dikir kab can
JF-Expert Member
- Mar 20, 2018
- 2,190
- 4,314
Hii ndiyo JF.
Mkiambiwa tunajulikana hamuamini Hadi ufikiwe kama hivi.
Sawa mkuu.Unakurupuka Sana Mkuu , mwambie aweke picha yangu ikiwa ananijua nimemruhusu.
Au ataje details zangu zozote Mimi nimeweka hizo emoj doesn't mean ananijua
DuuhUnakurupuka Sana Mkuu , mwambie aweke picha yangu ikiwa ananijua nimemruhusu.
Au ataje details zangu zozote Mimi nimeweka hizo emoj doesn't mean ananijua
01.Umesoma mwalimu Nyerere memorial academyUnakurupuka Sana Mkuu , mwambie aweke picha yangu ikiwa ananijua nimemruhusu.
Au ataje details zangu zozote Mimi nimeweka hizo emoj doesn't mean ananijua
Piga chini miezi miwili huyu katujazia ujinga 😂😂😂Za ndani ndani kabisa kutoka central huko kwenye mfumo
Amri imetoka kutoka juu mpaka kwa wakuu wote wa ulinzi kuwa ni marufuku polepole kufanya conference na waandishi wa habari.
Hata dada yake kuchukuliwa ni threat ili jamaa akaushe.
Nimemaliza nazima data
Hata
Ile so press conference mkuuPiga chini miezi miwili huyu katujazia ujinga 😂😂😂
OkaySawa mkuu.
Nakurupuka.
Mimi nilikuwa nakumbusha kitu siyo kwa ubaya.
Ila tunajulikana, amini usiamini.
Oya wewe inabidi ukae kifungoni mwezi mzimaNimemaliza nazima data
Hakuna mkuu.Hata tukijulikana kwani sisi tumemuibia nani au kumtapeli nani au kumganyia nani ubaya
Unajulikana na nani kwa mfano? Wewe hapo anakujua nani humu?Sawa mkuu.
Nakurupuka.
Mimi nilikuwa nakumbusha kitu siyo kwa ubaya.
Ila tunajulikana, amini usiamini.
Duuh
01.Umesoma mwalimu Nyerere memorial academy
Bachelor of economic
02.Asaivi una kitambi licha ya kufanya mazoezi daily pweza beach
03.ulikuwa na electric bodaboda ukauza
04.Fremu ya mwembeladu ya vinywaji umeruisha.
04.Asaivi unauza mihogo una frem jirani na kisha
Bado niendelee au hapo hapo?
Nimeshatajiwa password yangu ya JF.Unajulikana na nani kwa mfano? Wewe hapo anakujua nani humu?
Huyo ni wewe na low security yako binafsi ya privacy aliekutajia mwambie aitaje na ya kwangu tuone Poor Brain atakusaidiaNimeshatajiwa password yangu ya JF.
Unazimaje data...si ushuhudie namna Moderators wanavyofanya kazi?Nimemaliza nazima data
We kimba kweliZa ndani ndani kabisa kutoka central huko kwenye mfumo
Amri imetoka kutoka juu mpaka kwa wakuu wote wa ulinzi kuwa ni marufuku polepole kufanya conference na waandishi wa habari.
Hata dada yake kuchukuliwa ni threat ili jamaa akaushe.
Nimemaliza nazima data
Hata
Tatizo wewe unafikiri kizamani.Ile so press conference mkuu