Acha kujitoa akili kama kweli unazo. Wizi wa Kura Kwa CCM ni kitu kiko Wazi chaguzi zote.Hakuna la kuhoni Wala kukasirika hapa mpaka Polepole aje atuonyeshe mifumo walioweka Iko kwenye chumba kipi na ilikuwa kwa kazi Gani na itatumika namna gani kuiba kura. Aliisanifu yeye na nani. Ni maagizo yake mwenyewe au maagizo ya nani ambae yuko hai au alishakufa. Ndipo sisi tuangalie kama mifumo bado ipo au waliiharibu baada ya JPM kuapishwa.
Huyu sio whistleblower, ni mhalifu kama wahalifu wengine kwakuwa alitengeneza mfumo yeye mwenyewe uliomsaidia JPM tu basi na JPM amekufa na yeye hayuko na nafasi ile iliyomwezesha kutengeneza mfumo ule. Anatakiwa kukamatwa yeye mwenezi, Katibu wa CCM Bashiru Kakulwa, mwenyekiti wa CCM, mkurugenzi wa NIDA na mwenyekiti wa tume ya uchaguzi wa mwaka 2020 ili watuongoze kwenye hili.The Whistleblower Protection Act (WPA) inatutaka tumlinde Kwa wivu mkubwa.
Tulizeni mzuka yote yatawekwa wazi mnasingizia Lissu ni mhaini huu sasa ndiyo uhaini wenyewe wa kupindua matakwa ya wapiga kura .Hakuna la kuhoni Wala kukasirika hapa mpaka Polepole aje atuonyeshe mifumo walioweka Iko kwenye chumba kipi na ilikuwa kwa kazi Gani na itatumika namna gani kuiba kura. Aliisanifu yeye na nani. Ni maagizo yake mwenyewe au maagizo ya nani ambae yuko hai au alishakufa. Ndipo sisi tuangalie kama mifumo bado ipo au waliiharibu baada ya JPM kuapishwa.
kavulata aibu yako hiiKabla hamjampa Polepole mashtaka tuanzie hapa
Toa maelezo kuhusu video hizi mbili za Nape na ex DC waliosema jinsi CCM inavyoiba kura walichukuliwa hatua gani kisheria .?
Itakuwa na mantiki kama hawa maharamia wawili wa demokrasia wakianza kuchukuliwa hatua kwanza kwani wao ndio walisema mbinu hizi chafu kabla ya Polepole.
View: https://youtu.be/bsMYAk6cWaE?si=3Wt0tkdgTwCRHFeM
View: https://youtu.be/dTvdkX19XOs?si=G57KoUskQ_OX49tF
Hawa akina nape kwanza walikuja kukanusha kwamba ulikuwa utani tu, pamoja na hayo walipoteza uongozi wao hadi Leo. Na Polepole aje aseme kama ni kweli au anatania tu kwaajili ya uchaguzi. Vinginevyo wananchi wampuuze kama walivyowapuuza akina nape.Kabla hamjampa Polepole mashtaka tuanzie hapa
Toa maelezo kuhusu video hizi mbili za Nape na ex DC waliosema jinsi CCM inavyoiba kura walichukuliwa hatua gani kisheria .?
Itakuwa na mantiki kama hawa maharamia wawili wa demokrasia wakianza kuchukuliwa hatua kwanza kwani wao ndio walisema mbinu hizi chafu kabla ya Polepole.
View: https://youtu.be/bsMYAk6cWaE?si=3Wt0tkdgTwCRHFeM
View: https://youtu.be/dTvdkX19XOs?si=G57KoUskQ_OX49tF
Weka video ya Nape kukanusha na kusema ni utani , pia thibitisha huo utani ulikuwa unawalenga watu gani.Hawa akina nape kwanza walikuja kukanusha kwamba ulikuwa utani tu,
Well well...ukiwa muongo uwe mwepesi kukumbuka Nape amegombea ubunge alitolewa uwaziri bila kutolewa sababu hivyo hajapoteza uongozi maana kama angepoteza uongozi basi angekuwa ni raia tu wa kawaidapamoja na hayo walipoteza uongozi wao hadi Leo.
Polepole amejiuzulu kabla ya kuanza kusema hayo na ni mara ya kwanza baada ya miaka 17 kiongozi kujiuzulu nafasi yake ya uteuzi hivyo usimuweke kundi moja na hao watu wengine ambao hawajajiuzulu na wako na nafasi kwenye serikali dhalimu ya bi Mwenda.Na Polepole aje aseme kama ni kweli au anatania tu kwaajili ya uchaguzi. Vinginevyo wananchi wampuuze kama walivyowapuuza akina nape.
