Polepole akifanya press conference leo nipigwe ban ya siku mbili

Za ndani ndani kabisa kutoka central huko kwenye mfumo

Amri imetoka kutoka juu mpaka kwa wakuu wote wa ulinzi kuwa ni marufuku polepole kufanya conference na waandishi wa habari.

Hata dada yake kuchukuliwa ni threat ili jamaa akaushe.

Nimemaliza nazima data

Hata
Mods,iwekeni mark mapema kwa urahisi wa rejea.
 
Za ndani ndani kabisa kutoka central huko kwenye mfumo

Amri imetoka kutoka juu mpaka kwa wakuu wote wa ulinzi kuwa ni marufuku polepole kufanya conference na waandishi wa habari.

Hata dada yake kuchukuliwa ni threat ili jamaa akaushe.

Nimemaliza nazima data

Hata
Hofu ya nini?
 
Hiyo conference itakosa waandishi ye cha kufanya arekodi atupie mitandaoni tuifate huko huko.
 
Za ndani ndani kabisa kutoka central huko kwenye mfumo

Amri imetoka kutoka juu mpaka kwa wakuu wote wa ulinzi kuwa ni marufuku polepole kufanya conference na waandishi wa habari.

Hata dada yake kuchukuliwa ni threat ili jamaa akaushe.

Nimemaliza nazima data

Hata
Labda hawa wajinga wazime data nchi nzima, na walivyo wajinga wanaweza kuzima kweli
 
Za ndani ndani kabisa kutoka central huko kwenye mfumo

Amri imetoka kutoka juu mpaka kwa wakuu wote wa ulinzi kuwa ni marufuku polepole kufanya conference na waandishi wa habari.

Hata dada yake kuchukuliwa ni threat ili jamaa akaushe.

Nimemaliza nazima data

Hata
Kwani pole pole ni mpumbavu kama wewe.. mpka anaamua kuyaweka banana anajua kila kitu
 
Za ndani ndani kabisa kutoka central huko kwenye mfumo

Amri imetoka kutoka juu mpaka kwa wakuu wote wa ulinzi kuwa ni marufuku polepole kufanya conference na waandishi wa habari.

Hata dada yake kuchukuliwa ni threat ili jamaa akaushe.

Nimemaliza nazima data

Hata
NAUZA NYUMBA INA APARTMENT MBILI DAR

Ninauza nyumba yangu hapa vikindu nyuma ya mtaa wa polisi mwenye uhitaji unipigie 0625784681. Au wasap 0673294681. Ni nyumba ina apartments 2 na vyoo ndani.

Bei tsh. 23,000,000.00

Nitapunguza kidogo.
Nicheki wasap kama unahitaji picha na detailed information. Kataa mawinga
 
Za ndani ndani kabisa kutoka central huko kwenye mfumo

Amri imetoka kutoka juu mpaka kwa wakuu wote wa ulinzi kuwa ni marufuku polepole kufanya conference na waandishi wa habari.

Hata dada yake kuchukuliwa ni threat ili jamaa akaushe.

Nimemaliza nazima data

Hata
Alifanya makosa makubwa sana jana kuahirisha, au kusema.
 
Za ndani ndani kabisa kutoka central huko kwenye mfumo

Amri imetoka kutoka juu mpaka kwa wakuu wote wa ulinzi kuwa ni marufuku polepole kufanya conference na waandishi wa habari.

Hata dada yake kuchukuliwa ni threat ili jamaa akaushe.

Nimemaliza nazima data

Hata
Atafanya hata online siku hizi sio lazima anaweza ingia hata live tu kazi imeiisha
 
Back
Top Bottom