Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 40,153
- 93,069
Wote uliowataja walikua viongozi waandamizi kwa wakati mmoja wakati wa Jiwe awamu ya 5. Hizo zamu/kupokezana unazotaja ni zipi??
Sio lazima kuanzisha mada kama huna content!"
Ni mtz mpumbavu na mjinga pekee ambaye haoni manufaa ya anachofanya polepole,,,,, Yes alishakosea huko nyuma, na mifumo mibovu kadha wa kadha,,,,, lakini amekiri na kuomba radhi, amewasanua maujinga yote yanayofanywa na kijani !
Kwa kifupi kama unayo namba ya NIDA automatically October umeshatiki!!!!!!
🚮🚮Sabato Njema!
Polepole wakati anatembelea V8 alitamba sana tena kwa bahati mbaya kabisa alishindwa kujizuia akajirekodi na kujigamba na kuwaringishia Watanzania hawaijui V8.
Sasa amuache Samia na wenzake watembelee mipira, V8. Kulia kupokezana.
Kiburi sio mauungwana. Na kiburi ndioanguko leo lenyewe.
Kwa kumalizia; Serikali nawaomba Kabla ya tarehe 7 septemba mumuachie huyo mtu aitwaye Lisu. Kiburi Chenu kisiwe kikawashusha chini kama hao kina Polepole. Polepole mwenyewe hakuwahi kufikiri atakuwa mwanaharakati wa kupinga serikali aliyoitumikia.
Ni hayo tuu!
Sabato njema
Umeacha kujiheshimuKuomba msamaha ni jambo jema sana lakini hata msamaha una muda wake ili uwe Valid.
Muda ukipita hata uombe kwa kugaragara msamaha hauwezi kupata.
Tukirudi kwa manufaa,
Tangu Polepole aongee wewe umenufaika na nini na amechukua hatua gani kama sehemu ya unufaika?
Maana ni mtu mpumbavu kama ulivyotaja, ambaye anasema Polepole anamanufaa lakini hafanyi wala kuchukua hatua yoyote kwa yale yanayotolewa na Polepole.
Upo kundi gani mtibeli
Unatuangusha watetezi wa haki
Umeacha kujiheshimu
Wewe ni panya?
Polepole ni muungwana ndiyo maana Jana ametuomba msamaha watanzania wote
Sio lazima kuanzisha mada kama huna content!"
Ni mtz mpumbavu na mjinga pekee ambaye haoni manufaa ya anachofanya polepole,,,,, Yes alishakosea huko nyuma, na mifumo mibovu kadha wa kadha,,,,, lakini amekiri na kuomba radhi, amewasanua maujinga yote yanayofanywa na kijani !
Kwa kifupi kama unayo namba ya NIDA automatically October umeshatiki!!!!!!
Aisee,hii mbaya sana....unatiki kinguvuSio lazima kuanzisha mada kama huna content!"
Ni mtz mpumbavu na mjinga pekee ambaye haoni manufaa ya anachofanya polepole,,,,, Yes alishakosea huko nyuma, na mifumo mibovu kadha wa kadha,,,,, lakini amekiri na kuomba radhi, amewasanua maujinga yote yanayofanywa na kijani !
Kwa kifupi kama unayo namba ya NIDA automatically October umeshatiki!!!!!!
Hata Lowassa alitusanua namna CCM wanavyoiba kura na mpaka akatuletea mwizi mtalaam wa wizi wa kura aliyetumiwa na CCM Bwana Chiza.
Safarini Khartoum Sudan.
Msamaha wa nini?
Msamaha akiwa nje ya mfumo?
Msamaha akiwa hana nafasi kubwa kwa Samia kama ilivyokuwa kwa JPM.
Ukitaka kujua mtu muungwana muangalie anasema nini kwa watu wasiokundi moja.
Mfano, kama ni muislamu anawasemaje Wakristo, au kama ni Mkristo anawasemaje Waislam.
Je anatetea watu wa makundi mengine yaliyonje ya kundi lake.
Kama ni CCM anawasemaje Upinzani, je anatetea Haki za watu wengine walio nje ya chama. Chake
Kama ni Chadema anawasemaje CCM, je anatetea wanaccm wakionewa.
Hao ndio waungwana walivyo, Watibeli OG walivyo.
Anapinga Serikali ipi? Yeye ni bora kuliko walionyamaza na kuzidi kupalilia unayolalamikia hata wewe.Sabato Njema!