubwa na watoto wa Mzee Malecela.
Kama mimi ningekuwa ni mzee mwenyewe ningeiuza ile nyumba ya Sea View kuondoa hilo wingu la vita vya kifamilia. fedha zinopatikana kutokana na mauzo ningewagawia watoto kila mtu aaanzie na "deposit" ya nyumba zao maana wamesoma na wana kazi.

Ila Baharia alipokuwa majuu nae alikosea mahala lakini bado (kutokana na nafasi ya familia kwenye jamii) alikuwa na nafasi ya kurekebisha mambo hapa na pale khasa watoto wake.

Hivyo nae angejenga nyumba kubwa tu kwa ajili ya wanae ili wapate pa kuanzia maisha, Nyumba kubwa yenye vyumba vya kujitosheleza vinojitegemea. Hata kama kuna matatizo na wanae lakini angeonekana bado alikuwa na mawazo nao.

Nae mama Anne nae akiwa mbunge alipaswa kuwa na nyumba hadi nne za uhakika za kuwaachia wanae.

Mbona mama Anne Makinda amejipanga uzuri na moja ya nyumba alizonazo ya familia ipo pale Kijitonyama na wametulia tu? Hivyo akiwa Dar kuna nyumba na watoto wake na wajukuu hawana shida ya pa kufikia kwa muda.

Lazima ukiwa kichwa cha familia ujipange na upange la sivyo ukifa waacha taabu, laana na visasi nyuma yako.
 
Walimuachia wajukuu?
 
Pesa na mafanikio yoyote ya udhalimu ni mabaya sana... Huwezi kulamba asali ya nchi hii kizazi chako kikawa salama amini amini nakwambia kuna mahali utavurugwa tu dunia yote uione chungu...
 
Na huyo jaji naona atafatia baada ya lemutuz wallah.
Hii Dunia Ina mitihani Hadi Huwa nawaza kuwa maisha hayana maana kabisa
 
Ukute mama aliona mali kwa mzee,ndiyo zikamvuta.Ngeleja inasemekana anamuibia mzee.
 
Huyu Babu ni mkongwe anaongea HADI na mawziri waliopo humu nchini kama anampigia rafiki take wa karibu!!

Ananiambia siasa ni mfumo wa kilimwengu huwezi ingia halafu ukadumu hivi hivi!

Lazima uwe umepikwa eti ki Mungu Mungu huchomoki!!!
Ni kweli kwenye siasa Kuna mambo mengi ya Giza, lakini pia kama una Mungu kwenye na umemaanisha unachomoka vzr tu!
Shida ni kuwa watu Kwa Mungu hawapo,wamemfanya Mungu km mganga hivi ,michanganyo kibao ...huwezi ona nguvu zake km una michanganyo...
Waende Kwa Mungu halafu uzinzi wamuachie nani? Maana hili eneo Kwa viongozi πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ(nimesoma CBE dodoma mkuu ) naelewa nachokisema!
 
Babu yangu mzaa mama alifanya huo usenge kwa kuua watoto amebaki mwanae mmoja tu, pumbavu sana yule cheupe
Khaaaa
Sa aliyebaki atapona kweli!? Na nyie wajukuu je? Mko salama kweli km ye ndo mhusika?
Ila mkuu ulijuajee km ye ndo mhusika?
 
Kumbe Anne Malecela Mbunge ndiye alikuwa mke wa Lemutuz??
 
Nilicommemt juzi ila mimi nilisema ni mambo ha kiroho. Maana yangu ilikuwa kama mzee yeye anakaribi au ana 90yrs old then wanaye woote anaondoka mmoja baada ya mwingine then kuna jambo kiroho linamtafuna.

Kwa siasa za kibongo sio hivi hivi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…