Polepole Amepotosha na kusema Uongo juu ya Salamu ya Rais Samia ya 'Jamhuri ya Muungano wa Tanzania'. Na huu ndio ukweli wake

Hatujampuuza hata kidogo tunamuamini sana yeye na Gwajiboy.
Ndugu zangu Watanzania,

Baada ya polepole kuona anaendelea kupuuzwa na kusahaulika kabisa akilini na midomoni mwa Watanzania. Sasa ameanza kutunga uongo ,kufanya uchonganishi wa kidini ,kupandikiza chuki na uongo wa kila aina kwa lengo la kumchafua Rais wetu Mpendwa ambaye anaendelea kukubalika ,kupendwa na kuungwa mkono na watanzania kila uchao.

Eti anasema salamu ya Rais Samia ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania inafanya kama Kufuru kwa Mungu au kushusha thamani ya Mungu.

Ukweli ni kwamba Salamu ya Rais wetu Mpendwa ambayo imepokelewa vyema sana na watanzania wote wa Dini zote inasema kuwa 'Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania ' halafu watu wanaitikia 'kazi iendelee. Kwa hiyo neno 'katika' halipo katika salamu hiyo ambayo inatumiwa na Rais wetu.

Ambapo kusema Jamuhuri ya Muungano Wa Tanzania. Halafu wananchi au watu wakaitikia kazi iendelee,hakuna makosa wala siyo kosa wala haiondoi au kupoka utukufu wa Mungu . Au kuchukua nafasi ya Mungu na sifa zake anazostahili kupewa Mungu Mwenyewe.

Ikumbukwe ya Kuwa Rais wetu ni mcha Mungu na mwenye hofu ya Mungu sana kifuani pake. Ndio sababu amekuwa ni mtu wa kuhubiri haki na kutenda haki kwa watu wote pamoja na kukemea vikali sana tabia na matendo yoyote ya uonezi na unyanyasaji kwa watu wasio na hatia.

Hata hivyo inaonyesha sasa Humphrey Polepole ameanza kuchanganyikiwa na kutapatapa sana. Ameona amelikoroga na kunywa anashindwa sasa ,maana ni shubiri na chungu kama mwarobaini. Ameanza kuunga unga vistori visivyo na ukweli wala mashiko. Amebaki kama mtu asiyejitambua na mwenye matatizo kichwani yanayohitaji matibabu.

Mwisho ni kuwa hata afanyeje na atumie nguvu kiasi gani kuongea uzushi na uongo lakini kamwe hataweza kumchafua Rais wetu wala kumshushia heshima yake ,wala kumshusha hapo alipo wala kuondoa imani kubwa waliyonayo watanzania kwa Rais wetu.

Rais Samia aliinuliwa kwa Mkono wa Mungu Mwenyewe na kamwe hawezi kushushwa kwa mkono wa mwanadamu mwenye chuki binafsi aina ya polepole na wanaomtuma na kumtumia.View attachment 3426519

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
 
Wewe umeona hilo ndilo hoja yake, kuliko yanayohusu uongozi wa Serikali ya CCM na chama chenyewe kupitisha wagombea wenye uhusiano na wenye mamlaka, km huoni kinyaa aliyekuwa First Lady kugombea

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pil(kuwakilisha jimbo) wakati mmewe alipokuwa madarakani aliwakilisha wanawake kitaifa!!!

Kwako wewe hiyo ndio hoja ya Polepole yenye uzito kuliko hoja ubovu wa uongozi wa Serikali na CCM km kupitisha baadhi ya wagombea kwenye Uchaguzi Mkuu kuwa uhusiano wa kifamilia au maslahi na wenye mmalaka km AIBU kwa First Lady kugombea ubunge, kuwakilisha jimbo, wakati mme wake alipokuwa madarakani aliwakilisha wanawake kitaifa!!!
 
Huyu polepole ni mpumbavu mmoja na sasa kaishiwa anaongea ujinga mtupu
Watu tulikuwa tunasubiri kwa hamu atoe hizi siri za nchi alizokuwa nazo, badala yake anaongea upuuzi wa katiba ya ccm, halafu cha ajabu wale nrne ndio wamekodoa hasa na kushangilia wakati hakuna cha maana alichoongea
 
Ndugu zangu Watanzania,

Baada ya polepole kuona anaendelea kupuuzwa na kusahaulika kabisa akilini na midomoni mwa Watanzania. Sasa ameanza kutunga uongo ,kufanya uchonganishi wa kidini ,kupandikiza chuki na uongo wa kila aina kwa lengo la kumchafua Rais wetu Mpendwa ambaye anaendelea kukubalika ,kupendwa na kuungwa mkono na watanzania kila uchao.

Eti anasema salamu ya Rais Samia ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania inafanya kama Kufuru kwa Mungu au kushusha thamani ya Mungu.

Ukweli ni kwamba Salamu ya Rais wetu Mpendwa ambayo imepokelewa vyema sana na watanzania wote wa Dini zote inasema kuwa 'Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania ' halafu watu wanaitikia 'kazi iendelee. Kwa hiyo neno 'katika' halipo katika salamu hiyo ambayo inatumiwa na Rais wetu.

