Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kampeni meneja aliyepewa ubunge kwa mataarisho ya nafasi kubwa zaidi katika Ufalme wa miaka saba ya nyongeza.Unaweza kuficha kiwanda mbali mabeberu washindwe kufika!!
Iran wana kiwanda cha nuclear wamekuficha lakini mabeberu wanafahamu.
Huyu Polepole mweupe sana,bora aendelee kukaa kimya siku iingie
Bado ana element za mwendazake. Maana yeye kila kitu jeshi. Korosho Jeshi, kuteka maduka ya fedha Jeshi, Kuiba uchaguzi Jeshi. Yaani yeye yuko kwenye Jeshi jeshi jeshi jeshi. Apuuzwe tu. Corona sio homa ya kideri ya kuku.
Polepole mchangie huyo Kada ulimchosha sanaMbunge wa Kuteuliwa na Rais, Humphrey Polepole leo Bungeni ameongelea suala la Covid na kusema wameambiwa Corona inaendelea. Polepole ametoa Rai kujenga kiwanda cha mimea dawa kulingana na Ilani ya CCM.
Polepole amesema watu watatibiwa na kupona na mimea dawa lakini Rai yake kiwanda hicho kisiwekwe Uraiani badala yake kifichwe kwenye Kambi ya Jeshi ambapo hakuna mtu anaweza kufika kwani ni Vita na wakijua zinatengenezwa dawa kupambana na Uviko watahujumu.
"Nimesikia wakubwa jana wanasema tupewe chanjo Bilioni moja tuje kudungwa hapa, nilikuwa natoa Rai tuwekeze vya kwetu, local solution for local problem" Alisema Polepole
You are a genius! Jipige kifuani!Polepole Corona is not a local problem, wake up, it's a global problem.
kabisaHuyu naye atulie. Kaharibu chama chetu na Dr. Bashiru saizi anaongea nini.... Mama alipaswa Huyu na Bashiri ni wakufukuzwa kabisa kwenye Chama
tupe mfano wa hao wanasayansiDuniani koote, wanasayansi wakubwa wanapatikana jeshini. Kwa kiwango fulani yuko sahihi. Tunapaswa na
Mkuu jitahidi ukitoa statement angalau iwe na uthibitisho ili kuondoa hearsays.sisi kufanya kitu kuhusu janga hili. Siyo kusubiria tu. Jana nilikuwa nasikiliza DW Radio wanasema Tanzania wameanza kufanya utafiti kutumia panya kubaini maambukizi ya uviko-19. Walifanikiwa kwa kiasi kikubwa kwenye TB, sasa wanafanya kwenye uviko 19. Wataalam wa SUA wanasema mafanikio yanaonekana. Panya wataweza kufanya kazi hiyo na kwa ufanisi.
Huyu jamaa ndio alikuwa anamdanganya hayati pia kuhusu vita ya kiuchumu.. Kweli kabisa nani anataka vita na Tanzania na kwa sababu zipi? Ukiona Congo na Ivory Coast ndio utaelewa wakiamua lao hawashindwi, vita ambayo tunayo ni ya umasikini na ujinga tu hizo nyingine ni illusion..Mbunge wa Kuteuliwa na Rais, Humphrey Polepole leo Bungeni ameongelea suala la Covid na kusema wameambiwa Corona inaendelea. Polepole ametoa Rai kujenga kiwanda cha mimea dawa kulingana na Ilani ya CCM.
Polepole amesema watu watatibiwa na kupona na mimea dawa lakini Rai yake kiwanda hicho kisiwekwe Uraiani badala yake kifichwe kwenye Kambi ya Jeshi ambapo hakuna mtu anaweza kufika kwani ni Vita na wakijua zinatengenezwa dawa kupambana na Uviko watahujumu.
"Nimesikia wakubwa jana wanasema tupewe chanjo Bilioni moja tuje kudungwa hapa, nilikuwa natoa Rai tuwekeze vya kwetu, local solution for local problem" Alisema Polepole
tupe mfano wa hao wanasayansi
Mkuu jitahidi ukitoa statement angalau iwe na uthibitisho ili kuondoa hearsays.
Mkuu ushauri wake ni mbaya. Bado ana mawazo "Tunaonewa wivu", "Tunahujumiwa". Mpaka sasa hatujafanya utafiti wa corona (uviko) lakini tayari tumeshakimbilia kutengeneza kiwanda cha dawa tena za mimea. Huyu bado anazungumzia bupiji, covidol, nimcarf na kadhalika. Kwa sasa angejikita zaidi kwenye vitu tunavoweza - kujikinga na kuchukua tahadhari!! Swala la mimea dawa (home remedies) tuachiwe majumbani mwetu!!Anawaza kuhujumiwa tu kaka yetu,😂 japo ushauri wake siyo mbaya kiviiiile.
Kwamba covid-19 ni local problem iwe solved locally???????Mbona ameongea point nzuri tu.....
au una wivu nae.....
ama huna akili
Yupo sahihi [emoji817] na huo ndo ukwel woteMbunge wa Kuteuliwa na Rais, Humphrey Polepole leo Bungeni ameongelea suala la Covid na kusema wameambiwa Corona inaendelea. Polepole ametoa Rai kujenga kiwanda cha mimea dawa kulingana na Ilani ya CCM.
Polepole amesema watu watatibiwa na kupona na mimea dawa lakini Rai yake kiwanda hicho kisiwekwe Uraiani badala yake kifichwe kwenye Kambi ya Jeshi ambapo hakuna mtu anaweza kufika kwani ni Vita na wakijua zinatengenezwa dawa kupambana na Uviko watahujumu.
"Nimesikia wakubwa jana wanasema tupewe chanjo Bilioni moja tuje kudungwa hapa, nilikuwa natoa Rai tuwekeze vya kwetu, local solution for local problem" Alisema Polepole
Hebu acha kuhusisha bangi na vitu vya kipuuzi.Bangi siyo nzuri