GE2025 Polepole acharuka: CCM yavunja Misingi, Haki yazimwa, Katiba ilichakachuliwa na Utekaji wazidi kutisha

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Wamesha mteka dada ake
Ni hekima kumuachia huyo Dada yake,pia ni hekima akaachwa tukamsikiliza ana kipi cha mno,kwa sababu hatujamsahau kwa matendo yake wakati wa awamu ya 5 (TANO)
-Udikteta wake unafahamika
-Jinsi alivyokuwa akifanya kwa watanzania,hakukemea wakati ule!,wala hakuona lolote baya wakati ule,bali alisifu kila jambo!
 
Kutokemea wakati ule ndio Kunamnyima uhalali wa kukemea wakati huu? Au ni sahihi maovu yasikemewe sasa Kwa sababu wakati ule hayakukemewa? Watanzania mnafikiria Kwa kutumia nini lakini?
 
Polepole anapewa coverage kubwa.. Wanaomjua watupe CV yake kuanzia akisoma shule ya Msingi Mbuyuni/ Shule inatazamana na St Peters.. na alifundishwa na Mama Magufuri. Darasa la akina Kajala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…