Pole mzee Malecela, amepoteza watoto wanne!

Daa kumbe?
Waswahili wengi wana roho mbaya sana
Hivi unaanzaje kuwazia mirathi au kugawa pia kwa kusemana na kulijadili

Najua mali za mirathi huwa zinaondoka na aliezichuma maana sijawahi kuona watu wamegawana kwa mvutano wakabaki nazo

Huwa zinaisha kwa mda mfupi tu
Jamani kila mtu atafute chake
 
Wakati mwingine hayo huwa ni maagano ambayo baba aliyaingia huko nyuma katika heka heka z kutafuta maisha ingawa hili limekaa kiroho zaid hapa watakao nielewa ni wale wa kiroho zaidi
 
Daah! Maisha haya, kama kuna atakae ishi milelee, tufikiri kua haya ni mapito pasifikie kutesana na kufukuzana kwaajili ya mali.
Yaani ndo hapo sasa,wakati kila kitu kitabaki duniani,huyo Anne nae ataliacha hilo jumba,hata wanae wataliacha.Inahitajika busara kubwa sana na Hekima katika kuona mali zote zitabaki tu.Utu kwanza mali baadae.
 
Inauma sana sana

Unaweza kuhisi Dunia inakuchukia
 
Huyo mama achunguzwe Kwa jicho la tatu
Huyo mama alimtoa Tatu Ntimizi,watu wote walijua Tatu Ntimizi ndo ataolewa,hadi mzee alibadili dini na kujiita Jumanne cof of Tatu,ila Anne kapambana mpaka akaolewa yeye.Mke wa ndoa nae aliugua kimaajabu alitibiwa mpaka Kigoma huko enzi zile Makamba ni mkuu wa mkoa Kigoma. Ikute mama wa watu michepuko ndo walimpiga juju. Ila mzee nae alikuwa zip wazi enzi zake ,mweh..
 
Ila mbona ni wa kwanza kuzaliwa. Alizaliwa kabla hao wa mke wa ndoa hawajazaliwa. Sielewi kwa nini alimficha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…