Poleni Wasukuma kwa kuchagua wabunge wa darasa la 7

POLENI sana ndugu zangu Wasukuma kwa kufanya utani kwenye uchaguzi na kuacha vigezo vya uwezo wa kiakili ninyi wenzangu mnaangalia mtu ambaye ana uwezo wa kuwanunuliwa vitumbua, ubwabwa, soda na kuwagawia shilingi elfu 5 tano matokeo yake mnapeleka wabunge bungeni ambao hawana uwezo wa kujua jema au baya na wao wanaangalia wanapataje hela kupitia tenda na serikali na kuwasahau na kusahau hata hoja zenu kanda ya ziwa.

Mfano Angalia Majimbo ya Mkoa wa Mwanza, Kuna Tabasamu Darasa la 7, kuna Mnyeti elimu yake hata haijulikani, kuna Mansoor wa Kwimba hata elimu yake haijulikani, Angalia Jimbo la Magu Kiswaga elimu yake haijulikani, nenda Geita Msukuma darasa la 7, Maganga jimbo la Mbogwe darasa la 7, Amar jimbo la nyangwale darasa la 7, Jimbo la Ushetu, Cherehani elimu yake haijulikani, Solwa Ahmed elimu yake haijulikani, Jimbo la Kishapu Butondo elimu yake haijulikani. Nenda Simiyu jimbo la Itilima Njalu Darasa la 7.

Sasa kwa mfumo wa wasukuma kuendelea kuchagua wabunge wa darasa la 7 wakifika bungeni hawawezi kusoma miswada ya sheria, hawawezi kusoma mikataba inayopitishwa na bunge, wawezi hata kubeba hoja za wananchi wa kanda ya ziwa kama za pamba, mifugo na samaki matokeo yake sekta zote zimekufa kwa kukosa wasemaji bunge.

Lakini nenda Mkoa wa Kilimanjaro, Tanga, Arusha, Kagera na maeneo mengine huwezi kukuta ujinga wa darasa la 7 na ndiyo maana hata linapokuja suala la watu kupewa uwaziri wanaangalia majimbo yenye wasomi angalau digrii 2 na kuendelea.
Ujinga upo Kila sehemu hii Nchi, sijui miaka 20 ijayo tutakuwa na li-Taifa la namna gani....
 
..fedha ndio kila kitu ktk siasa za Ccm.

..na hao wabunge ambao mnasema hawajasoma wana pesa sio mchezo.

..hakuna msomi anaweza kushindana nao ktk uchaguzi.
 
Tuwe wa kwali bunge letu hamna tofauti kati ya wa bunge wa darasa la saba na ma professor.......Nyerere aliharibu siasa za nchi hi.
Nyerere hayupo tena, hakuna anayewazuia kujenga siasa zenu....kubalini tu uwezo wenu ndio huu.
 
POLENI sana ndugu zangu Wasukuma kwa kufanya utani kwenye uchaguzi na kuacha vigezo vya uwezo wa kiakili ninyi wenzangu mnaangalia mtu ambaye ana uwezo wa kuwanunuliwa vitumbua, ubwabwa, soda na kuwagawia shilingi elfu 5 tano matokeo yake mnapeleka wabunge bungeni ambao hawana uwezo wa kujua jema au baya na wao wanaangalia wanapataje hela kupitia tenda na serikali na kuwasahau na kusahau hata hoja zenu kanda ya ziwa.

Mfano Angalia Majimbo ya Mkoa wa Mwanza, Kuna Tabasamu Darasa la 7, kuna Mnyeti elimu yake hata haijulikani, kuna Mansoor wa Kwimba hata elimu yake haijulikani, Angalia Jimbo la Magu Kiswaga elimu yake haijulikani, nenda Geita Msukuma darasa la 7, Maganga jimbo la Mbogwe darasa la 7, Amar jimbo la nyangwale darasa la 7, Jimbo la Ushetu, Cherehani elimu yake haijulikani, Solwa Ahmed elimu yake haijulikani, Jimbo la Kishapu Butondo elimu yake haijulikani. Nenda Simiyu jimbo la Itilima Njalu Darasa la 7.

Sasa kwa mfumo wa wasukuma kuendelea kuchagua wabunge wa darasa la 7 wakifika bungeni hawawezi kusoma miswada ya sheria, hawawezi kusoma mikataba inayopitishwa na bunge, wawezi hata kubeba hoja za wananchi wa kanda ya ziwa kama za pamba, mifugo na samaki matokeo yake sekta zote zimekufa kwa kukosa wasemaji bunge.

