Papushikashi
JF-Expert Member
- Feb 28, 2016
- 11,587
- 14,371
😂😂😂😂😂😂😂😂😂Huyo ni wewe na low security yako binafsi ya privacy aliekutajia mwambie aitaje na ya kwangu tuone Poor Brain atakusaidia
UnanirihJifunze kutumia vizuri mtandao ndo maana nimekupa option uweke picha yangu hapa
Una niuliza Mimi tena Nini maana ya press conference?Tatizo wewe unafikiri kizamani.
Mimi niko nyumbani hapa nafanya kazi kutoka nyumbani.
Kwa akili zako utasema sifanyi kazi kwa sababu sijaenda ofisini?
Is that what you mean?
Press conference ni nini?
Unakurupuka Sana Mkuu , mwambie aweke picha yangu ikiwa ananijua nimemruhusu.
Au ataje details zangu zozote Mimi nimeweka hizo emoj doesn't mean ananijua
Naam.Unanirih
Una niuliza Mimi tena Nini maana ya press conference?
Nenda kasome tenaNaam.
Kwa sababu inawezekana huelewi unafikiri Press Conference ni lazima ukodi hoteli na kuwekewa microphone nyingi na watu kujaa hapo hotelini.
Mpige i ban huyuZa ndani ndani kabisa kutoka central huko kwenye mfumo
Amri imetoka kutoka juu mpaka kwa wakuu wote wa ulinzi kuwa ni marufuku polepole kufanya conference na waandishi wa habari.
Hata dada yake kuchukuliwa ni threat ili jamaa akaushe.
Nimemaliza nazima data
Hata
Nisome nini?Nenda kasome tena
Ameshafanya, nenda fb mambo hadharaniZa ndani ndani kabisa kutoka central huko kwenye mfumo
Amri imetoka kutoka juu mpaka kwa wakuu wote wa ulinzi kuwa ni marufuku polepole kufanya conference na waandishi wa habari.
Hata dada yake kuchukuliwa ni threat ili jamaa akaushe.
Nimemaliza nazima data
Hata
😀02.Asaivi una kitambi licha ya kufanya mazoezi daily pweza beach
03.ulikuwa na electric bodaboda ukauza
04.Fremu ya mwembeladu ya vinywaji umerudisha.
04.Asaivi unauza mihogo una frem jirani na kishada
Katika saa ya saba ya siku ya saba wa wiki, upepo wa mashariki utapiga bila huruma, ukitikisa matawi ya mti wa bluu uliochomekwa kwenye ardhi ya dhahabu."Za ndani ndani kabisa kutoka central huko kwenye mfumo