Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
Kwa joto hili ukosea ukanywa mapombe ukajitwisha na maugali, utakoma kama huna kiyoyozi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
akikujibu vema nitagThreads zako ziliadimika nkajua umepigwa "Total Ban"
Nimejaa tele.Threads zako ziliadimika nkajua umepigwa "Total Ban"
Kama Arusha mnalalamika joto, basi wengine tunabanikwa 😥.Haya huku kaskazini ( Arusha )....Kuna joto sio poa, mpk najiuliza huko dar watu wanaishi vipi
Sio poa kabisa, huku Kuna joto Sanaa, hii sio ishara nzuri kiimani, Sijui kwenye angle Gani but M/mungu atuongoze na kuturehemuKama Arusha mnalalamika joto, basi wengine tunabanikwa 😥.
Usipokunywa maji mengi unaweza kuzima.
Amen🙏🏽🙏🏽Sio poa kabisa, huku Kuna joto Sanaa, hii sio ishara nzuri kiimani, Sijui kwenye angle Gani but M/mungu atuongoze na kuturehemu
Ukimwambia hiki kitu mtu aliye nje ya Arusha anaona kama unamleta.Haya huku kaskazini ( Arusha )....Kuna joto sio poa, mpk najiuliza huko dar watu wanaishi vipi
Na mwili unachoka sana.. ukikaa vibaya unajikuta ushamaliza pepsi 2Kama Arusha mnalalamika joto, basi wengine tunabanikwa 😥.
Usipokunywa maji mengi unaweza kuzima.
Hakika, na ww uko Arusha??,,tujuane mkuuUkimwambia hiki kitu mtu aliye nje ya Arusha anaona kama unamleta.
Ila jua linawaka sana.. sahivi blanket hazijulikani zilipo
Lile la Ifakara ni noma, bila kusahau kilimo cha mbu🙌🙌🙌1.Tanzania joto lipo Ruaha mbuyuni,Ifakara na Tanga
Mungu atusaidie tu.Na mwili unachoka sana.. ukikaa vibaya unajikuta ushamaliza pepsi 2
TUnashukuru
Yani hapo kawe ukwamani siku hizi ndio kampala?!Nimetoka kutizama Taarifa ya Habari muda si mrefu na kuona Watanzania wenzangu huko mliko mnavyotaabika sasa kwa Joto Kali ambalo huenda likawa limevunja Rekodi
Polemi sana Wakati wa Dar es Salaam, Pwani, Morogoro, Tanga na Zanzibar (Unguja na Pemba)
Nilipo Mimi Kampala, Mubende na Fort Portal nchini Uganda Hali ya Hewa ni nzuri kabisa kwakuwa Waganda wana Nidhamu kubwa mno ya Kutunza mazingira na hata kama Kampala kuna Joto ila siyo Kali kama la huko Nyumbani ambako Nidhamu ya Kutunza mazingira iko chini na Mkazo mkubwa umewekwa katika Kuwahudumia Machawa, Kumsifu Mtu hadi Kukufuru, kujadili Simba na Yanga na maandalizi ya Uchaguzi Mkuu ujao ambao hata Mwendawazimu anajua nani atashinda kwa Kampeni zisizo rasmi ambazo Mbabe Zuzu kazianza ila Mnyonge Makini nae akitaka kuanza zake anazuiwa.
Hata Wakazi wa hii Mikoa tajwa hapo juu GENTAMYCINE nawaombeni sana kuwa jitahidini muwe Mnaoga mara kwa mara, mnywe Maji mengi na kamwe msipendelee kwenda Kubanduana Mchana katika Gesti zilizoezekwa Mabati kwani mtachemka na hata Kufa.
Naomba baada ya hii Hali mbaya ya Hewa (ya Joto Kali) kumalizika mwezi wa Tatu katikati kwa mujibu wa Wataalam Serikali ije na Sheria Kali ya kuwataka Watanzania wote popote pale walipo (Majumbani Kwao) Wapende Miti 20 kuzunguka Nyumba zao na asiyetii Amri awekwe Ndani.
Pia Serikali iishurutishe Mamlaka inayohusika na Misitu (TFS) igawe bure kabisa Miche ya Miti kwa Watanzania wote ili waipande na Mimi yangu waniwekee kama 100 ambapo nikirejea nataka nikaipande yaliko Makazi yangu Tukuka Masaki Dar es Salaam, Mapinga Bagamoyo, Butuguri Mara na Chigugu Mtwara.
Kwangu Mimi Kampala Uganda ni zaidi ya Washington DC Marekani kwenye Mashoga Waandamizi wengi unaowakubali.Kaka Genta bhana, Kampala tu unatufokea hivyo ungeenda huko ambapo watu wamepaki magari wanatembea au kwenda kazini na baiskeli si ungetupopoa mawe sisi kama mapopoma wa rejareja 🤣🤣🤣🤣