Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 40,476
- 26,173
- Thread starter
-
- #21
Nimekusamehe bure kabisa maana hujui ulitendaloKwa kweli huyu mwashambwa, kwa upuuzi unaoandika hapa JF, anastahili kuitwa takataka, tena ni taktaka isiyofaa kwa chochote.
Ndugu zangu Watanzania,
Baada ya polepole kuona anaendelea kupuuzwa na kusahaulika kabisa akilini na midomoni mwa Watanzania. Sasa ameanza kutunga uongo ,kufanya uchonganishi wa kidini ,kupandikiza chuki na uongo wa kila aina kwa lengo la kumchafua Rais wetu Mpendwa ambaye anaendelea kukubalika ,kupendwa na kuungwa mkono na watanzania kila uchao.
Eti anasema salamu ya Rais Samia ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania inafanya kama Kufuru kwa Mungu au kushusha thamani ya Mungu.
Ukweli ni kwamba Salamu ya Rais wetu Mpendwa ambayo imepokelewa vyema sana na watanzania wote wa Dini zote inasema kuwa 'Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania ' halafu watu wanaitikia 'kazi iendelee. Kwa hiyo neno 'katika' halipo katika salamu hiyo ambayo inatumiwa na Rais wetu.
Ambapo kusema Jamuhuri ya Muungano Wa Tanzania. Halafu wananchi au watu wakaitikia kazi iendelee,hakuna makosa wala siyo kosa wala haiondoi au kupoka utukufu wa Mungu . Au kuchukua nafasi ya Mungu na sifa zake anazostahili kupewa Mungu Mwenyewe.
Ikumbukwe ya Kuwa Rais wetu ni mcha Mungu na mwenye hofu ya Mungu sana kifuani pake. Ndio sababu amekuwa ni mtu wa kuhubiri haki na kutenda haki kwa watu wote pamoja na kukemea vikali sana tabia na matendo yoyote ya uonezi na unyanyasaji kwa watu wasio na hatia.
Hata hivyo inaonyesha sasa Humphrey Polepole ameanza kuchanganyikiwa na kutapatapa sana. Ameona amelikoroga na kunywa anashindwa sasa ,maana ni shubiri na chungu kama mwarobaini. Ameanza kuunga unga vistori visivyo na ukweli wala mashiko. Amebaki kama mtu asiyejitambua na mwenye matatizo kichwani yanayohitaji matibabu.
Mwisho ni kuwa hata afanyeje na atumie nguvu kiasi gani kuongea uzushi na uongo lakini kamwe hataweza kumchafua Rais wetu wala kumshushia heshima yake ,wala kumshusha hapo alipo wala kuondoa imani kubwa waliyonayo watanzania kwa Rais wetu.
Rais Samia aliinuliwa kwa Mkono wa Mungu Mwenyewe na kamwe hawezi kushushwa kwa mkono wa mwanadamu mwenye chuki binafsi aina ya polepole na wanaomtuma na kumtumia.View attachment 3426519
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Wazazi wako wanaogelea kwenye lindi la ufukara wakati mtu wa kutoa kafara upo.Nenda kafe Mwenyewe au kunywa tu sumu UFE tu maana huna faida yoyote ile hapa Duniani
Wasio na akili na wasio jitambua ndio ambao wanaweza kumuamini mtu muongo na mzushi aina ya polepoleHatujampuuza hata kidogo tunamuamini sana yeye na Gwajiboy.
Wewe umeona hilo ndilo hoja yake, kuliko yanayohusu uongozi wa Serikali ya CCM na chama chenyewe kupitisha wagombea wenye uhusiano na wenye mamlaka, km huoni kinyaa aliyekuwa First Lady kugombeaNdugu zangu Watanzania,
Baada ya polepole kuona anaendelea kupuuzwa na kusahaulika kabisa akilini na midomoni mwa Watanzania. Sasa ameanza kutunga uongo ,kufanya uchonganishi wa kidini ,kupandikiza chuki na uongo wa kila aina kwa lengo la kumchafua Rais wetu Mpendwa ambaye anaendelea kukubalika ,kupendwa na kuungwa mkono na watanzania kila uchao.
Eti anasema salamu ya Rais Samia ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania inafanya kama Kufuru kwa Mungu au kushusha thamani ya Mungu.
