#COVID19 Polepole ataka kiwanda cha dawa za mimea kupambana na Corona, aomba kikafichwe Jeshini

Bado ana element za mwendazake. Maana yeye kila kitu jeshi. Korosho Jeshi, kuteka maduka ya fedha Jeshi, Kuiba uchaguzi Jeshi. Yaani yeye yuko kwenye Jeshi jeshi jeshi jeshi. Apuuzwe tu. Corona sio homa ya kideri ya kuku.
Kumbe huyu ndio alikuwa anamshauri JPM mambo ya kupenda sana kutumia jeshi . Amka pole pole, zama zimebadilika
 
Basi, siyo janga la kimataifa, ni local problem, lakini Kariakoo hamjaugua mafua, your foot!
Kimtu kikishamiliki simu ya kioo basi kinajifanya kimeshakuwa kisomi na chenye weledi!

Wengine humu hata kuandika hamjui lakini mpo tu mnajitutumua hovyo hovyo.

Dunia ni zaidi ya uijuavyo binti. Tunaijua kuliko wengi wenu humu vinyangarika msiojua chochote zaidi ya kula na kujamba.

Ati sitaki majani ya muarobaini nataka chanjo ya ujeremani!!!

Piga muarobaini wako swaafiii kabisa, you will stay safe and healthy!

Kujitia tia tu usomi wa kuigiza hapa!

Ooohhh nataka chanjo ya jeremani!!

Chanjo ya jeremani???? Tengeneza ya kwako halafu tutaiita "santesandy vaccine" au kwa kimang'ati tutasema ni "chanjo ya santesandy".

Si unajiita msomi wewe?

Unalilia lilia tu machanjo ya watu hujui hata yametoka wapi unabugia bugia tu hovyo hovyo!
 
Mbunge wa Kuteuliwa na Rais, Humphrey Polepole leo Bungeni ameongelea suala la Covid na kusema wameambiwa Corona inaendelea. Polepole ametoa Rai kujenga kiwanda cha mimea dawa kulingana na Ilani ya CCM.

Polepole amesema watu watatibiwa na kupona na mimea dawa lakini Rai yake kiwanda hicho kisiwekwe Uraiani badala yake kifichwe kwenye Kambi ya Jeshi ambapo hakuna mtu anaweza kufika kwani ni Vita na wakijua zinatengenezwa dawa kupambana na Uviko watahujumu.

"Nimesikia wakubwa jana wanasema tupewe chanjo Bilioni moja tuje kudungwa hapa, nilikuwa natoa Rai tuwekeze vya kwetu, local solution for local problem" Alisema Polepole

Sasa kikifichwa jeshini kitafaa nini - kitaajiri akina nani? Mawazo ya ajabu sana!
 
Kimtu kikishamiliki simu ya kioo basi kinajifanya kimeshakuwa kisomi na chenye weledi!

Wengine humu hata kuandika hamjui lakini mpo tu mnajitutumua hovyo hovyo.

Dunia ni zaidi ya uijuavyo binti. Tunaijua kuliko wengi wenu humu vinyangarika msiojua chochote zaidi ya kula na kujamba.

Ati sitaki majani ya muarobaini nataka chanjo ya ujeremani!!!

Piga muarobaini wako swaafiii kabisa, you will stay safe and healthy!

Kujitia tia tu usomi wa kuigiza hapa!

Ooohhh nataka chanjo ya jeremani!!

Chanjo ya jeremani???? Tengeneza ya kwako halafu tutaiita "santesandy vaccine" au kwa kimang'ati tutasema ni "chanjo ya santesandy".

Si unajiita msomi wewe?

Unalilia lilia tu machanjo ya watu hujui hata yametoka wapi unabugia bugia tu hovyo hovyo!
Maneno meeeengi, angalia begani kwako hapo kama hujachanjwa, hizi hizi chanjo za Kizungu?! Uganga wako wa Kienyeji kaa nao mwenyewe, Tanzania imeshakubali kurudi kwenye ulimwengu wa kisasa!
 
Maneno meeeengi, angalia begani kwako hapo kama hujachanjwa, hizi hizi chanjo za Kizungu?!
Begani kwangu wewe unapajua?

Hata hao waliokudunga hayo machanjo ya begani walikuwa wajinga tu kama wewe ndio maana umeathirika akili!

You have been zombified and you think you are fine! Hata ukitaka kujamba unasikilizia kwanza mzungu amesema nini!

Ndio maana nchi inakuwa na mataahira wasioweza kutengeneza hata sindano mpaka waagize kutoka Chaina.

Ati chanjo ya bega!!

Wenzako wanatizama mbaaliii.... a hundred years to come!
 
1623845301757.png

I LOATHE STUPID SLUGS! 🤮🤮🤮💥
 
Kimtu kikishamiliki simu ya kioo basi kinajifanya kimeshakuwa kisomi na chenye weledi!

Wengine humu hata kuandika hamjui lakini mpo tu mnajitutumua hovyo hovyo.

Dunia ni zaidi ya uijuavyo binti. Tunaijua kuliko wengi wenu humu vinyangarika msiojua chochote zaidi ya kula na kujamba.

