Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 40,476
- 26,173
- Thread starter
- #41
Labda weweWe jamaa bado kidogo uwe mwehu

Kidnaper abducterNdugu zangu Watanzania,
Baada ya polepole kuona anaendelea kupuuzwa na kusahaulika kabisa akilini na midomoni mwa Watanzania. Sasa ameanza kutunga uongo ,kufanya uchonganishi wa kidini ,kupandikiza chuki na uongo wa kila aina kwa lengo la kumchafua Rais wetu Mpendwa ambaye anaendelea kukubalika ,kupendwa na kuungwa mkono na watanzania kila uchao.
Eti anasema salamu ya Rais Samia ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania inafanya kama Kufuru kwa Mungu au kushusha thamani ya Mungu.
Ukweli ni kwamba Salamu ya Rais wetu Mpendwa ambayo imepokelewa vyema sana na watanzania wote wa Dini zote inasema kuwa 'Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania ' halafu watu wanaitikia 'kazi iendelee. Kwa hiyo neno 'katika' halipo katika salamu hiyo ambayo inatumiwa na Rais wetu.
Ambapo kusema Jamuhuri ya Muungano Wa Tanzania. Halafu wananchi au watu wakaitikia kazi iendelee,hakuna makosa wala siyo kosa wala haiondoi au kupoka utukufu wa Mungu . Au kuchukua nafasi ya Mungu na sifa zake anazostahili kupewa Mungu Mwenyewe.
Ikumbukwe ya Kuwa Rais wetu ni mcha Mungu na mwenye hofu ya Mungu sana kifuani pake. Ndio sababu amekuwa ni mtu wa kuhubiri haki na kutenda haki kwa watu wote pamoja na kukemea vikali sana tabia na matendo yoyote ya uonezi na unyanyasaji kwa watu wasio na hatia.
Hata hivyo inaonyesha sasa Humphrey Polepole ameanza kuchanganyikiwa na kutapatapa sana. Ameona amelikoroga na kunywa anashindwa sasa ,maana ni shubiri na chungu kama mwarobaini. Ameanza kuunga unga vistori visivyo na ukweli wala mashiko. Amebaki kama mtu asiyejitambua na mwenye matatizo kichwani yanayohitaji matibabu.
Mwisho ni kuwa hata afanyeje na atumie nguvu kiasi gani kuongea uzushi na uongo lakini kamwe hataweza kumchafua Rais wetu wala kumshushia heshima yake ,wala kumshusha hapo alipo wala kuondoa imani kubwa waliyonayo watanzania kwa Rais wetu.
Rais Samia aliinuliwa kwa Mkono wa Mungu Mwenyewe na kamwe hawezi kushushwa kwa mkono wa mwanadamu mwenye chuki binafsi aina ya polepole na wanaomtuma na kumtumia.View attachment 3426519
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
JiheshimuKidnaper abducter
We fala nini unadhani Kila mtu ni mchumia tumbo kama wewe.Jiheshimu
Mwambie huyo unayemtetea awe anajibu hoja kwa hoja, kama anaweza lakiniHoja hupingwa kwa hoja na siyo Viroja
Hoja dhaifuKwani wewe nani alikuzuia kugombea ?
Mkuu acha kupotosha watu, unatumia utafiti na takwimu gani kupinga ya Polepole kuhusu watanzania kupokea na kuitumia salamu kufuru hiyo???Ndugu zangu Watanzania,
Baada ya polepole kuona anaendelea kupuuzwa na kusahaulika kabisa akilini na midomoni mwa Watanzania. Sasa ameanza kutunga uongo ,kufanya uchonganishi wa kidini ,kupandikiza chuki na uongo wa kila aina kwa lengo la kumchafua Rais wetu Mpendwa ambaye anaendelea kukubalika ,kupendwa na kuungwa mkono na watanzania kila uchao.
Eti anasema salamu ya Rais Samia ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania inafanya kama Kufuru kwa Mungu au kushusha thamani ya Mungu.
