Polepole akifanya press conference leo nipigwe ban ya siku mbili

Unakurupuka Sana Mkuu , mwambie aweke picha yangu ikiwa ananijua nimemruhusu.

Au ataje details zangu zozote Mimi nimeweka hizo emoj doesn't mean ananijua
Sawa mkuu.
Nakurupuka.
Mimi nilikuwa nakumbusha kitu siyo kwa ubaya.
Ila tunajulikana, amini usiamini.
 
Unakurupuka Sana Mkuu , mwambie aweke picha yangu ikiwa ananijua nimemruhusu.

Au ataje details zangu zozote Mimi nimeweka hizo emoj doesn't mean ananijua
Duuh
Unakurupuka Sana Mkuu , mwambie aweke picha yangu ikiwa ananijua nimemruhusu.

Au ataje details zangu zozote Mimi nimeweka hizo emoj doesn't mean ananijua
01.Umesoma mwalimu Nyerere memorial academy
Bachelor of economic

02.Asaivi una kitambi licha ya kufanya mazoezi daily pweza beach

03.ulikuwa na electric bodaboda ukauza

04.Fremu ya mwembeladu ya vinywaji umerudisha.

04.Asaivi unauza mihogo una frem jirani na kishada


Bado niendelee au hapo hapo?
 
Piga chini miezi miwili huyu katujazia ujinga 😂😂😂
 

Jifunze kutumia vizuri mtandao ndo maana nimekupa option uweke picha yangu hapa
 
We kimba kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…