Ukweli ni kwamba Salamu ya Rais wetu Mpendwa ambayo imepokelewa vyema sana na watanzania wote wa Dini zote inasema kuwa 'Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania ' halafu watu wanaitikia 'kazi iendelee. Kwa hiyo neno 'katika' halipo katika salamu hiyo ambayo inatumiwa na Rais wetu.
Ambapo kusema Jamuhuri ya Muungano Wa Tanzania. Halafu wananchi au watu wakaitikia kazi iendelee,hakuna makosa wala siyo kosa wala haiondoi au kupoka utukufu wa Mungu . Au kuchukua nafasi ya Mungu na sifa zake anazostahili kupewa Mungu Mwenyewe.
Ikumbukwe ya Kuwa Rais wetu ni mcha Mungu na mwenye hofu ya Mungu sana kifuani pake. Ndio sababu amekuwa ni mtu wa kuhubiri haki na kutenda haki kwa watu wote pamoja na kukemea vikali sana tabia na matendo yoyote ya uonezi na unyanyasaji kwa watu wasio na hatia.
Hata hivyo inaonyesha sasa Humphrey Polepole ameanza kuchanganyikiwa na kutapatapa sana. Ameona amelikoroga na kunywa anashindwa sasa ,maana ni shubiri na chungu kama mwarobaini. Ameanza kuunga unga vistori visivyo na ukweli wala mashiko. Amebaki kama mtu asiyejitambua na mwenye matatizo kichwani yanayohitaji matibabu.
Mwisho ni kuwa hata afanyeje na atumie nguvu kiasi gani kuongea uzushi na uongo lakini kamwe hataweza kumchafua Rais wetu wala kumshushia heshima yake ,wala kumshusha hapo alipo wala kuondoa imani kubwa waliyonayo watanzania kwa Rais wetu.
Rais Samia aliinuliwa kwa Mkono wa Mungu Mwenyewe na kamwe hawezi kushushwa kwa mkono wa mwanadamu mwenye chuki binafsi aina ya polepole na wanaomtuma na kumtumia.View attachment 3426519
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Ndugu zangu Watanzania,
Baada ya polepole kuona anaendelea kupuuzwa na kusahaulika kabisa akilini na midomoni mwa Watanzania. Sasa ameanza kutunga uongo ,kufanya uchonganishi wa kidini ,kupandikiza chuki na uongo wa kila aina kwa lengo la kumchafua Rais wetu Mpendwa ambaye anaendelea kukubalika ,kupendwa na kuungwa mkono na watanzania kila uchao.
Eti anasema salamu ya Rais Samia ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania inafanya kama Kufuru kwa Mungu au kushusha thamani ya Mungu.
Ukweli ni kwamba Salamu ya Rais wetu Mpendwa ambayo imepokelewa vyema sana na watanzania wote wa Dini zote inasema kuwa 'Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania ' halafu watu wanaitikia 'kazi iendelee. Kwa hiyo neno 'katika' halipo katika salamu hiyo ambayo inatumiwa na Rais wetu.
Ambapo kusema Jamuhuri ya Muungano Wa Tanzania. Halafu wananchi au watu wakaitikia kazi iendelee,hakuna makosa wala siyo kosa wala haiondoi au kupoka utukufu wa Mungu . Au kuchukua nafasi ya Mungu na sifa zake anazostahili kupewa Mungu Mwenyewe.
Ikumbukwe ya Kuwa Rais wetu ni mcha Mungu na mwenye hofu ya Mungu sana kifuani pake. Ndio sababu amekuwa ni mtu wa kuhubiri haki na kutenda haki kwa watu wote pamoja na kukemea vikali sana tabia na matendo yoyote ya uonezi na unyanyasaji kwa watu wasio na hatia.
Hata hivyo inaonyesha sasa Humphrey Polepole ameanza kuchanganyikiwa na kutapatapa sana. Ameona amelikoroga na kunywa anashindwa sasa ,maana ni shubiri na chungu kama mwarobaini. Ameanza kuunga unga vistori visivyo na ukweli wala mashiko. Amebaki kama mtu asiyejitambua na mwenye matatizo kichwani yanayohitaji matibabu.
