Full Blood Picture
JF-Expert Member
- Jan 7, 2021
- 4,476
- 9,583
Polepole amesema mwenyewe kuwa yeye na wenzake aliowataja walitengeneza mfumo pale CCM na tume ya uchaguzi unaounganisha tume, CCM na NIDA ili kumsadia Magufuli kushinda uchaguzi 2020 kwa njia nyepesi, na mfumo huo ungetumika pia kama mgombea wake ndiye angeteuliwa kuwania Urais.
Kama kweli hili ni kweli Polepole lazima ashitakiwe kwa uhalifu huu mkubwa kiasi hiki.
NO REFORM NO ELECTION.Baada ya kutafiti kwa muda mrefu nimegundua mleta mada ni mnufaika na mfanikishaji wa wizi wa kura 2020 sasa mimi namletea hizi video hapa na picha kwa upuuzi ulioitwa uchaguzi 2020 ambao umeacha makovu kwa watu wengi sana.
Kwa pamoja karibuni tulizomee hili jizi la kura lililokuja hapa kuwatetea wezi wenzie bila aibu.
Cc SAGAI GALGANO WALOLA VUNZYA brazaj Kalamu JokaKuu na wapenda haki wengine wote.
View attachment 3454076View attachment 3454081
View attachment 3454082
View attachment 3454084
Hakika.NO REFORM NO ELECTION.
Haya yote safari hii hakuna
Baada ya kutafiti kwa muda mrefu nimegundua mleta mada ni mnufaika na mfanikishaji wa wizi wa kura 2020 sasa mimi namletea hizi video hapa na picha kwa upuuzi ulioitwa uchaguzi 2020 ambao umeacha makovu kwa watu wengi sana.
Kwa pamoja karibuni tulizomee hili jizi la kura lililokuja hapa kuwatetea wezi wenzie bila aibu.
Cc SAGAI GALGANO WALOLA VUNZYA brazaj Kalamu JokaKuu na wapenda haki wengine wote.
View attachment 3454076View attachment 3454081
View attachment 3454082
View attachment 3454084
Majizi yaliiba kura 2020 yakazima mitandao kwa siku 5 sasa yanafikiri tumesahau.MKuu hayo tuko nayo kwa korodani, hakuna kuyaachia hadi yateme bungo.
Angalia hapa kwa mwongozo zaidi:
TLS, Mwabukusi: "Mweleweni Polepole kwenye hoja yake ya mifumo ya CCM, INEC na NIDA kuhusiana na wizi wa chaguzi kiufundi."
Sikutegemea jibu hili kutoka kwako. Kwa hiyo CHADEMA mtakuwa mnasamehe uhalifu kisa mtu kaomba msamaha akiwa mafichoni? Nyie huwa hamwongozi na sheria?Ameshatubu na kuomba radhi wakushtakiwa ni hao waliobaki
Sikutegemea jibu hili kutoka kwako. Kwa hiyo CHADEMA mtakuwa mnasamehe uhalifu kisa mtu kaomba msamaha akiwa mafichoni? Nyie huwa hamwongozi na sheria?
Chaguzi zote zilikuwa hivihivi tangu wakati wa Nyerere hadi Leo. We can not let our country go to the dogs, Nyerere, 1995. Watu Malaya Malaya kama nyie mnaoamini kuwa wazungu ni viranja wetu kama taifa. Eti wahuni wana banchmark demokrasia, haki za binadamu na maendeleo ya Tanzania na nchi za Magharibi. Shame on you.
Sasa ashitakiwe kwa kusema ukweli?Polepole amesema mwenyewe kuwa yeye na wenzake aliowataja walitengeneza mfumo pale CCM na tume ya uchaguzi unaounganisha tume, CCM na NIDA ili kumsadia Magufuli kushinda uchaguzi 2020 kwa njia nyepesi, na mfumo huo ungetumika pia kama mgombea wake ndiye angeteuliwa kuwania Urais.
Kama kweli hili ni kweli Polepole lazima ashitakiwe kwa uhalifu huu mkubwa kiasi hiki.
Mhhhh, Mboso kumbe kakamatwa na kuteswa hivi?
Upuuzi mtupu na ujinga .Chaguzi zote zilikuwa hivihivi tangu wakati wa Nyerere hadi Leo.
