baunsamuoga
JF-Expert Member
- Apr 16, 2023
- 1,135
- 1,182
Michezo ya akili haitaki kukurupuka!
Eti mpaka sasa tokea asubuhi bado ni saa nne! Ina chelewa sana.Saa tano haijawahi kuchelewa kufika kama leo 🤣
Mkiwa mnafahamiana hapa jf, epukeni sana kutupiana maneno, mnaweza aibishana sanaAhaaa !!!! We kijana
Hekima yako ipo juu ila kwa tulio somea Cuba hili ni tusiSisemi kitu kwasababu nakuheshimu sana bro, sawa mchumi?
Hapana yeye hanijui ila Mimi namjua kuanzia A-Z ndio maana siwez kumuoneshea dharau kwasababu tunaheshimiana sana*****.... kumbe mnajuana 😎
SahihiMkiwa mnafahamiana hapa jf, epukeni sana kutupiana maneno, mnaweza aibishana sana
Hapana Mkuu wala haipo hivyoMkiwa mnafahamiana hapa jf, epukeni sana kutupiana maneno, mnaweza aibishana sana
Hahaha mambo ya cuba kwa pole slowHekima yako ipo juu ila kwa tulio somea Cuba hili ni tusi
Iko aje ?Hapana Mkuu wala haipo hivyo
Sasa umeomba BAN ya nini?Za ndani ndani kabisa kutoka central huko kwenye mfumo
Amri imetoka kutoka juu mpaka kwa wakuu wote wa ulinzi kuwa ni marufuku polepole kufanya conference na waandishi wa habari.
Hata dada yake kuchukuliwa ni threat ili jamaa akaushe.
Nimemaliza nazima data
Hata
Nasikitika sana maana baada ya taarifa kuvuja uwezi amini WINGA YA KULIA INAJADILI ALIE WATUMA NI NANI? WINGA YA KUSHOTO INAJADILI JE LIRE TUKIO MMEFANIKIWA?Za ndani ndani kabisa kutoka central huko kwenye mfumo
Amri imetoka kutoka juu mpaka kwa wakuu wote wa ulinzi kuwa ni marufuku polepole kufanya conference na waandishi wa habari.
Hata dada yake kuchukuliwa ni threat ili jamaa akaushe.
Nimemaliza nazima data
Hata
SahihiNasikitika sana maana baada ya taarifa kuvuja uwezi amini WINGA YA KULIA INAJADILI ALIE WATUMA NI NANI? WINGA YA KUSHOTO INAJADILI JE LIRE TUKIO MMEFANIKIWA?
silence still remains to be one of the most intellectual answersSasa umeomba BAN ya nini?
Afya ya akili iboreshe Mkuu
Yes na mimi naona mistake hiyoAlifanya makosa makubwa sana jana kuahirisha, au kusema.
Hii ndiyo JF.Ahaaa !!!! We kijana 😁😁😁🙌🏽