Poleni Wasukuma kwa kuchagua wabunge wa darasa la 7

Kwamba akina Prof Shija, Prof Mchembe ndiyo darasa la saba? Acha utani...ukifanya sensa kwa kuangalia idadi ya watu waliosoma sana nchi hii uwezi kuwakosa was ukuta kwenye tano bora. Ila mimi siyo msukuma.
 
Nale Ng'wanza Bugando Hospital nasikile igolo

Nyanda one ogwile mulente obenzeka nkono mara mbili

Hahaha!!Natele ogotola hobachimaga kwanza
Pole sana bageshi. Mulungu Agagunane agayanda giswe. Gatalī gado gagupila chiza guke.

Ūbebīgīganza jako jīgapīla chiza?

➡️➡️➡️ Ītagūtole nkoyi. Amanyo adakanyiyagwa ingawa manonu gūbītīlīja. Ūnene hūtolaga ng'wezi ūkūminakabīlī. Gakima ga Gahajeiefu henaha 😁😁😁🖐
 
Wabunge wa Tanzania mbona wote kama sawa tu?
 
Wasukuma kama kabila kubwa Tanzania wametoa viongozi kama Dr Chagula na Mbunge Msukuma, hawana upungufu wa kuchagua watu wa kuwawakilisha.

Tukiacha mambo ya kabila, wilaya ya Ukelewe mkoa wa Mwanza imetoa Speaker wa Bunge la Tanzania Pius Msekwa na Speaker wa Africa Union Getruda Mongela.
 
Atleast wanaonekana kua na hoja zenye tija bungeni ukilinganisha na wasomi waliofeli kuonyesha impact ya elimu yao ktk taifa la Tanzania...

Wasukuma wameona future yao hailetwi na wasomi bali watu wanaojielewa

Kama ulibahatika kua na D mbili utaona umaarufu wao si kwa sababu ya elimu yao ya darasa la saba bali mawazo yao yenye tija hata kwa mtu wa kawaida anaelewa.
 
Obheja sana

Nanagokobaga ng'wanike ogotola
Geganza japela ila enzwala shalema ogukonja(ngume)

Hahahahahaha!!kweli amanyo manonu sana bhageshi

Ogontolaga gakima gajeiefu ganani nagamane😀
 
Kule simiyu kuna wilaya ambayo watumishi wa wake hupigishwa magoti na mbunge wao Ngalu kama wakijikuta wamegusa maslahi yake. Ushahidi upo anamkoromea DED DC DAS basi mtumishi utashukiwa utajuta! Wapo waliofukuzwa kazi kwa amri yake, wapo waliopigwa demotion, wapo waliopigishwa magoti ofisini kwake, wapo madalali wa kampuni zake ambao ni wakuu wa idara, na ukionekana mbishi kikao kinafanyikia Gamboshi utakimbia ofisi mwenyewe mchana kweupeee ni bora shetani asikupende kuliko huyu mwamba na ndiye mfadhiri mkuu wa halmashauri
 
Mfumo wetu wa recruitment ya wazalendo kwenye siasa ni wa hovyo tu!wananchi wanachagua kile kilichopitishwa na chama!bila kujali ni Mla rushwa n.k!
 
Wasukuma ni mizigo kwakweli,hata kukosea no za simu,Nchi hii hilo kabila linaongoza.Wametujazia wapiga makofi bungeni hovyo kabisa nyie.😄 Tunawazidi sisi Wazaramo wa Samvula Chole.
 
Wasukuma ni mizigo kwakweli,hata kukosea no za simu,Nchi hii hilo kabila linaongoza.Wametujazia wapiga makofi bungeni hovyo kabisa nyie.😄 Tunawazidi sisi Wazaramo wa Samvula Chole.
Acha fitina sio saizi yako
 
Ila kama kuna ukweli vile ila wasukuma badilikeni msiangalie mtu wa kununulia vitumbua na chai angalieni mtu atakayewawakilisha kweli bungeni waigeni hao watu wa pwani, tanga na kilimanjaro mchague wasomi somi kidogo
Msukuma ni shidaaaaaa
 
Tuwe wa kwali bunge letu hamna tofauti kati ya wa bunge wa darasa la saba na ma professor.......Nyerere aliharibu siasa za nchi hi.
Haya maneno Nyerere au hata viongozi waliofuatia waliharibu nchi ni fikra hasi.
Wananchi wanaweza kufanya wanachotaka sasa kurekebisha makosa. Muhimu kupeana elimu, maarifa na taarifa sahihi za kurekebisha.
Kila mmoja anatakiwa kufikiri na kufanya mambo chanya kwa nafasi na wakati wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…