CCM are the well renowned dogs since 1977We can not let our country go to the dogs, Nyerere, 1995
Mpuuzi mkubwa kabisa wewe na majizi wenzio yaani mnaiba kura muingie madarakani kupitia backdoor sababu hamna ushawishi tena halafu unajitetea kusema haki za binadamu.?. Watu Malaya Malaya kama nyie mnaoamini kuwa wazungu ni viranja wetu kama taifa. Eti wahuni wana banchmark demokrasia, haki za binadamu na maendeleo ya Tanzania na nchi za Magharibi. Shame on you.
Stupid, how can you say that you think globally while your reasoning capacity in this thread resembles the early struggles of our forefathers during stone age?Think globally but act locally. We are quite different.
Bloodbastard, amefichua uovu. Hilo linam -exempt from guilt! Anapewa msamaha (kama kweli kuna kosa) kwa kusema ukweli. Wangelitokea akina Rostam wakakiri uovu wao, wakarudisha mali zetu walizoiba tunawasamehe kulileta taifa pamojaPolepole amesema mwenyewe kuwa yeye na wenzake aliowataja walitengeneza mfumo pale CCM na tume ya uchaguzi unaounganisha tume, CCM na NIDA ili kumsadia Magufuli kushinda uchaguzi 2020 kwa njia nyepesi, na mfumo huo ungetumika pia kama mgombea wake ndiye angeteuliwa kuwania Urais.
Kama kweli hili ni kweli Polepole lazima ashitakiwe kwa uhalifu huu mkubwa kiasi hiki.
Hawa majamaa wanatufanya sisi wajinga yaani wanatangaza Uchaguzi wakati wanajua wazi kwamba Uchaguzi wa siku hizi ni batili maana CCM huchagua kabla uchaguzi haujafanyika.Mara nyingi huwa ni kiinimacho cha kuwaridhisha wananchi pamoja na nchi wafadhili kuwa uchaguzi ulikuwa huru na haki ili waendelee kuaminiwa huku vyama vingine vikiendelea kupata taabu.CCM NI MAJAMBAZI.Baada ya kutafiti kwa muda mrefu nimegundua mleta mada ni mnufaika na mfanikishaji wa wizi wa kura 2020 sasa mimi namletea hizi video hapa na picha kwa upuuzi ulioitwa uchaguzi 2020 ambao umeacha makovu kwa watu wengi sana.
Kwa pamoja karibuni tulizomee hili jizi la kura lililokuja hapa kuwatetea wezi wenzie bila aibu.
Cc SAGAI GALGANO WALOLA VUNZYA brazaj Kalamu JokaKuu na wapenda haki wengine wote.
View attachment 3454076View attachment 3454081
View attachment 3454082
View attachment 3454084
CCM can not let the country go to the dogs. Utakuwa ni ulevi na upumbavu kwelikweli kama ndani ya CCM kuna mtu anaeamini kwamba vyama vya upinzani viko tayari kukabidhiwa nchi kwa sasa. Kama yupo mtu huyo awe kijana au mzee, mwanume au mwanamke ni mpumbavu kwelikweli. Sisi wote akiwamo Mwl. Nyerere (RIP) tunahitaji vyama 2 au 3 vikubwa vyenye njia mbadala za kuwahudumia wananchi kwa namna bora kabisa vinavyofanyakazi ya checks and balance (watch gogs) wa vyama vyenyewe kwa vyenyewe. Lakini ili kufikia hapo tunahitaji vyama ambavyo vyote vina uelekeo mmoja katika maswala ya umoja wetu, ukabila, udini, kujitegemea, utamaduni wetu na muungano wetu. Hatuwezi kuwa na vyama vinavyokianzana kwenye kuamini kwenye mambo haya.Mpuuzi mkubwa kabisa wewe na majizi wenzio yaani mnaiba kura muingie madarakani kupitia backdoor sababu hamna ushawishi tena halafu unajitetea kusema haki za binadamu.?
Unajua watu wa ngapi waliuwawa hiyo 2020 kisa igizo hilo?
Katiba inatoa haki ya kupata taarifa ila wewe na majizi wenzio mkazimia watanzania mitandao siku 5
Hizo ndio haki za binadamu ? kilaza kabisa wewe.