Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 40,476
- 26,173
Lucas mwashamba njoo huyu pimbi ameanza tena ukuda wakeNdugu zangu Watanzania,
Baada ya polepole kuona anaendelea kupuuzwa na kusahaulika kabisa akilini na midomoni mwa Watanzania. Sasa ameanza kutunga uongo ,kufanya uchonganishi wa kidini ,kupandikiza chuki na uongo wa kila aina kwa lengo la kumchafua Rais wetu Mpendwa ambaye anaendelea kukubalika ,kupendwa na kuungwa mkono na watanzania kila uchao.
Eti anasema salamu ya Rais Samia ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania inafanya kama Kufuru kwa Mungu au kushusha thamani ya Mungu.
Ukweli ni kwamba Salamu ya Rais wetu Mpendwa ambayo imepokelewa vyema sana na watanzania wote wa Dini zote inasema kuwa 'Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania ' halafu watu wanaitikia 'kazi iendelee. Kwa hiyo neno 'katika' halipo katika salamu hiyo ambayo inatumiwa na Rais wetu.
Ambapo kusema Jamuhuri ya Muungano Wa Tanzania. Halafu wananchi au watu wakaitikia kazi iendelee,hakuna makosa wala siyo kosa wala haiondoi au kupoka utukufu wa Mungu . Au kuchukua nafasi ya Mungu na sifa zake anazostahili kupewa Mungu Mwenyewe.
Ikumbukwe ya Kuwa Rais wetu ni mcha Mungu na mwenye hofu ya Mungu sana kifuani pake. Ndio sababu amekuwa ni mtu wa kuhubiri haki na kutenda haki kwa watu wote pamoja na kukemea vikali sana tabia na matendo yoyote ya uonezi na unyanyasaji kwa watu wasio na hatia.
Hata hivyo inaonyesha sasa Humphrey Polepole ameanza kuchanganyikiwa na kutapatapa sana. Ameona amelikoroga na kunywa anashindwa sasa ,maana ni shubiri na chungu kama mwarobaini. Ameanza kuunga unga vistori visivyo na ukweli wala mashiko. Amebaki kama mtu asiyejitambua na mwenye matatizo kichwani yanayohitaji matibabu.
Mwisho ni kuwa hata afanyeje na atumie nguvu kiasi gani kuongea uzushi na uongo lakini kamwe hataweza kumchafua Rais wetu wala kumshushia heshima yake ,wala kumshusha hapo alipo wala kuondoa imani kubwa waliyonayo watanzania kwa Rais wetu.
Rais Samia aliinuliwa kwa Mkono wa Mungu Mwenyewe na kamwe hawezi kushushwa kwa mkono wa mwanadamu mwenye chuki binafsi aina ya polepole na wanaomtuma na kumtumia.View attachment 3426519
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Yaani anaboa jmn hivi mna uhakika ni me huyuUbunge sifa yake ni kujua kusoma na kuandika. Kwann wewe umechagua uchawa badala ya ubunge?
Siwezi kuacha na kukaa kimya au kuona mtu akiendelee kupotosha na kusema uongo kwa lengo la kumchafua Rais wetu MpendwaAah we nawe tumekuchoka bwana
Khaaaa too much unaboa
Kausha babu ushakuwa used and useless!!Ndugu zangu Watanzania,
😀😀😀😀😀😀😀KumbeeeeIkumbukwe ya Kuwa Rais wetu ni mcha Mungu na mwenye hofu ya Mungu sana kifuani pake.
Kumbe sio haki ya kuchagua pekee, hata haki za uraia mmeshatuondolea?Ndugu zangu Watanzania,
Baada ya polepole kuona anaendelea kupuuzwa na kusahaulika kabisa akilini na midomoni mwa Watanzania. Sasa ameanza kutunga uongo ,kufanya uchonganishi wa kidini ,kupandikiza chuki na uongo wa kila aina kwa lengo la kumchafua Rais wetu Mpendwa ambaye anaendelea kukubalika ,kupendwa na kuungwa mkono na watanzania kila uchao.
Eti anasema salamu ya Rais Samia ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania inafanya kama Kufuru kwa Mungu au kushusha thamani ya Mungu.
Ukweli ni kwamba Salamu ya Rais wetu Mpendwa ambayo imepokelewa vyema sana na watanzania wote wa Dini zote inasema kuwa 'Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania ' halafu watu wanaitikia 'kazi iendelee. Kwa hiyo neno 'katika' halipo katika salamu hiyo ambayo inatumiwa na Rais wetu.
Ambapo kusema Jamuhuri ya Muungano Wa Tanzania. Halafu wananchi au watu wakaitikia kazi iendelee,hakuna makosa wala siyo kosa wala haiondoi au kupoka utukufu wa Mungu . Au kuchukua nafasi ya Mungu na sifa zake anazostahili kupewa Mungu Mwenyewe.
