Poleni sana Wakazi wa hii Mikoa tajwa Tanzania kwa Joto Kali mnalolipitia sasa

Hapo ulipo kawe ni mji gani utaweza panda mti around the house wakati nyumba zimebanana kama njiti za kiberiti
 
TUnashukuru
Yani hapo kawe ukwamani siku hizi ndio kampala?!
 
Kaka Genta bhana, Kampala tu unatufokea hivyo ungeenda huko ambapo watu wamepaki magari wanatembea au kwenda kazini na baiskeli si ungetupopoa mawe sisi kama mapopoma wa rejareja 🤣🤣🤣🤣
 
Kaka Genta bhana, Kampala tu unatufokea hivyo ungeenda huko ambapo watu wamepaki magari wanatembea au kwenda kazini na baiskeli si ungetupopoa mawe sisi kama mapopoma wa rejareja 🤣🤣🤣🤣
Kwangu Mimi Kampala Uganda ni zaidi ya Washington DC Marekani kwenye Mashoga Waandamizi wengi unaowakubali.
 
Nenda maji moto ukajitumbukze uje uwasimulie,watu wa Buhemba,nyamongo walimuona una akiri ila fala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…