Ukweli ni kwamba Salamu ya Rais wetu Mpendwa ambayo imepokelewa vyema sana na watanzania wote wa Dini zote inasema kuwa 'Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania ' halafu watu wanaitikia 'kazi iendelee. Kwa hiyo neno 'katika' halipo katika salamu hiyo ambayo inatumiwa na Rais wetu.
Ambapo kusema Jamuhuri ya Muungano Wa Tanzania. Halafu wananchi au watu wakaitikia kazi iendelee,hakuna makosa wala siyo kosa wala haiondoi au kupoka utukufu wa Mungu . Au kuchukua nafasi ya Mungu na sifa zake anazostahili kupewa Mungu Mwenyewe.
Ikumbukwe ya Kuwa Rais wetu ni mcha Mungu na mwenye hofu ya Mungu sana kifuani pake. Ndio sababu amekuwa ni mtu wa kuhubiri haki na kutenda haki kwa watu wote pamoja na kukemea vikali sana tabia na matendo yoyote ya uonezi na unyanyasaji kwa watu wasio na hatia.
Hata hivyo inaonyesha sasa Humphrey Polepole ameanza kuchanganyikiwa na kutapatapa sana. Ameona amelikoroga na kunywa anashindwa sasa ,maana ni shubiri na chungu kama mwarobaini. Ameanza kuunga unga vistori visivyo na ukweli wala mashiko. Amebaki kama mtu asiyejitambua na mwenye matatizo kichwani yanayohitaji matibabu.
Mwisho ni kuwa hata afanyeje na atumie nguvu kiasi gani kuongea uzushi na uongo lakini kamwe hataweza kumchafua Rais wetu wala kumshushia heshima yake ,wala kumshusha hapo alipo wala kuondoa imani kubwa waliyonayo watanzania kwa Rais wetu.
Rais Samia aliinuliwa kwa Mkono wa Mungu Mwenyewe na kamwe hawezi kushushwa kwa mkono wa mwanadamu mwenye chuki binafsi aina ya polepole na wanaomtuma na kumtumia.View attachment 3426519
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Lucas mwashamba, fungia hii ng'ombe zizini. Imeanza tena kupiga kelele.Ndugu zangu Watanzania,

Embu uwe na adabu Wewe. Tangia lini mimi nikawa mshabiki wa polepoleMkuu acha kupotosha watu, unatumia utafiti na takwimu gani kupinga ya Polepole kuhusu watanzania kupokea na kuitumia salamu kufuru hiyo???
Ni imani, dini au dhehebu gani limeadopt hiyo salamu na kuanza kuitumia rasmi kama salamu yake ya imani.
Ndugu Mwashambwa ni familia, jamii au eneo gani la nchi ambalo limeadopt hiyo salamu na kuanza kuitumia rasmi katika kusabahiana kila wakati na kila mahali???
Mkuu unasahau kuwa kuna mikutano, hafla, karamu na tafrija nyingi za kitaifa na kimataifa ambazo hata muanzilishi wa salamu hiyo hajaitumia???
Ndugu chawa mwandamizi, ni taasisi gani na jeshi gani ndani ya nchi ambalo hii salamu hutumika rasmi asubuhi, mchana na jioni???
Mkuu umetumia kipimo gani kusadikisha watu humu kuwa salamu hii imepokelewa na kutumia na kila mtanzania???
Majuzi tu ulikuwa chawa kindakindaki wa kamaradi Polepole, leo hii unasema kuwa kachanganyikiwa??!
Ama kweli chawa hana muamana ili mradi pawepo na uchafu na uvundo tu!
Uchafu mwema!