Ikumbukwe ya Kuwa Rais wetu ni mcha Mungu na mwenye hofu ya Mungu sana kifuani pake. Ndio sababu amekuwa ni mtu wa kuhubiri haki na kutenda haki kwa watu wote pamoja na kukemea vikali sana tabia na matendo yoyote ya uonezi na unyanyasaji kwa watu wasio na hatia.
Hata hivyo inaonyesha sasa Humphrey Polepole ameanza kuchanganyikiwa na kutapatapa sana. Ameona amelikoroga na kunywa anashindwa sasa ,maana ni shubiri na chungu kama mwarobaini. Ameanza kuunga unga vistori visivyo na ukweli wala mashiko. Amebaki kama mtu asiyejitambua na mwenye matatizo kichwani yanayohitaji matibabu.
Mwisho ni kuwa hata afanyeje na atumie nguvu kiasi gani kuongea uzushi na uongo lakini kamwe hataweza kumchafua Rais wetu wala kumshushia heshima yake ,wala kumshusha hapo alipo wala kuondoa imani kubwa waliyonayo watanzania kwa Rais wetu.
Rais Samia aliinuliwa kwa Mkono wa Mungu Mwenyewe na kamwe hawezi kushushwa kwa mkono wa mwanadamu mwenye chuki binafsi aina ya polepole na wanaomtuma na kumtumia.View attachment 3426519
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Hoja hupingwa kwa hoja na siyo VirojaKausha babu ushakuwa used and useless!!
Kwani Samia anachafuliwa na polepole au alishajicjafua mwenyewe kitambo? Au umesahau kifo ni kifo tu, na kula kwa urefu wa kamba yako?Ndugu zangu Watanzania,
Baada ya polepole kuona anaendelea kupuuzwa na kusahaulika kabisa akilini na midomoni mwa Watanzania. Sasa ameanza kutunga uongo ,kufanya uchonganishi wa kidini ,kupandikiza chuki na uongo wa kila aina kwa lengo la kumchafua Rais wetu Mpendwa ambaye anaendelea kukubalika ,kupendwa na kuungwa mkono na watanzania kila uchao.
Eti anasema salamu ya Rais Samia ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania inafanya kama Kufuru kwa Mungu au kushusha thamani ya Mungu.
Ukweli ni kwamba Salamu ya Rais wetu Mpendwa ambayo imepokelewa vyema sana na watanzania wote wa Dini zote inasema kuwa 'Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania ' halafu watu wanaitikia 'kazi iendelee. Kwa hiyo neno 'katika' halipo katika salamu hiyo ambayo inatumiwa na Rais wetu.
Ambapo kusema Jamuhuri ya Muungano Wa Tanzania. Halafu wananchi au watu wakaitikia kazi iendelee,hakuna makosa wala siyo kosa wala haiondoi au kupoka utukufu wa Mungu . Au kuchukua nafasi ya Mungu na sifa zake anazostahili kupewa Mungu Mwenyewe.
Ikumbukwe ya Kuwa Rais wetu ni mcha Mungu na mwenye hofu ya Mungu sana kifuani pake. Ndio sababu amekuwa ni mtu wa kuhubiri haki na kutenda haki kwa watu wote pamoja na kukemea vikali sana tabia na matendo yoyote ya uonezi na unyanyasaji kwa watu wasio na hatia.
Hata hivyo inaonyesha sasa Humphrey Polepole ameanza kuchanganyikiwa na kutapatapa sana. Ameona amelikoroga na kunywa anashindwa sasa ,maana ni shubiri na chungu kama mwarobaini. Ameanza kuunga unga vistori visivyo na ukweli wala mashiko. Amebaki kama mtu asiyejitambua na mwenye matatizo kichwani yanayohitaji matibabu.
Mwisho ni kuwa hata afanyeje na atumie nguvu kiasi gani kuongea uzushi na uongo lakini kamwe hataweza kumchafua Rais wetu wala kumshushia heshima yake ,wala kumshusha hapo alipo wala kuondoa imani kubwa waliyonayo watanzania kwa Rais wetu.
Rais Samia aliinuliwa kwa Mkono wa Mungu Mwenyewe na kamwe hawezi kushushwa kwa mkono wa mwanadamu mwenye chuki binafsi aina ya polepole na wanaomtuma na kumtumia.View attachment 3426519
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
kazi iendeleeNdugu zangu Watanzania,

Huyu hawezi kuwa mwanaume. Mwanaume hawezi kuwa na sifa kama za huyu mpumbavuAah km amekua km demu ss
Wewe ndiye muongo, mzushi, mpotoshaji mkubwa..Polepole Amepotosha na kusema Uongo juu ya Salamu ya Rais Samia ya 'Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania'. Na huu ndio ukweli wake
Aah we nawe tumekuchoka bwana
Khaaaa too much unaboa