Poleni Wasukuma kwa kuchagua wabunge wa darasa la 7

Kwamba akina Prof Shija, Prof Mchembe ndiyo darasa la saba? Acha utani...ukifanya sensa kwa kuangalia idadi ya watu waliosoma sana nchi hii uwezi kuwakosa was ukuta kwenye tano bora. Ila mimi siyo msukuma.
Mkuu sijui umeelewa nilichosema hapo juu? Sijasema kuwa hakuna waliofika elimu ya juu bali waliovuka standard VII kwao ni wakuheshimika sana. Hao uliowataja nawafahamu na nawaheshimu sana na wapo zaidi yao. You need to quote me right bro
 
Ila twende mbeoe turudi nyuma Mbunge inakuwake awe darasa la 7 seriously...Ivi Miswada ya Sheria kweli ipitishwe na Darasa la 7
Hao ndio kazi yao kupitisha kila kinacholetwa mbele yao bila kufanya udadavuzi yakinifu na kujua matokeo ya kilichopo mbele yao kwa jamii nzima baada ya miaka kazaa. Tunahitaji katiba mpya itakayoweza kusimamia mpaka wawakilishi wa wananchi bungeni
 
Gete gete kwa ujumla shule hawapendi, kwahiyo wao wanawahusudu watu wenye ng'ombe nyingi.

Kwahiyo, kwa akina Gete gete ukiwa na ng'ombe na uka"behave" kama ng'ombe, tayari wanakula ubunge.
Bebe nyanda, ulimahe obebe??
 
Wasukuma ni mizigo kwakweli,hata kukosea no za simu,Nchi hii hilo kabila linaongoza.Wametujazia wapiga makofi bungeni hovyo kabisa nyie.😄 Tunawazidi sisi Wazaramo wa Samvula Chole.
Vipi lakini mikoa yao ilivyo mbali kimaendeleo tofauti na mikoa mingi inayoongozwa na wasomi, licha kwamba wawakilishi wao ni darasa la 7
 
Jamii ya watu wajinga huibeza elimu na kuwaona waliosoma kama wanajivuna na kuwadharau kwa kigezo cha pesa,

Watu wajinga ni kama ndege hupaa kwa pamoja na Wajinga wenzao.

Hii ndo akili ya Msukuma na Mkurya kwa ule ukanda wa Ziwa.
Elimu yako inaushawishi upi kwente jamii?

Au unasema kinyume nyume mkuu, maana wasomi nanyi mnambo mengi ya kijinga sana

Mwaka fulani msomi mmoja kwa jina la Dr. Mwakye aliulizwa swali na kijana mmoja darasa la saba, kilichofuata, Dr. kashindwa kujibu akaanza kujitapa kwa degree zake

Huu siyo upoyoyo ni nini?

Wasomi saidiwni nchi, tunawabeza kwa sababu mnaiba sana, mnajitapa mno ilohali hamna chochote chenye impact kwa jamii
 
Sio pole Wasukuma, "sema pole Watanzania " kivipi? Katiba inasema ajue tu kusoma na kuandika, na Msukuma ameshikilia hiyo point. Tubadili katiba tuseme, "kuwa mbunge ni lazima uwe na degree kutoka chuo kinachotambuliwa".
 
Uongo huo.
Sema wenye pesa ndio wanachaguliwa.
 
Wewe kwa bunge hilo la Tulia Ackson unaona kuna anayeendana na msomi?
 
Maswali yenu ya "Kuchora Panzi kumekusaidia nini katika maisha yako" ndo mnataka majibu?

Impact ya wasomo katika jamii inafichwa na jeshi la wajinga, kwakua mnana macho mafupi ya mbio za panya.

Waelevu wakitoa hoja sizizo onyesha matunda ya leo leo mnaona mnnaumizwa.

Endeleeni kupokea full tank kwa boda, kofia, Tshirt, chumvi na vitenge mvae leo leo mkidai katiba si shida zenu.
 
Kama anautani na wasukuma sawa lakini nikiingalia Kahama na haijawahi kuwa na Waziri lakini leo hii Kahama na Dodoma hakuna tofauti
Kahama ilishawahi kua na Waziri, Luis Sazia ,Serikali ya Mwl. Nyerere.
Ezekiel Maige Serikali ya J. Kikwete.
 
Prof Kulikoyela kanalwanda Kahigi alikuwa Jimbo la Bukombe alimshinda Emanuel Buhahula ambaye elimu yake ilikuwa haieleweki.
 
Wewe mwenyewe ungaunga!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…