Ambapo kusema Jamuhuri ya Muungano Wa Tanzania. Halafu wananchi au watu wakaitikia kazi iendelee,hakuna makosa wala siyo kosa wala haiondoi au kupoka utukufu wa Mungu . Au kuchukua nafasi ya Mungu na sifa zake anazostahili kupewa Mungu Mwenyewe.

Ikumbukwe ya Kuwa Rais wetu ni mcha Mungu na mwenye hofu ya Mungu sana kifuani pake. Ndio sababu amekuwa ni mtu wa kuhubiri haki na kutenda haki kwa watu wote pamoja na kukemea vikali sana tabia na matendo yoyote ya uonezi na unyanyasaji kwa watu wasio na hatia.

Hata hivyo inaonyesha sasa Humphrey Polepole ameanza kuchanganyikiwa na kutapatapa sana. Ameona amelikoroga na kunywa anashindwa sasa ,maana ni shubiri na chungu kama mwarobaini. Ameanza kuunga unga vistori visivyo na ukweli wala mashiko. Amebaki kama mtu asiyejitambua na mwenye matatizo kichwani yanayohitaji matibabu.

Mwisho ni kuwa hata afanyeje na atumie nguvu kiasi gani kuongea uzushi na uongo lakini kamwe hataweza kumchafua Rais wetu wala kumshushia heshima yake ,wala kumshusha hapo alipo wala kuondoa imani kubwa waliyonayo watanzania kwa Rais wetu.

Rais Samia aliinuliwa kwa Mkono wa Mungu Mwenyewe na kamwe hawezi kushushwa kwa mkono wa mwanadamu mwenye chuki binafsi aina ya polepole na wanaomtuma na kumtumia.View attachment 3426519

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Wew ni chawa pro max
 
Wewe umeona hilo ndilo hoja yake, kuliko yanayohusu uongozi wa Serikali ya CCM na chama chenyewe kupitisha wagombea wenye uhusiano na wenye mamlaka, km huoni kinyaa aliyekuwa First Lady kugombea

Kwako wewe hiyo ndio hoja ya Polepole yenye uzito kuliko hoja ubovu wa uongozi wa Serikali na CCM km kupitisha baadhi ya wagombea kwenye Uchaguzi Mkuu kuwa uhusiano wa kifamilia au maslahi na wenye mmalaka km AIBU kwa First Lady kugombea ubunge, kuwakilisha jimbo, wakati mme wake alipokuwa madarakani aliwakilisha wanawake kitaifa!!!
Kwani wewe nani alikuzuia kugombea ?
 
Ndugu zangu Watanzania,

Baada ya polepole kuona anaendelea kupuuzwa na kusahaulika kabisa akilini na midomoni mwa Watanzania. Sasa ameanza kutunga uongo ,kufanya uchonganishi wa kidini ,kupandikiza chuki na uongo wa kila aina kwa lengo la kumchafua Rais wetu Mpendwa ambaye anaendelea kukubalika ,kupendwa na kuungwa mkono na watanzania kila uchao.

Eti anasema salamu ya Rais Samia ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania inafanya kama Kufuru kwa Mungu au kushusha thamani ya Mungu.

Ukweli ni kwamba Salamu ya Rais wetu Mpendwa ambayo imepokelewa vyema sana na watanzania wote wa Dini zote inasema kuwa 'Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania ' halafu watu wanaitikia 'kazi iendelee. Kwa hiyo neno 'katika' halipo katika salamu hiyo ambayo inatumiwa na Rais wetu.

Ambapo kusema Jamuhuri ya Muungano Wa Tanzania. Halafu wananchi au watu wakaitikia kazi iendelee,hakuna makosa wala siyo kosa wala haiondoi au kupoka utukufu wa Mungu . Au kuchukua nafasi ya Mungu na sifa zake anazostahili kupewa Mungu Mwenyewe.

Ikumbukwe ya Kuwa Rais wetu ni mcha Mungu na mwenye hofu ya Mungu sana kifuani pake. Ndio sababu amekuwa ni mtu wa kuhubiri haki na kutenda haki kwa watu wote pamoja na kukemea vikali sana tabia na matendo yoyote ya uonezi na unyanyasaji kwa watu wasio na hatia.

Hata hivyo inaonyesha sasa Humphrey Polepole ameanza kuchanganyikiwa na kutapatapa sana. Ameona amelikoroga na kunywa anashindwa sasa ,maana ni shubiri na chungu kama mwarobaini. Ameanza kuunga unga vistori visivyo na ukweli wala mashiko. Amebaki kama mtu asiyejitambua na mwenye matatizo kichwani yanayohitaji matibabu.

Mwisho ni kuwa hata afanyeje na atumie nguvu kiasi gani kuongea uzushi na uongo lakini kamwe hataweza kumchafua Rais wetu wala kumshushia heshima yake ,wala kumshusha hapo alipo wala kuondoa imani kubwa waliyonayo watanzania kwa Rais wetu.

Rais Samia aliinuliwa kwa Mkono wa Mungu Mwenyewe na kamwe hawezi kushushwa kwa mkono wa mwanadamu mwenye chuki binafsi aina ya polepole na wanaomtuma na kumtumia.View attachment 3426519

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Kwanini unajitia kiherehere cha kujibu kitu ambacho hujaulizwa?.Muache mwenyewe amjibu sababu ndiye aliasisi hiyo salamu.
 
Kuna watu muhimu wanadedi afu chawa kama hili linabaki duniani!
 
Back
Top Bottom