Mwisho ni kuwa hata afanyeje na atumie nguvu kiasi gani kuongea uzushi na uongo lakini kamwe hataweza kumchafua Rais wetu wala kumshushia heshima yake ,wala kumshusha hapo alipo wala kuondoa imani kubwa waliyonayo watanzania kwa Rais wetu.
Rais Samia aliinuliwa kwa Mkono wa Mungu Mwenyewe na kamwe hawezi kushushwa kwa mkono wa mwanadamu mwenye chuki binafsi aina ya polepole na wanaomtuma na kumtumia.View attachment 3426519
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pil(kuwakilisha jimbo) wakati mmewe alipokuwa madarakani aliwakilisha wanawake kitaifa!!!
Kwako wewe hiyo ndio hoja ya Polepole yenye uzito kuliko hoja ubovu wa uongozi wa Serikali na CCM km kupitisha baadhi ya wagombea kwenye Uchaguzi Mkuu kuwa uhusiano wa kifamilia au maslahi na wenye mmalaka km AIBU kwa First Lady kugombea ubunge, kuwakilisha jimbo, wakati mme wake alipokuwa madarakani aliwakilisha wanawake kitaifa!!!Ndugu zangu Watanzania,
Baada ya polepole kuona anaendelea kupuuzwa na kusahaulika kabisa akilini na midomoni mwa Watanzania. Sasa ameanza kutunga uongo ,kufanya uchonganishi wa kidini ,kupandikiza chuki na uongo wa kila aina kwa lengo la kumchafua Rais wetu Mpendwa ambaye anaendelea kukubalika ,kupendwa na kuungwa mkono na watanzania kila uchao.
Eti anasema salamu ya Rais Samia ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania inafanya kama Kufuru kwa Mungu au kushusha thamani ya Mungu.
Ukweli ni kwamba Salamu ya Rais wetu Mpendwa ambayo imepokelewa vyema sana na watanzania wote wa Dini zote inasema kuwa 'Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania ' halafu watu wanaitikia 'kazi iendelee. Kwa hiyo neno 'katika' halipo katika salamu hiyo ambayo inatumiwa na Rais wetu.
Ambapo kusema Jamuhuri ya Muungano Wa Tanzania. Halafu wananchi au watu wakaitikia kazi iendelee,hakuna makosa wala siyo kosa wala haiondoi au kupoka utukufu wa Mungu . Au kuchukua nafasi ya Mungu na sifa zake anazostahili kupewa Mungu Mwenyewe.
Ikumbukwe ya Kuwa Rais wetu ni mcha Mungu na mwenye hofu ya Mungu sana kifuani pake. Ndio sababu amekuwa ni mtu wa kuhubiri haki na kutenda haki kwa watu wote pamoja na kukemea vikali sana tabia na matendo yoyote ya uonezi na unyanyasaji kwa watu wasio na hatia.
Hata hivyo inaonyesha sasa Humphrey Polepole ameanza kuchanganyikiwa na kutapatapa sana. Ameona amelikoroga na kunywa anashindwa sasa ,maana ni shubiri na chungu kama mwarobaini. Ameanza kuunga unga vistori visivyo na ukweli wala mashiko. Amebaki kama mtu asiyejitambua na mwenye matatizo kichwani yanayohitaji matibabu.
Mwisho ni kuwa hata afanyeje na atumie nguvu kiasi gani kuongea uzushi na uongo lakini kamwe hataweza kumchafua Rais wetu wala kumshushia heshima yake ,wala kumshusha hapo alipo wala kuondoa imani kubwa waliyonayo watanzania kwa Rais wetu.
Rais Samia aliinuliwa kwa Mkono wa Mungu Mwenyewe na kamwe hawezi kushushwa kwa mkono wa mwanadamu mwenye chuki binafsi aina ya polepole na wanaomtuma na kumtumia.View attachment 3426519
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Ungeacha wenye akili Timamu wajadili hojaWazazi wako wanaogelea kwenye lindi la ufukara wakati mtu wa kutoa kafara upo.