Lakini nenda Mkoa wa Kilimanjaro, Tanga, Arusha, Kagera na maeneo mengine huwezi kukuta ujinga wa darasa la 7 na ndiyo maana hata linapokuja suala la watu kupewa uwaziri wanaangalia majimbo yenye wasomi angalau digrii 2 na kuendelea.
Huu ni ukweli wa wazi, wasukuma elimu yao kubwa baada ya kuchunga ng'ombe ni standard VII, so kwa waliojipata na ikaonekana katika jamii yao wamevuka hiyo level kwao ni wakubwa sana bila kuangalia jamii nzima ya watanzania. Tusishangae haya ya kina Musukuma pale bungeni, kwa jamii yao wanaonekana ni heroes😀😀
 
Ila we jamaa ni kenge kweli. Labda nikujulishe ni kwanini Wasukuma ilifika hatua wakaamua kuchagua Wabunge wasio na elimu kubwa:

(1)Miaka ya nyuma Wasukuma walikuwa wanachagua Wabunge wasomi ila wakaja wakabaini Wabunge hao hawakuwa na msaada, afadhali ya Wawakilishi wasiosoma. Mfano,Dr.William Shija (Sengerema),Dr.Festus Limbu(Magu),Dr.Raphael Chegeni(Busega),Dr. sijui Prof.Pius Mwandu(Maswa),Prof.Meshack Opulukwa (Meatu),Dr.Lawrence Kego Masha(Nyamagana),huyu ndo alikuwa mpuuzi kabisa,.n.k. Na hao takribani wote wamewahi kuukwaa Uwaziri au Unaibu Waziri. Walikuwa na msaada gani ukimwacha Dr.John Magufuli we kenge?

2.Wasukuma unaowadharau baada ya kuona wasomi hawajawasaidia kwa lolote wakaona bora wachague wasiosoma wajue moja kuwa hawana wa kuwasaidia. Lakini pia wakigundua hao wasiosoma hawana kiburi,jeuri na dharau ukilinganisha na Wawakilishi waliosoma.

3.Hiyo mikoa uliyoitaja ya Wabunge wasomi ina maendeleo kuzidi mikoa yenye Wasukuma(Ukiacha Kilimanjaro)? Tanga na Kagera vina nini kikubwa Cha kuzidi mikoa ya Wasukuma?

4.Haya kwa upande wa mambo ya kisheria: Hivi waliohusika kuliingiza chaka taifa kwenye mikataba ya hovyo ni Wasomi au Wasiosoma?
Mtoa hoja angeseka wazi mchango kwenye pato la taifa kwa hiyo mikoa ya wabunge waliosoma ni kiasi gani?

Tuweke rejea Kilimanjaro/Tanga ukilinganisha na Mwanza, Geita, Simiyu, Tabora na Shinyanga?
 
Gete gete kiufupi ni shida
Gete gete kwa ujumla shule hawapendi, kwahiyo wao wanawahusudu watu wenye ng'ombe nyingi.

Kwahiyo, kwa akina Gete gete ukiwa na ng'ombe na uka"behave" kama ng'ombe, tayari wanakula ubunge.
 
Ila we jamaa ni kenge kweli. Labda nikujulishe ni kwanini Wasukuma ilifika hatua wakaamua kuchagua Wabunge wasio na elimu kubwa:

(1)Miaka ya nyuma Wasukuma walikuwa wanachagua Wabunge wasomi ila wakaja wakabaini Wabunge hao hawakuwa na msaada, afadhali ya Wawakilishi wasiosoma. Mfano,Dr.William Shija (Sengerema),Dr.Festus Limbu(Magu),Dr.Raphael Chegeni(Busega),Dr. sijui Prof.Pius Mwandu(Maswa),Prof.Meshack Opulukwa (Meatu),Dr.Lawrence Kego Masha(Nyamagana),huyu ndo alikuwa mpuuzi kabisa,.n.k. Na hao takribani wote wamewahi kuukwaa Uwaziri au Unaibu Waziri. Walikuwa na msaada gani ukimwacha Dr.John Magufuli we kenge?

2.Wasukuma unaowadharau baada ya kuona wasomi hawajawasaidia kwa lolote wakaona bora wachague wasiosoma wajue moja kuwa hawana wa kuwasaidia. Lakini pia wakigundua hao wasiosoma hawana kiburi,jeuri na dharau ukilinganisha na Wawakilishi waliosoma.

3.Hiyo mikoa uliyoitaja ya Wabunge wasomi ina maendeleo kuzidi mikoa yenye Wasukuma(Ukiacha Kilimanjaro)? Tanga na Kagera vina nini kikubwa Cha kuzidi mikoa ya Wasukuma?

4.Haya kwa upande wa mambo ya kisheria: Hivi waliohusika kuliingiza chaka taifa kwenye mikataba ya hovyo ni Wasomi au Wasiosoma?
Wabheja sana umenitulizia huyo mbulu kenge maana katuona sisi mafala sana...nilitaka nimjibu ila majibu haya yanamtosha😎
 
Back
Top Bottom