Poleni wanaume

You were in hands of Weak Man. I understand ndio maana uliachana naye.

Mwanaume gani anachanganyikiwa kwa kuachwa na Mwanamke? What can he achieve in Life?
Ex wangu niliambiwa nusu apate kichaa baada ya kuachana na mimi alikesha baa alilelawa mno akanilaani sana…akatafutiwa mwanasaikolojiaaaa akapigishwa somo akakaa fresh
 
Hizo mada ni nyingi jamvini sababu ndiyo zinapata wachangiaji wengi ila mtaani mambo ni tofauti mno.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…