Poleni sana jobless, ila na sisi ndugu zenu wa halmashauri hali ni mbaya

Hari ni tete Sana, unachoweza kufsnya ni kupunguza matumizi, kula Milo miwili kwa siku, usiku unapiga ndeefu, ndizi mbili za kuiva unalala, acha bia,kuonga, nk, Bora wewe unapakujishikiza, hata salary ikichelewa, itakuja tu! Sasa kuna wingine,akina sie, ni kama mbwa! God Aki bless, unapata kitu, bila hivyo ni kusaga rami, tumekaa walipoolewa Dada zetu, mpaka, inaleta msongo wa mawazo
 
pole sana mkuu,i feel ure pain
 

Bora kubeti kuliko kufanya kazi halmashauri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…