Poleni sana jobless, ila na sisi ndugu zenu wa halmashauri hali ni mbaya

Poleni sana jobless, ila na sisi ndugu zenu wa halmashauri hali ni mbaya

MWENYE CV MBAYA 🗣️🗣️

MTU AMBAE CV YAKE IPO DHAIFU ANAHITAJI ISHIBE EXPERIENCES KIDOGO NA IWE KWENYE FORMAT NZURI ZAIDI NICHEKI INBOX, NITAKUWEKEA JOB EXPERIENCE NA ACHIEVEMENTS ZA KAMPUNI.

Hizi experiences zinakubeba kwenye kazi za Anna nyingi sana na rahisi kuzielezea kwenye INTERVIEW.

KWA ANAYEHITAJI UTANITUMIA CV YAKO NITAWEKA KWENYE PROFFESIONAL FORMAT YANGU NA KUKUONGEZEA JOB EXPERIENCE.

Na wale umefanya kazi sehemu hujui kuweka maelezo ya kutosha ya hio kazi kwenye JOB EXPERIENCE, nitakuwekea PIN POINTS zakutosha na ACHIEVEMENTS ZAKE.

BEI MAELEWANO🗣️🗣️
 
Kaka vipi maslahi ya afisa tarafa au mtendaji kata?
afsa tarafa yupo chini ya mkuu wa wilaya/katibu tawala. ndio boss wa watendaji hakosi hela za ofisi na vikesikesi kifupi yuko poa kimtindo, wewe utakua boss wa ma afsa wote huko kata hata kama wamekuzidi elimu, halafu pia tarafa imekaa kisiasa siasa sana .
 
Naona malalamiko mengi ya wafanyakazi wa halmashauri hata wengi life lao kama bado wanajitafuta
Ni mtumishi asiyejitambua pekee anaweza kutegemea mshahara kama chanzo chake cha mapato bila kubuni vyanzo vingine.

Halmashauri ikiwa mjini au kijijini bado kuna fursa kibao.

Watu wa Ofisi ya Katibu Tawala Mkoa huwa wanatamani wafanye kazi Halmashauri kwa sababu kuna fursa za kujitanua kibiashara ukilinganisha na kwa RAS.
 
Oya nikimpata huyo tubadirishane aje huku Halmshauri.
 
Back
Top Bottom