Hatari sanaKwa alichokisema polepole maana yake hadi nida ya lissu imeshatiki october watu wana roho ngumu aisee
Huyu mtu itakuwa ni miongoni mwa majizi yanayofisadi demokrasia hapo NIDA au tume ya mama.kavulata aibu yako hii
Tatizo letu kubwa kupita yote Tanzania hakuna vyama vya upinzani strong vya kuweza kushika dola. Ni vyama vya kiharakati na matukio tu, vyenye viongozi ambao nusu ni CCM na nusu upinzani. Akikosana na huku anarudi huku na kutoa Siri zote za kule atokako. Mpina katika huku Leo anakwenda kule siku hiyohiyo kugombea uraisWeka video ya Nape kukanusha na kusema ni utani , pia thibitisha huo utani ulikuwa unawalenga watu gani.
Well well...ukiwa muongo uwe mwepesi kukumbuka Nape amegombea ubunge alitolewa uwaziri bila kutolewa sababu hivyo hajapoteza uongozi maana kama angepoteza uongozi basi angekuwa ni raia tu wa kawaida
Huyo DC alitenguliwa kweli ila bado serikali haikutoa sababu za utenguzi wake na haikukanusha wala yeye hajawahi kukanusha popote alichokisema , alitenguliwa uDC ila uafisa kipenyo wake alibaki nao pengine kurudia ule mchezo wa maporini katika uchaguzi bandia wa 2025.
Polepole amejiuzulu kabla ya kuanza kusema hayo na ni mara ya kwanza baada ya miaka 17 kiongozi kujiuzulu nafasi yake ya uteuzi hivyo usimuweke kundi moja na hao watu wengine ambao hawajajiuzulu na wako na nafasi kwenye serikali dhalimu ya bi Mwenda.
Hadi hapo hujanishawishi kusema nimpuuze Polepole labda nikupuuze wewe maana inaonekana unaweza ukawa ni miongoni mwa majizi ya taasisi zilizotajwa sasa unajiandaa tena kwa hadaa nyingine mnayoiita uchaguzi 2025.
Kabisa maana naona anatokwa na povu utafikiri amesukutua omo, na hapa bado yatasemwa mengi hadi Samia achanganyikiwe kama alivyochanganyikiwa Richard Nixon kwenye kashfa ya Watergate hadi akatema bungo.Huyu mtu itakuwa ni miongoni mwa majizi yanayofisadi demokrasia hapo NIDA au tume ya mama.
Mbona hujajibu maswali yangu badala yake umejitengenezea mada nyingine?Tatizo letu kubwa kupita yote Tanzania hakuna vyama vya upinzani strong vya kuweza kushika dola. Ni vyama vya kiharakati na matukio tu
Hii ina uhusiano gani na wizi wa kura aliousema Nape au huyo ex-DC?, vyenye viongozi ambao nusu ni CCM na nusu upinzani. Akikosana na huku anarudi huku na kutoa Siri zote za kule atokako.
ACT na CHAUMMA mtu makini anajua hivyo ni matawi ya CCM.Mpina katika huku Leo anakwenda kule siku hiyohiyo kugombea urais
Samia hachanganyikiwi ng"o, amesema yeye chura kiziwi hasikii kelele za kutishwa na wakatisha tamaa.Kabisa maana naona anatokwa na povu utafikiri amesukutua omo, na hapa bado yatasemwa mengi hadi Samia achanganyikiwe kama alivyochanganyikiwa Richard Nixon kwenye kashfa ya Watergate hadi akatema bungo.
Ruhusuni sever zikaguliweItabidi akamatwe atudhibitishie na kutuonyesha wote waliohusika kwenye uhalifu huo.
Mwambie asafiri kwenda USA au popote Ulaya akakutane na mabangoSamia hachanganyikiwi ng"o, amesema yeye chura kiziwi hasikii kelele za kutishwa na wakatisha tamaa.
Kasema ruhusuni sever zikaguliweYeye kasema yeye ndiye amehusika kuutengeneza mfumo huo. Kwanini asikamatwe kama mhalifu na kusaidia kufichua wahusika wote?
AshtakiwePolepole amesema mwenyewe kuwa yeye na wenzake aliowataja walitengeneza mfumo pale CCM na tume ya uchaguzi unaounganisha tume, CCM na NIDA ili kumsadia Magufuli kushinda uchaguzi 2020 kwa njia nyepesi, na mfumo huo ungetumika pia kama mgombea wake ndiye angeteuliwa kuwania Urais.
Kama kweli hili ni kweli Polepole lazima ashitakiwe kwa uhalifu huu mkubwa kiasi hiki.
AshtakiweKasema ruhusuni sever zikaguliwe
AshtakiweNdiyo silaha ya mwisho mliyobakiwa nayo! Kufungulia wenye Haki mashitaka ya Uongo! Ambayo mkiambiwa mashahidi ni Samia,Mpango na Majaliwa mnapanic.
AshtakiweKama hawezi kuthibitisha hili atakuwa na kosa la uchochezi wa hali ya juu.