Polepole amuache Samia naye atembelee V8. Kila mtu na wakati wake

Hivi team yao ya Taifa wamefungwa ngapi?
 
Na wewe tangu uanze kuiomba serikali imwachie lissu na haijamwachia imenufaika nini?kama wew unaona harakati za Polepole hazina manufaa na wewe maandiko yako hayana manufaa kwa yeyote

Subiri mpaka tarehe 7 septemba utaelewa.
 
Mtibel kwa hapa mnataka kuteleza pz.Tangu lini watibel mkajadili mtu badala ya alichokisema.Hata shetani alikuwa malaika na kinyume chake.Tuchukue contents tafadhali.Askofu phd Bagonza kasema hakuna toba iliyochelewa.Na ndivyo ilivyo.Novena njema

Kwa sisi watibeli Kila jambo lina muda wake. Toba na msamaha vina wakati wake.

Sio utoke kwenye mfumo ndio ujifanye unaongea ongea hiyo tunaita Unafiki.

Watu wa Haki wanajulikana. Toba ya kweli inajulikana.

Polepole anafanya siasa nakuambia.
 
Sio kuiba uchaguxi sasa wewe mwandishi unatutaka tuanze kukutuna sasa kama humuelewi polepole darasani ulikuwa unafanya nini,??Samia wenu afate taratibu za kuingia ikulu sio kupita mlango wa uwani.una bahati wewe ningekurushia tuuusi.ukomee .umetumwa wewe.
 
Sawa, atembelee lkn asituteke na kutupoteza, wala asibambike kesi kwa wanaotofautiana naye kimtazamo. Hata Polepole tulimkubusha wakati huo akiwa ndani ya vieteee.

Hiyo ni mifumo ya CCM na serikali (inayoundwa na CCM). Huyo Polepole anaongea jambo akiwa ndani ya mfumo huohuo. Kama anamaanisha baada ya kujiuzulu alipaswa kurudisha kadi ya ccm. Kisha mengine yaendelee.
 

Utaratibu upi?
Aliuweka nani?
 
Siku zote huwa nasema kila awamu kuna watu hufaidi matunda na wengine hukiona cha
Moto,hata hawa waliyoko awamu
Ipo siku yao watakutana na cha moto yao!
Kutesa kwa zamu

Ova

Watu wanauawa kisa sio CCM Mtu yupo Kimya, kisa anapata ulaji, yupo kimya. Siku ameondoka kwenye mfumo ati anataka kutuletea stori za kitoto kuwa anatoboa siri. Siri gani sasa. Itasaidia nini?

Yeye kama alitaka Kusaidia si angebaki hukohuko asaidie hata kwa kuwawekea sumu watesaji na wauaji angeonekana shujaa
 
We stick na mahusiano uko vyedi huko .huku hapana unatukwaza
 
Unaweza kuchagua kufuata anayosema mtu na si kumfuata yeye au ukamfuata yeye pamoja na anayoyasema au pia ukachagua kutomfuata yeye na anayoyasema.

Sijajua kwanini baadhi ya watu wanapata shida na Polepole kwa kuhoji uaminifu na record zake za nyuma kana kwamba Polepole anawaomba kura zao apate nafasi ya kuwaongoza.
 
Unaniuliza mimi tena wakati sio mnufaika
..unaweza kutaja jambo halafu unarudi kuuliza..? umeuliza wanaomsikiliza Polepole wnachukua hatua gani, maana yake zipo unazijua..zitaje, hii si habari ya unufaika, vinginevyo una ujinga kichwani mwako!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…