Poleni Wasukuma kwa kuchagua wabunge wa darasa la 7

Swala ni darasa d

Swala ni darasa au lugha? Mm ni darasa la Saba nimefanya kazi na mnayemwita msomi wa UDOM Pale Morogoro 21st century Maboss wetu ni wahindi mpaka leo. Nilikuwa na uwezo wa kupokea maelekezo ya kazi na kutoa maelezo ya kazi kuliko huyo msomi Kwa issue ya lugha. MSITUDHARAU wengine tulifaulu ila hatukuchaguliwa. Wakati huo siyo kila aliyefaulu alichaguliwa nafasi zilikuwa chache. Ok naamini tunahitaji wenye uchungu na nchi. Hv Tulia na Mbunge Msukuma bora Nan? Hv Tulia na huyo Mbunge aliyemsimamisha vikao 15 nani bora?
 
Hebu wataje, mbona kama hakuna tofauti ya Wabunge wasomi na hawa walioishia darasa la 7? Hasa kama wote ni wa CCM
 
Ni bora watu wa darasa la saba ambao sio wezi kuliko wenye madigirii lakini ni wakwapuaji !
Hata CAG analijua hilo !πŸ™„πŸ˜³
 
Hilo nalo neno πŸ‘πŸ™Œ
 
Ila kama kuna ukweli vile ila wasukuma badilikeni msiangalie mtu wa kununulia vitumbua na chai angalieni mtu atakayewawakilisha kweli bungeni waigeni hao watu wa pwani, tanga na kilimanjaro mchague wasomi somi kidogo
Kama mwana pa
 
Doho tabhu, doho shida!
 
Mkuu kwa bunge hili kibogoyo, hakuna tofauti ya darasa la 7 na Professor.
 
Ila twende mbeoe turudi nyuma Mbunge inakuwake awe darasa la 7 seriously...Ivi Miswada ya Sheria kweli ipitishwe na Darasa la 7
 
Jamii ya watu wajinga huibeza elimu na kuwaona waliosoma kama wanajivuna na kuwadharau kwa kigezo cha pesa,

Watu wajinga ni kama ndege hupaa kwa pamoja na Wajinga wenzao.

Hii ndo akili ya Msukuma na Mkurya kwa ule ukanda wa Ziwa.
 
Ni sawa ila hii darasa la saba ina maanisha nini kwa wasukuma? Wapo wasomi wengi sana usukumani ila ni kwanini hawachaguliwi?

Jibu ni kwamba kuna tatizo kwa wanaochagua na wachaguliwa pia. Niseme tu kifupi kuwa wasukuma wana namna zao za kupata chochote wakitakacho, mtu akitumia njia hiyo basi watu hubaki wakishangaa amepataje kitu hicho au nafasi hiyo. Hizo namna zipo pia kwenye makabila mengine kwa viwango tofauti tofauti.
 
Acha fitina sio saizi yako
Fitina za Nini we Mtoto mzuri?ujui Kuwa hao ni watani zangu?yule ndugu yenu si alitunanga tukifunga ndoa tukapige picha pale kijazi.Nyie na darasa la saba damudamu.
 
Wasukuma ni mizigo kwakweli,hata kukosea no za simu,Nchi hii hilo kabila linaongoza.Wametujazia wapiga makofi bungeni hovyo kabisa nyie.πŸ˜„ Tunawazidi sisi Wazaramo wa Samvula Chole.
Sasa mkuu, kukosea namba ya simu ndo sifa ya usukuma?

Makabila yote hayawezi kufanana kutokana na utofauti wa tamaduni na malezi.

Nyie wazaramo wa Chole Samvula, Kwala na nyie mna sifa zenu ambazo kwa wengine ni kero.
Utamzodoaje binadamu mwenzio mpaka kuzimia? 😁😁
 
πŸ˜‚πŸƒ
 
Huo ndiyo uwakilishi: maana yake wanawakilishi hali halisi ya wakaazi wa maeneo hayo..!
 
πŸ˜†πŸ€£ Nimeshaelewa hiyo kitu Mkuu. Ni Ile ambayo Wasomi wa hapa JF wanasema haipo, eti ni rumors za watu tu.
 
Ila twende mbeoe turudi nyuma Mbunge inakuwake awe darasa la 7 seriously...Ivi Miswada ya Sheria kweli ipitishwe na Darasa la 7
Uliangalia kwakweli unaona siyo poa. Ila kwavile Katiba ina loophole ya kwamba Mwakilishi wa Wananchi Bungeni (Mbunge) anapaswa awe na elimu ya darasa la 7 na kuendelea. Ndo maana Chadema wanataka yawepo mabadiliko ya Katiba.
 
Ulichokisema na sahihi.Mimi niko upande wako tangu mwanzo nadhani ulinielewa vibaya.Jaribu kusoma upya comments zangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…