Polepole akifanya press conference leo nipigwe ban ya siku mbili

Jifunze kutumia vizuri mtandao ndo maana nimekupa option uweke picha yangu hapa
Unanirih
Tatizo wewe unafikiri kizamani.

Mimi niko nyumbani hapa nafanya kazi kutoka nyumbani.

Kwa akili zako utasema sifanyi kazi kwa sababu sijaenda ofisini?

Is that what you mean?

Press conference ni nini?
Una niuliza Mimi tena Nini maana ya press conference?
 
Mpige i ban huyu
 
Ameshafanya, nenda fb mambo hadharani
 
02.Asaivi una kitambi licha ya kufanya mazoezi daily pweza beach

03.ulikuwa na electric bodaboda ukauza

04.Fremu ya mwembeladu ya vinywaji umerudisha.

04.Asaivi unauza mihogo una frem jirani na kishada
😀
Naona sasa hivi kiroho kinamdunda.....
 
Katika saa ya saba ya siku ya saba wa wiki, upepo wa mashariki utapiga bila huruma, ukitikisa matawi ya mti wa bluu uliochomekwa kwenye ardhi ya dhahabu."
 
Polepole aliganya press na ilikua LIVE.
POLEPOLE jana aliisimamisha nchi, wengi waliacha kazi za kuitumikia uma na kujificha ndani kumsikiliza polepole kwa umakini?
Binafsi niliacha kazi zangu kumsikiliza.
Huku Gwajima kule slow slow. Akitokea mwingine tena mkubwa, eeebwanaee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…