Ati sitaki majani ya muarobaini nataka chanjo ya ujeremani!!!

Piga muarobaini wako swaafiii kabisa, you will stay safe and healthy!

Kujitia tia tu usomi wa kuigiza hapa!

Ooohhh nataka chanjo ya jeremani!!

Chanjo ya jeremani???? Tengeneza ya kwako halafu tutaiita "santesandy vaccine" au kwa kimang'ati tutasema ni "chanjo ya santesandy".

Si unajiita msomi wewe?

Unalilia lilia tu machanjo ya watu hujui hata yametoka wapi unabugia bugia tu hovyo hovyo!
Mkuu umeongea pwenti. Hata mimi nawashangaa hawa wanaomlaumu huyo mbunge. Kwa kifupi anataka Tanzania wajitafutie dawa wenyewe baada ya kuona hizo chanjo za wazungu hazifanyi kazi na kibaya zaidi zinaleta side effects.
Hivi lini sisi waafrika tutaanza kujitegemea,tujaribu kujitegemea jamani sio kila kitu tutegemee kaka zetu. Tusiogope kukosea ndio kujuwa njia huko. Hawa hawa wanaopinga ndio was kwanza kulalamika ukosefu wa ajira na kuilamu serekali kwanini serekali haina ubunifu kulitatua hili tatizo. Hapa nachokiona watu wanakomenti kisiasa na kichuki. Huyo mbunge wanamchukia kwa hiyo mawazo yoyote atakayoyatoa hata yawe mazuri bado watampinga tu. Serikali inafaa kutambua huu ndo muda wa kuanza kujitegemea na kuunda upya mifumo ya elimu. Watanzania kwenye mambo ya msingi tuache siasa.
 
Mkuu kwa taarifa yako kunawat wanalipwa hum kukubali na kukataa kila kitu kizuri wao kila Jambo liliotendwa awam ya 5 ni baya... Wanatamni kwenda kulima na kuharb miundombinu yote iliyo anzishwa na hawatki kusikia kizur...

Harafu Sasa hakuna hoja ila tu watimize kusudi la kuiona awam5 haikufanya chochote..

Polepole ametujulisha tu kuwa huko ndani si kuzuri wanarumbana... Na mwisho wa siku wataanza kutajana..

Hebu tazama watu wanavo lazimisha kuwepo kwa c19 yaan utafkr ndo umegunduliwa Jana.. et barakoa unajiuliza hawa waishi hii nchi au wao wananchi nyingine huwaelewi Kabisa..

Mwisho unanyamaza tu kuwashangaa na hayo majib et ya kitaalam..
 
Hii mitandao siku hizi inazaa "mob thinking".

Wengine wafuata upepo tu wanasombwa kama msafara wa nyumbu. Ni hatari sana.

Hata serikali ikitaka kupitisha ajenda zake OVU ni rahisi sana kwa sababu ya mitandao hii.

Unawa-brainwash tu hawa nyumbu!

Serikali inavuna mapesa mengi ya ruzuku na mikopo kutoka kwenye hii MIRADI ya chanjo na corona.

Tusipojitizama tutakuwa WATUMWA WA MAPESA ya wazungu na kupuuza athari pana zitakazotukumba hapo baadae.

Wazungu sio kwamba wanatupenda kiasi hicho.

Lazima tujifunze kujitegemea. Vinginevyo tutafanyiwa ujasusi wa kila aina.
 
Hii mitandao siku hizi inazaa "mob thinking".

Wengine wafuata upepo tu wanasombwa kama msafara wa nyumbu. Ni hatari sana.

Hata serikali ikitaka kupitisha ajenda zake ovu ni rahisi sana kwa sababu ya mitandao hii.

Unawa-brainwash tu hawa nyumbu!

Serikali inavuna mapesa mengi ya ruzuku na mikopo kutoka kwenye hii MIRADI ya chanjo na corona.

Tusipojitizama tutakuwa WATUMWA WA MAPESA ya wazungu na kupuuza athari pana zitakazotukumba hapo baadae.

Wazungu sio kwamba wanatupenda kiasi hicho.

Lazima tujifunze kujitegemea. Vinginevyo tutafanyiwa ujasusi wa kila aina.
Point.... Kama unajuice karbu chukua ntalipia mkuu
 
Mkuu kwa taarifa yako kunawat wanalipwa hum kukubali na kukataa kila kitu kizuri wao kila Jambo liliotendwa awam ya 5 ni baya... Wanatamni kwenda kulima na kuharb miundombinu yote iliyo anzishwa na hawatki kusikia kizur...

Harafu Sasa hakuna hoja ila tu watimize kusudi la kuiona awam5 haikufanya chochote..

Polepole ametujulisha tu kuwa huko ndani si kuzuri wanarumbana... Na mwisho wa siku wataanza kutajana..

Hebu tazama watu wanavo lazimisha kuwepo kwa c19 yaan utafkr ndo umegunduliwa Jana.. et barakoa unajiuliza hawa waishi hii nchi au wao wananchi nyingine huwaelewi Kabisa..

