Hivi huyu Premier ni pacha wa Ally’s star?TAARIFA haijakamilika mkuu imetokea maeneo Gani? Kwa ninavyofahamu Kaprikoni inafanya safari za kutoka Mbeya kwenda Arusha na hiyo Premier inasafiri toka Mbeya kwenda MWANZA.
We jamaa bhana😂😂😂Tulia weweee makobaz wenzako wanapokea doz za kutosha huko Gazza na Lebanon.
Chezea wateule wewe!
Unawahi kufika popote iwe mwisho wa Safari au kwa Allah!bado mnasema seat za mbele ni salama
Imetokea mbeya asubuhi hii
Watu watatu wamejeruhiwa katika ajali iliyohusisha mabasi mawili ya Kampuni ya premier na capricorn ajali imetokea Kata ya Ilomba jijini Mbeya
Kwa Mujibu wa Mkaguzi wa jeshi la zimamoto na Uokoaji Musa Meshack Nyagali amesema kuwa Jeshi hilo limefanikiwa kuwaokoa majeruhi watatu ambao wamekimbizwa hospitali.
View attachment 3117441

Wamerudi kweli na kasi kubwa, naona wamelipwa.Yeah
Walichimba sana aisee
Ukibanwa huna pa kwenda..ni hatari.
Heri kama wamerudi
Hali ilikuwa Mbaya kiukweli na ile mikamba yao.
AfadhaliWamerudi kweli na kasi kubwa, naona wamelipwa.
Zile kamba ni za tahadhari kuonyesha ukubwa wa hatari uliopo.....kwa jinsi walivyochimba ukienda pembeni kule imesha.Mikamba ile ndio imeongeza shida
Bora ingebaki vilevile tu aisee
Barabara imekuwa ndogo mno hata pa kuchepuka hakuna.
Hii barabara inakera haswaa.
Sasa ilibidi watengeneze haraka barabaraZile kamba ni za tahadhari kuonyesha ukubwa wa hatari uliopo.....kwa jinsi walivyochimba ukienda pembeni kule imesha.
Wamerudi kwa kasi sana nawaona tipa ziko bize roadWamerudi kweli na kasi kubwa, naona wamelipwa.
Mbona ni kama wamegongania standImetokea mbeya asubuhi hii
Watu watatu wamejeruhiwa katika ajali iliyohusisha mabasi mawili ya Kampuni ya premier na capricorn ajali imetokea Kata ya Ilomba jijini Mbeya
Kwa Mujibu wa Mkaguzi wa jeshi la zimamoto na Uokoaji Musa Meshack Nyagali amesema kuwa Jeshi hilo limefanikiwa kuwaokoa majeruhi watatu ambao wamekimbizwa hospitali.
Hiyo ajali ilisababishwa na gari ndogo. Dereva wa gari hiyo alikuwa kalewa na kuingia barabarani bila tahadhali...Hao madereva nao walikuwa wanakimbilia wapi au wanakwepa nini wakati hapo ni mjini kabisa walipaswa kuwa na mwendo mdogo?