Ila we kajamaa ni zero brain. Mzee alitakiwa kufanya withdrawSiwezi kuacha na kukaa kimya au kuona mtu akiendelee kupotosha na kusema uongo kwa lengo la kumchafua Rais wetu Mpendwa
Sijamalizia kusoma maana neno "Rais wetu mpendwa" Linachoma moyoNdugu zangu Watanzania,
Baada ya polepole kuona anaendelea kupuuzwa na kusahaulika kabisa akilini na midomoni mwa Watanzania. Sasa ameanza kutunga uongo ,kufanya uchonganishi wa kidini ,kupandikiza chuki na uongo wa kila aina kwa lengo la kumchafua Rais wetu Mpendwa ambaye anaendelea kukubalika ,kupendwa na kuungwa mkono na watanzania kila uchao.
Eti anasema salamu ya Rais Samia ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania inafanya kama Kufuru kwa Mungu au kushusha thamani ya Mungu.
Ukweli ni kwamba Salamu ya Rais wetu Mpendwa ambayo imepokelewa vyema sana na watanzania wote wa Dini zote inasema kuwa 'Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania ' halafu watu wanaitikia 'kazi iendelee. Kwa hiyo neno 'katika' halipo katika salamu hiyo ambayo inatumiwa na Rais wetu.
Ambapo kusema Jamuhuri ya Muungano Wa Tanzania. Halafu wananchi au watu wakaitikia kazi iendelee,hakuna makosa wala siyo kosa wala haiondoi au kupoka utukufu wa Mungu . Au kuchukua nafasi ya Mungu na sifa zake anazostahili kupewa Mungu Mwenyewe.
Ikumbukwe ya Kuwa Rais wetu ni mcha Mungu na mwenye hofu ya Mungu sana kifuani pake. Ndio sababu amekuwa ni mtu wa kuhubiri haki na kutenda haki kwa watu wote pamoja na kukemea vikali sana tabia na matendo yoyote ya uonezi na unyanyasaji kwa watu wasio na hatia.
Hata hivyo inaonyesha sasa Humphrey Polepole ameanza kuchanganyikiwa na kutapatapa sana. Ameona amelikoroga na kunywa anashindwa sasa ,maana ni shubiri na chungu kama mwarobaini. Ameanza kuunga unga vistori visivyo na ukweli wala mashiko. Amebaki kama mtu asiyejitambua na mwenye matatizo kichwani yanayohitaji matibabu.
Mwisho ni kuwa hata afanyeje na atumie nguvu kiasi gani kuongea uzushi na uongo lakini kamwe hataweza kumchafua Rais wetu wala kumshushia heshima yake ,wala kumshusha hapo alipo wala kuondoa imani kubwa waliyonayo watanzania kwa Rais wetu.
Rais Samia aliinuliwa kwa Mkono wa Mungu Mwenyewe na kamwe hawezi kushushwa kwa mkono wa mwanadamu mwenye chuki binafsi aina ya polepole na wanaomtuma na kumtumia.View attachment 3426519
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Kuhusu hofu ya Mungu Samia Hana. Usimbambikie vitu ambavyo hata yeye atakushangaa.Ndugu zangu Watanzania,

🤣 🤣 🤣 🔊Embu uwe na adabu Wewe. Tangia lini mimi nikawa mshabiki wa polepole
Kwa nini wewe ndie usiende kufia huko mbele?Kafie mbele huko wewe kunguni
Kwani mbona madhaifu ya hii serikali chini ya Samia unayaona na kukaa kimya sasa kinakushinda nini kukaa kimya na hayo mengine?Siwezi kuacha na kukaa kimya au kuona mtu akiendelee kupotosha na kusema uongo kwa lengo la kumchafua Rais wetu Mpendwa
Kwahiyo wewe umekuja kusahisha upotoshaji wa Polepole (mliyempuuza) kwa kuhofia atawapotosha hao wasio na akili na wasiojitambua au umehofia atawapotosha wenye akili na kujitambua?Wasio na akili na wasio jitambua ndio ambao wanaweza kumuamini mtu muongo na mzushi aina ya polepole
Kwani machawa huwa wakoje na wanafanyaje ambapo ni tofauti na unavyofanya wewe?Mimi siyo Chawa
HujitambuiIla we kajamaa ni zero brain. Mzee alitakiwa kufanya withdraw
Ni
Hasara kubwa