#COVID19 Polepole ataka kiwanda cha dawa za mimea kupambana na Corona, aomba kikafichwe Jeshini

#COVID19 Polepole ataka kiwanda cha dawa za mimea kupambana na Corona, aomba kikafichwe Jeshini

My God, ni msomi kiwango cja shahada ya pili. Anafikiria kiwanda kiwekwe jeshini! Huyu mtu ni hatari. Kwani raisi hawezi kutenguwa uteuzi wa mbunge aliyemteua?
Yupo sahihi kabisa [emoji817] na ujue ndyo maana ujenzi wa nyumba au kiwanda huwa wanazungushia uwigo... Ikiwa utajenga tu bila msingi wa usiri hujuma ni lazima... Pole pole anakili kubwa.. he thinked seven steps ahead...
 
Mbunge wa Kuteuliwa na Rais, Humphrey Polepole leo Bungeni ameongelea suala la Covid na kusema wameambiwa Corona inaendelea. Polepole ametoa Rai kujenga kiwanda cha mimea dawa kulingana na Ilani ya CCM.

Polepole amesema watu watatibiwa na kupona na mimea dawa lakini Rai yake kiwanda hicho kisiwekwe Uraiani badala yake kifichwe kwenye Kambi ya Jeshi ambapo hakuna mtu anaweza kufika kwani ni Vita na wakijua zinatengenezwa dawa kupambana na Uviko watahujumu.

"Nimesikia wakubwa jana wanasema tupewe chanjo Bilioni moja tuje kudungwa hapa, nilikuwa natoa Rai tuwekeze vya kwetu, local solution for local problem" Alisema Polepole


Polepole acha ushamba, jeshi ndo kitu gani. Zama zimeshabadirika mambo ya kale ya kila kitu jeshi zineshapita, amka usingizini.

After all hawa wanajeshi wana a lot of limitations kwenye nambo mengine, wanajeshi tuwaache tu waendelee na mambo yao ya majeshini.
 
Mkuu kwa taarifa yako kunawat wanalipwa hum kukubali na kukataa kila kitu kizuri wao kila Jambo liliotendwa awam ya 5 ni baya... Wanatamni kwenda kulima na kuharb miundombinu yote iliyo anzishwa na hawatki kusikia kizur...

Harafu Sasa hakuna hoja ila tu watimize kusudi la kuiona awam5 haikufanya chochote..

Polepole ametujulisha tu kuwa huko ndani si kuzuri wanarumbana... Na mwisho wa siku wataanza kutajana..

Hebu tazama watu wanavo lazimisha kuwepo kwa c19 yaan utafkr ndo umegunduliwa Jana.. et barakoa unajiuliza hawa waishi hii nchi au wao wananchi nyingine huwaelewi Kabisa..

Mwisho unanyamaza tu kuwashangaa na hayo majib et ya kitaalam..
Sisi tunachojua dhalim hayupo tena duniani basi.
 
vaa majani urudi enzi za ujima.
Inaonyesha jinsi gani huna akili [emoji1787][emoji1787][emoji1787] khaa unafikiri Bila wazungu tusingefikja huko mbona wazungu hawavia vitenge kama Waafrika kama wao ndio waligundua nguo.. Ukianza jiuliza maswali madogo kama hayo tutaanza ongea mambo mazito
 
Mbona unaruka swali bwana mkubwa, we nipe tu reference ya hao wanasiasa wakubwa duniani ambao walikuwa wanajeshi
Aliyemwachia kijiti mwendazake ni mfano wa kizalendo, wakuu wa mikoa wengi tu wamepita huko.
 
Eti ni vita! Bado ana msongo wa mawazo huyu chakubanga.

Yaani hamjui hata adui yake anaepambana nae, badala ashauri nguvu za kupambana na korona anawaza vita na mabeberu tu ambao bahati mbaya nao wana pambana na korona hiyo hiyo!

Hawa jamaa waambiwe ujinga wa kutuaminisha vita na tupo vitani ili watupige hela na kutufanya wanyonge haupo tena
[emoji106][emoji106][emoji106][emoji817]
 
Inaonyesha jinsi gani huna akili [emoji1787][emoji1787][emoji1787] khaa unafikiri Bila wazungu tusingefikja huko mbona wazungu hawavia vitenge kama Waafrika kama wao ndio waligundua nguo.. Ukianza jiuliza maswali madogo kama hayo tutaanza ongea mambo mazito
hizi akili zako za mwituni ndiyo zimesababisha juzi mmemzika Kinjikitile wenu huko chato.
 
Dawa nyingi za hospitali zinatokana na mimea naona wazo lake ni zuri ikiwa serikali kupitia taasisi zake kuendeleza/ kuwezesha tafiti nadhani local solution yaweza kuwa nafuu, well thought Comrade Polepole
 
Begani kwangu wewe unapajua?

Hata hao waliokudunga hayo machanjo ya begani walikuwa wajinga tu kama wewe ndio maana umeathirika akili!

You have been zombified and you think you are fine! Hata ukitaka kujamba unasikilizia kwanza mzungu amesema nini!

Ndio maana nchi inakuwa na mataahira wasioweza kutengeneza hata sindano mpaka waagize kutoka Chaina.

Ati chanjo ya bega!!

Wenzako wanatizama mbaaliii.... a hundred years to come!
Huna lolote Wewe mchawi, hata hiyo ‘hundred years to come’, uliyo maliza nayo, ni Kizungu!!
 
Mkuu umeongea pwenti. Hata mimi nawashangaa hawa wanaomlaumu huyo mbunge. Kwa kifupi anataka Tanzania wajitafutie dawa wenyewe baada ya kuona hizo chanjo za wazungu hazifanyi kazi na kibaya zaidi zinaleta side effects.
Hivi lini sisi waafrika tutaanza kujitegemea,tujaribu kujitegemea jamani sio kila kitu tutegemee kaka zetu. Tusiogope kukosea ndio kujuwa njia huko. Hawa hawa wanaopinga ndio was kwanza kulalamika ukosefu wa ajira na kuilamu serekali kwanini serekali haina ubunifu kulitatua hili tatizo. Hapa nachokiona watu wanakomenti kisiasa na kichuki. Huyo mbunge wanamchukia kwa hiyo mawazo yoyote atakayoyatoa hata yawe mazuri bado watampinga tu. Serikali inafaa kutambua huu ndo muda wa kuanza kujitegemea na kuunda upya mifumo ya elimu. Watanzania kwenye mambo ya msingi tuache siasa.
Sawa, jiunge na huyo kivumishi kipumbavu, na mbunge wenu mzee kijana, mjitegemee, lakini Tanzania ya sasa ipo sambamba na ulimwengu!
 
Inaonyesha jinsi gani huna akili [emoji1787][emoji1787][emoji1787] khaa unafikiri Bila wazungu tusingefikja huko mbona wazungu hawavia vitenge kama Waafrika kama wao ndio waligundua nguo.. Ukianza jiuliza maswali madogo kama hayo tutaanza ongea mambo mazito
Huna jambo kubwa lolote, Wewe ni racist wa kawaida tu!
 
Back
Top Bottom