Wew ni chawa pro maxNdugu zangu Watanzania,

Kwani wewe nani alikuzuia kugombea ?Wewe umeona hilo ndilo hoja yake, kuliko yanayohusu uongozi wa Serikali ya CCM na chama chenyewe kupitisha wagombea wenye uhusiano na wenye mamlaka, km huoni kinyaa aliyekuwa First Lady kugombea
Kwako wewe hiyo ndio hoja ya Polepole yenye uzito kuliko hoja ubovu wa uongozi wa Serikali na CCM km kupitisha baadhi ya wagombea kwenye Uchaguzi Mkuu kuwa uhusiano wa kifamilia au maslahi na wenye mmalaka km AIBU kwa First Lady kugombea ubunge, kuwakilisha jimbo, wakati mme wake alipokuwa madarakani aliwakilisha wanawake kitaifa!!!
Mimi siyo ChawaWew ni chawa pro max
Kwanini unajitia kiherehere cha kujibu kitu ambacho hujaulizwa?.Muache mwenyewe amjibu sababu ndiye aliasisi hiyo salamu.Ndugu zangu Watanzania,
Baada ya polepole kuona anaendelea kupuuzwa na kusahaulika kabisa akilini na midomoni mwa Watanzania. Sasa ameanza kutunga uongo ,kufanya uchonganishi wa kidini ,kupandikiza chuki na uongo wa kila aina kwa lengo la kumchafua Rais wetu Mpendwa ambaye anaendelea kukubalika ,kupendwa na kuungwa mkono na watanzania kila uchao.
Eti anasema salamu ya Rais Samia ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania inafanya kama Kufuru kwa Mungu au kushusha thamani ya Mungu.
Ukweli ni kwamba Salamu ya Rais wetu Mpendwa ambayo imepokelewa vyema sana na watanzania wote wa Dini zote inasema kuwa 'Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania ' halafu watu wanaitikia 'kazi iendelee. Kwa hiyo neno 'katika' halipo katika salamu hiyo ambayo inatumiwa na Rais wetu.
Ambapo kusema Jamuhuri ya Muungano Wa Tanzania. Halafu wananchi au watu wakaitikia kazi iendelee,hakuna makosa wala siyo kosa wala haiondoi au kupoka utukufu wa Mungu . Au kuchukua nafasi ya Mungu na sifa zake anazostahili kupewa Mungu Mwenyewe.
Ikumbukwe ya Kuwa Rais wetu ni mcha Mungu na mwenye hofu ya Mungu sana kifuani pake. Ndio sababu amekuwa ni mtu wa kuhubiri haki na kutenda haki kwa watu wote pamoja na kukemea vikali sana tabia na matendo yoyote ya uonezi na unyanyasaji kwa watu wasio na hatia.
Hata hivyo inaonyesha sasa Humphrey Polepole ameanza kuchanganyikiwa na kutapatapa sana. Ameona amelikoroga na kunywa anashindwa sasa ,maana ni shubiri na chungu kama mwarobaini. Ameanza kuunga unga vistori visivyo na ukweli wala mashiko. Amebaki kama mtu asiyejitambua na mwenye matatizo kichwani yanayohitaji matibabu.
Mwisho ni kuwa hata afanyeje na atumie nguvu kiasi gani kuongea uzushi na uongo lakini kamwe hataweza kumchafua Rais wetu wala kumshushia heshima yake ,wala kumshusha hapo alipo wala kuondoa imani kubwa waliyonayo watanzania kwa Rais wetu.
Rais Samia aliinuliwa kwa Mkono wa Mungu Mwenyewe na kamwe hawezi kushushwa kwa mkono wa mwanadamu mwenye chuki binafsi aina ya polepole na wanaomtuma na kumtumia.View attachment 3426519
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Kwani wewe kichwani mwako humo huna akili? Kwamba vitu hata hivi vidogo vinakushinda kuelewa.KWani unajitia kiherehere cha kujibu kitu ambacho hujaulizwa.Muache mwenyewe amjibu sababu ndiye aliasisi hiyo salamu.
Kwakweli too muchHuyu hawezi kuwa mwanaume. Mwanaume hawezi kuwa na sifa kama za huyu mpumbavu
Yaani watu mambo ya kipuuzi kabisaKama amepuuzwa mbona mmezima Facebook na YouTube alivyoenda live?
Panya nyie
Utakufa kwanza wewe na ujinga wako kichwaniKuna watu muhimu wanadedi afu chawa kama hili linabaki duniani!