Poleni sana jobless, ila na sisi ndugu zenu wa halmashauri hali ni mbaya

Maslahi ama mshahara?mana kama mishahara inafanana. Sema kuna halamashauri wanatoa hadi posho za sikukuu,ila kuna zingine ni mwendo wa kukopwa tu.
 
Mkiambiwa mfanye self employment hamtaki, mnataka kazi zenye status ilhali mifuko inapauka tu, msisahau fainali uzeeni.
 
Taifa ambalo kila mtu anatafuta nafasi ya kupiga akipata mwanya huko mbeleni itakuaje?
 
Nimesoma comments za waja humu mimi kama mwananchi wa kawaida nasikitika sana kuona mja mwenzangu anafurahia kupangwa kitengo cha kumkamua mja wa kawaida kama mimi ambae hata kula yangu ni shida. Vitengo kama TRA, afisa biashara, bwana Afya nk
 
Kwa kujitafuta Mafinga ni sawa ila kwa mslahi ya kazini Mafinga ni BIG NO.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Kwa kujitafuta Mafinga ni sawa ila kwa mslahi ya kazini Mafinga ni BIG NO.

#YNWA
#YANGA_BINGWA

Ila maslahi ya kazi ni pamoja na uwezekano wa kukutafuta.

Kuna mtumishi aliwahi kuhamishiwa Kilindi akitokea RS ya Tanga. Mwanzoni aliona tabu kimaslahi ila alipofika kule alianza kutamani asihamishwe baada ya kuanza kulima kwa mafanikio makubwa.
 
Pwani wavivu ni wengi na money supply ni ndogo.
Kutoboa ni shida sanaaaa.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Wewe huna ujualo. Halmashauri ipi Tanzania wanaingia kazini saa 2 na wanatoka saa 11 jioni? Acha ujuaji.
 
Halamshauri nadhani ndio sehemu haina utaratibu serikalini.
Unakuta idara moja wao wanajilipa Poshi kila siku ila nyingine haina posho mwaka mzima na kazi watu wanafanya.
Hata OC tu zinazotoka serikali kuu kuna halmashauri wanapata hela nyingi wakati nyingine inapata kiduchu na zote DED anapita nazo.
KIukweli Halmashauri serikali iziangalie sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…