Mwisho unanyamaza tu kuwashangaa na hayo majib et ya kitaalam..
Dah! Kama haya kweli basi tutachelewa sana
 
Bado ana element za mwendazake. Maana yeye kila kitu jeshi. Korosho Jeshi, kuteka maduka ya fedha Jeshi, Kuiba uchaguzi Jeshi. Yaani yeye yuko kwenye Jeshi jeshi jeshi jeshi. Apuuzwe tu. Corona sio homa ya kideri ya kuku.
Katibu mwenezi msitaafu wa ccm na mbunge wa kuteuliwa wa bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania bwana Humphrey Polepole amehoji ni kwa nini watanzania wanataka kuacha mbinu za asili zilizotusaidia mwaka jana kupambana na corona na tukaibuka na mafanikio makubwa kiuchumi na kijamii?

Bwana Polepole ametolea mfano wa nchi zote zilizojaribu kupambana na Corona kwa kufuata mfumo wa kimagharibi mwishoni wa mwaka 2020 ziliishia kupata ukuaji hasi wa uchumi kwenye nchi zao!
Polepole amesema ni Tanzania tu ndiyo iliyopata ukuaji wa uchumi chanya kwenye nchi zote za Afrika mashariki. Sasa kwa nini sisi watanzania tunaona aibu kujivunia hizo mbinu za asili? Amehoji mh Polepole.
Mwaka jana tulipambana na Corona kwa kutumia njia tatu.
1. Kumtanguliza Mungu mbele
2. Kufuata mbinu mbalimbali tunazoshauliwa na watalaamu wetu
3.Kuchapa kazi kwa bidii
 
Mbunge wa Kuteuliwa na Rais, Humphrey Polepole leo Bungeni ameongelea suala la Covid na kusema wameambiwa Corona inaendelea. Polepole ametoa Rai kujenga kiwanda cha mimea dawa kulingana na Ilani ya CCM.

Polepole amesema watu watatibiwa na kupona na mimea dawa lakini Rai yake kiwanda hicho kisiwekwe Uraiani badala yake kifichwe kwenye Kambi ya Jeshi ambapo hakuna mtu anaweza kufika kwani ni Vita na wakijua zinatengenezwa dawa kupambana na Uviko watahujumu.

"Nimesikia wakubwa jana wanasema tupewe chanjo Bilioni moja tuje kudungwa hapa, nilikuwa natoa Rai tuwekeze vya kwetu, local solution for local problem" Alisema Polepole

Huyu bado anawaza mizizi tu, kiwand kipelekwe jeshini kwani tunatengeneza mbomu? Anawaza kizamni bado.
 
Mbunge wa Kuteuliwa na Rais, Humphrey Polepole leo Bungeni ameongelea suala la Covid na kusema wameambiwa Corona inaendelea. Polepole ametoa Rai kujenga kiwanda cha mimea dawa kulingana na Ilani ya CCM.

Polepole amesema watu watatibiwa na kupona na mimea dawa lakini Rai yake kiwanda hicho kisiwekwe Uraiani badala yake kifichwe kwenye Kambi ya Jeshi ambapo hakuna mtu anaweza kufika kwani ni Vita na wakijua zinatengenezwa dawa kupambana na Uviko watahujumu.

"Nimesikia wakubwa jana wanasema tupewe chanjo Bilioni moja tuje kudungwa hapa, nilikuwa natoa Rai tuwekeze vya kwetu, local solution for local problem" Alisema Polepole

Hivi sio huyu alieamuru korona ikae kwa adabu Tanzania na akajitapa kwenye media kwamba korona imemtii
 
Mbona ameongea point nzuri tu.....
au una wivu nae.....
ama huna akili
Inategemea mental abilities (hierarchical structure) ya msikikilizazaji , Kama ni narrow specific abilities kama alivyo Polepole utujua polpole ndie Carl Friedrich Gauss wa zama hizi, na kama ana general ability atajua Poleople ni big time & a space waster of the millenium.
 
Mbunge wa Kuteuliwa na Rais, Humphrey Polepole leo Bungeni ameongelea suala la Covid na kusema wameambiwa Corona inaendelea. Polepole ametoa Rai kujenga kiwanda cha mimea dawa kulingana na Ilani ya CCM.

Polepole amesema watu watatibiwa na kupona na mimea dawa lakini Rai yake kiwanda hicho kisiwekwe Uraiani badala yake kifichwe kwenye Kambi ya Jeshi ambapo hakuna mtu anaweza kufika kwani ni Vita na wakijua zinatengenezwa dawa kupambana na Uviko watahujumu.

"Nimesikia wakubwa jana wanasema tupewe chanjo Bilioni moja tuje kudungwa hapa, nilikuwa natoa Rai tuwekeze vya kwetu, local solution for local problem" Alisema Polepole

My God, ni msomi kiwango cja shahada ya pili. Anafikiria kiwanda kiwekwe jeshini! Huyu mtu ni hatari. Kwani raisi hawezi kutenguwa uteuzi wa mbunge aliyemteua?
 
Back
Top Bottom