Polepole amuache Samia naye atembelee V8. Kila mtu na wakati wake

Tutaendelea kumsikiliza
 
Wote uliowataja walikua viongozi waandamizi kwa wakati mmoja wakati wa Jiwe awamu ya 5. Hizo zamu/kupokezana unazotaja ni zipi??
Falsafa ya huyo mtu si sahihi, ni kulea uharifu. Heri ya kila mtu atabeba mzigo wake. Kuna uhuni mwingi umefanywa na watu wapo huru tena na nyadhifa kubwa wakati walistahili kuwa magerezani.
 
Mbowe aliwaambia Dr Slaa ni liability na El ni Asset tukashangilia na kuanza kuzungusha mikono, tukapigwa na kurudi nyuma 5yrs.

Safarini Khartoum Sudan.
 
Huyu jamaa watu wanampa kichwa sana lakini almost mada zake nyingi za kipumbavu sana na ana grandiosity disorder
 
Tutaendelea kumsikiliza

Nchi huru hii, unaruhusiwa kumsikiliza na kuamua kwa namna upeo wako unavyoona.
una haki ya kupokea na kutopokea ushauri wowote ule.

Safarini Khartoum Sudan.
 
Siku zote huwa nasema kila awamu kuna watu hufaidi matunda na wengine hukiona cha
Moto,hata hawa waliyoko awamu
Ipo siku yao watakutana na cha moto yao!
Kutesa kwa zamu

Ova
 
Sawa, atembelee lkn asituteke na kutupoteza, wala asibambike kesi kwa wanaotofautiana naye kimtazamo. Hata Polepole tulimkubusha wakati huo akiwa ndani ya vieteee.
 
Mtibel kwa hapa mnataka kuteleza pz.Tangu lini watibel mkajadili mtu badala ya alichokisema.Hata shetani alikuwa malaika na kinyume chake.Tuchukue contents tafadhali.Askofu phd Bagonza kasema hakuna toba iliyochelewa.Na ndivyo ilivyo.Novena njema
 
Na wewe tangu uanze kuiomba serikali imwachie lissu na haijamwachia imenufaika nini?kama wew unaona harakati za Polepole hazina manufaa na wewe maandiko yako hayana manufaa kwa yeyote
 
kwani kodi zetu ni za watu! ndugu zetu hawana barabara wewe unaongea pumba
 
Ma Matokeo ya anachofanya utayaona siku za usoni,,,, tuombe uhai !

Ni kwa nini anakiri anatafutwa kwa udi na uvumba kama anayoyasema hayana madhara ?
 
..hatua zipi kwa mfano unadhani mtu aliyemsikiliza Polepole anahitaji kuchukua..?
 
Wajinga kama wewe ndiyo kikwazo Cha kukomboa nchi. Very stupid. Walking corpse. Jinga kabisa
 
Ma
Matokeo ya anachofanya utayaona siku za usoni,,,, tuombe uhai !

Ni kwa nini anakiri anatafutwa kwa udi na uvumba kama anayoyasema hayana madhara ?

Kutafutwa kwa Polepole ni mfumo wa ccm uliokomaa naye alikuwepo wakati ule kuufuma mfumo huo.

So kutafutwa na CCM au serikali sio big deal hasa ukiongea ukweli na kukemea uovu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…