Poleni sana Wakazi wa hii Mikoa tajwa Tanzania kwa Joto Kali mnalolipitia sasa

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Nimetoka kutizama Taarifa ya Habari muda si mrefu na kuona Watanzania wenzangu huko mliko mnavyotaabika sasa kwa Joto Kali ambalo huenda likawa limevunja Rekodi

Polemi sana Wakati wa Dar es Salaam, Pwani, Morogoro, Tanga, Lindi, Mtwara na Zanzibar (Unguja na Pemba)

Nilipo Mimi Kampala, Mubende na Fort Portal nchini Uganda Hali ya Hewa ni nzuri kabisa kwakuwa Waganda wana Nidhamu kubwa mno ya Kutunza mazingira na hata kama Kampala kuna Joto ila siyo Kali kama la huko Nyumbani ambako Nidhamu ya Kutunza mazingira iko chini na Mkazo mkubwa umewekwa katika Kuwahudumia Machawa, Kumsifu Mtu hadi Kukufuru, kujadili Simba na Yanga na maandalizi ya Uchaguzi Mkuu ujao ambao hata Mwendawazimu anajua nani atashinda kwa Kampeni zisizo rasmi ambazo Mbabe Zuzu kazianza ila Mnyonge Makini nae akitaka kuanza zake anazuiwa.

Hata Wakazi wa hii Mikoa tajwa hapo juu GENTAMYCINE nawaombeni sana kuwa jitahidini muwe Mnaoga mara kwa mara, mnywe Maji mengi na kamwe msipendelee kwenda Kubanduana Mchana katika Gesti zilizoezekwa Mabati kwani mtachemka na hata Kufa.

Naomba baada ya hii Hali mbaya ya Hewa (ya Joto Kali) kumalizika mwezi wa Tatu katikati kwa mujibu wa Wataalam Serikali ije na Sheria Kali ya kuwataka Watanzania wote popote pale walipo (Majumbani Kwao) Wapende Miti 20 kuzunguka Nyumba zao na asiyetii Amri awekwe Ndani.

Pia Serikali iishurutishe Mamlaka inayohusika na Misitu (TFS) igawe bure kabisa Miche ya Miti kwa Watanzania wote ili waipande na Mimi yangu waniwekee kama 100 ambapo nikirejea nataka nikaipande yaliko Makazi yangu Tukuka Masaki Dar es Salaam, Mapinga Bagamoyo, Butuguri Mara, Saba Saba Morogoro na Chigugu Mtwara.
 
Nimetoka kutizama Taarifa ya Habari muda si mrefu na kuona Watanzania wenzangu huko mliko mnavyotaabika sasa kwa Joto Kali ambalo huenda likawa limevunja Rekodi

Polemi sana Wakati wa Dar es Salaam, Pwani, Morogoro, Tanga na Zanzibar (Unguja na Pemba)

Nilipo Mimi Kampala, Mubende na Fort Portal nchini Uganda Hali ya Hewa ni nzuri kabisa kwakuwa Waganda wana Nidhamu kubwa mno ya Kutunza mazingira na hata kama Kampala kuna Joto ila siyo Kali kama la huko Nyumbani ambako Nidhamu ya Kutunza mazingira iko chini na Mkazo mkubwa umewekwa katika Kuwahudumia Machawa, Kumsifu Mtu hadi Kukufuru, kujadili Simba na Yanga na maandalizi ya Uchaguzi Mkuu ujao ambao hata Mwendawazimu anajua nani atashinda kwa Kampeni zisizo rasmi ambazo Mbabe Zuzu kazianza ila Mnyonge Makini nae akitaka kuanza zake anazuiwa.

Hata Wakazi wa hii Mikoa tajwa hapo juu GENTAMYCINE nawaombeni sana kuwa jitahidini muwe Mnaoga mara kwa mara, mnywe Maji mengi na kamwe msipendelee kwenda Kubanduana Mchana katika Gesti zilizoezekwa Mabati kwani mtachemka na hata Kufa.

Naomba baada ya hii Hali mbaya ya Hewa (ya Joto Kali) kumalizika mwezi wa Tatu katikati kwa mujibu wa Wataalam Serikali ije na Sheria Kali ya kuwataka Watanzania wote popote pale walipo (Majumbani Kwao) Wapende Miti 20 kuzunguka Nyumba zao na asiyetii Amri awekwe Ndani.

Pia Serikali iishurutishe Mamlaka inayohusika na Misitu (TFS) igawe bure kabisa Miche ya Miti kwa Watanzania wote ili waipande na Mimi yangu waniwekee kama 100 ambapo nikirejea nataka nikaipande yaliko Makazi yangu Tukuka Masaki Dar es Salaam, Mapinga Bagamoyo, Butuguri Mara na Chigugu Mtwara.
Threads zako ziliadimika nkajua umepigwa "Total Ban"
 
Asante tumepokea pole yako
Na jiumeme linazimwa kila baada ya masaa kadhaa kwa hio ngoma inazidi kunoga
 
Ila we jamaa ka akili Kako basi tu kwahiyo Uganda wanajua kutunza mazingira lakini pwani, morogoro Hawajui hivi ARUSHA NA MAFINGA AMA SAME UPARENI wao wanajua kutunza au ni inshu ya mazingira Yao halisi... Hata kama utunzaji unafanywa BOMU KABISA WEWE
 
Wapenda ngono wameloose appetite. Maana majitu yanavuja kama Tangi Bovu
Unajisikiaje unawekwa huku jamaa kijasho kinamtoka, mbona unayama sana tu!! Hata feni haina kazi tena, bado joto halifanyi watu watundikw daluga...
 
Back
Top Bottom