Polepole Amepotosha na kusema Uongo juu ya Salamu ya Rais Samia ya 'Jamhuri ya Muungano wa Tanzania'. Na huu ndio ukweli wake

Kidnaper abducter
 
Mkuu acha kupotosha watu, unatumia utafiti na takwimu gani kupinga ya Polepole kuhusu watanzania kupokea na kuitumia salamu kufuru hiyo???

Ni imani, dini au dhehebu gani limeadopt hiyo salamu na kuanza kuitumia rasmi kama salamu yake ya imani.

Ndugu Mwashambwa ni familia, jamii au eneo gani la nchi ambalo limeadopt hiyo salamu na kuanza kuitumia rasmi katika kusabahiana kila wakati na kila mahali???

Mkuu unasahau kuwa kuna mikutano, hafla, karamu na tafrija nyingi za kitaifa na kimataifa ambazo hata muanzilishi wa salamu hiyo hajaitumia???

Ndugu chawa mwandamizi, ni taasisi gani na jeshi gani ndani ya nchi ambalo hii salamu hutumika rasmi asubuhi, mchana na jioni???

Mkuu umetumia kipimo gani kusadikisha watu humu kuwa salamu hii imepokelewa na kutumia na kila mtanzania???

Majuzi tu ulikuwa chawa kindakindaki wa kamaradi Polepole, leo hii unasema kuwa kachanganyikiwa??!

Ama kweli chawa hana muamana ili mradi pawepo na uchafu na uvundo tu!

Uchafu mwema!
 
Lucas mwashamba, fungia hii ng'ombe zizini. Imeanza tena kupiga kelele.
 
Embu uwe na adabu Wewe. Tangia lini mimi nikawa mshabiki wa polepole
 
Hoja yake kubwa nikukiukwa kwa mchakato wa kumpata mgombea.
Wacha maneno mingi mingi
 
Sijamalizia kusoma maana neno "Rais wetu mpendwa" Linachoma moyo
 
Kuhusu hofu ya Mungu Samia Hana. Usimbambikie vitu ambavyo hata yeye atakushangaa.
 
Siwezi kuacha na kukaa kimya au kuona mtu akiendelee kupotosha na kusema uongo kwa lengo la kumchafua Rais wetu Mpendwa
Kwani mbona madhaifu ya hii serikali chini ya Samia unayaona na kukaa kimya sasa kinakushinda nini kukaa kimya na hayo mengine?
 
Wasio na akili na wasio jitambua ndio ambao wanaweza kumuamini mtu muongo na mzushi aina ya polepole
Kwahiyo wewe umekuja kusahisha upotoshaji wa Polepole (mliyempuuza) kwa kuhofia atawapotosha hao wasio na akili na wasiojitambua au umehofia atawapotosha wenye akili na kujitambua?
 
Unateseka Ukiwa Wapi Boss ?
Ng'ong'ona Dodoma Tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…