Tutaendelea kumsikilizaEti leo hii tunakaa kabisa na kumsikiliza Gwajima, mtu ambaye anaonekana kabisa harakati zake ni maslahi based na mtu mwenye tamaa ya nyadhifa fulani fulani kubwa kwa kujaribu kutumia blackmailing style.
Kutokuwa consistency kwenye harakati na kudandiadandia tu matukio na left overs za CCM kila unapotokea ugomvi wa kimaslahi hurudisha nyuma sana harakati za ukombozi.
Tuliwaambia miaka mingi kuhusiana na Mbowe, mkatutukana Sana matokeo yake Mbowe anazigharimu harakati sasa.
Kaburu ni Kaburu tu hana jina lingine.
Safarini Khartoum Sudani.