#COVID19 Polepole ataka kiwanda cha dawa za mimea kupambana na Corona, aomba kikafichwe Jeshini

#COVID19 Polepole ataka kiwanda cha dawa za mimea kupambana na Corona, aomba kikafichwe Jeshini

Bado ana element za mwendazake. Maana yeye kila kitu jeshi. Korosho Jeshi, kuteka maduka ya fedha Jeshi, Kuiba uchaguzi Jeshi. Yaani yeye yuko kwenye Jeshi jeshi jeshi jeshi. Apuuzwe tu. Corona sio homa ya kideri ya kuku.
ANAJARIBU KULITONGOZA JESHI APINDUE NCHI, .... THESE CHICKEN IQS!
😅
1623855138964.png
 
Mbunge wa Kuteuliwa na Rais, Humphrey Polepole leo Bungeni ameongelea suala la Covid na kusema wameambiwa Corona inaendelea. Polepole ametoa Rai kujenga kiwanda cha mimea dawa kulingana na Ilani ya CCM.

Polepole amesema watu watatibiwa na kupona na mimea dawa lakini Rai yake kiwanda hicho kisiwekwe Uraiani badala yake kifichwe kwenye Kambi ya Jeshi ambapo hakuna mtu anaweza kufika kwani ni Vita na wakijua zinatengenezwa dawa kupambana na Uviko watahujumu.

"Nimesikia wakubwa jana wanasema tupewe chanjo Bilioni moja tuje kudungwa hapa, nilikuwa natoa Rai tuwekeze vya kwetu, local solution for local problem" Alisema Polepole

Yeye si alisema ni bora corona kuliko chadema???leo hii anataka tena dawa ya kutibu hiyo corona???kweli nyani haoni mkundule
 
Unaweza kuficha kiwanda mbali mabeberu washindwe kufika!!
Iran wana kiwanda cha nuclear wamekificha lakini mabeberu wanafahamu.
Huyu Polepole mweupe sana, bora aendelee kukaa kimya siku iingie
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] Iran na Majirani wote wa Israeli wameshindwa kuficha nyuklia na wataalamu wao ndio polepole aje na mbwembwe za eti kuficha kiwanda cha tunguli?
 
Is this a local problem?this stupid modderf**k is not serious!,this is an international problem.
 
Acheni wabunge wazalendo walete mawazo ya kitaifa. Msipayukepayuke kama mbayuwayu
 
Tartiiiibu mtakuja kukuta kumbe Magufuli=mama Samia, sijui Mtajinyonga a mtaenda lamba ndimu
 
Lamaana alilopaswa kuzungumza ni kwa Serikali kupitia JWTZ iwekeze sana kwenye research kuanzia za magonjwa, silaha na teknolojia kwa ajili ya usalama na maendeleo ya nchi yetu.... Hivyo vyote vifanyike kwa usiri kwenye makambi yetu tukihusisha watalaam wa jeshi pamoja na raia..
..majuzi niliona habari za jeshi letu kupokea misaada toka kwa Marekani na Ujerumani.

..na tulipokea misaada hiyo wakati VITA DHIDI YA MABEBERU imepamba moto kweli kweli.
 
Sawa, jiunge na huyo kivumishi kipumbavu, na mbunge wenu mzee kijana, mjitegemee, lakini Tanzania ya sasa ipo sambamba na ulimwengu!
Mkuu naomba unijibu. Tanzania kujitengenezea dawa yake shida iko wapi? Mbona India imejitengenezea chanjo hujalalamika?
Mpaka lini tutaacha kutegemea nchi zingine?
 
Mbunge wa Kuteuliwa na Rais, Humphrey Polepole leo Bungeni ameongelea suala la Covid na kusema wameambiwa Corona inaendelea. Polepole ametoa Rai kujenga kiwanda cha mimea dawa kulingana na Ilani ya CCM.

Polepole amesema watu watatibiwa na kupona na mimea dawa lakini Rai yake kiwanda hicho kisiwekwe Uraiani badala yake kifichwe kwenye Kambi ya Jeshi ambapo hakuna mtu anaweza kufika kwani ni Vita na wakijua zinatengenezwa dawa kupambana na Uviko watahujumu.

"Nimesikia wakubwa jana wanasema tupewe chanjo Bilioni moja tuje kudungwa hapa, nilikuwa natoa Rai tuwekeze vya kwetu, local solution for local problem" Alisema Polepole

Jeshi jeshi, kujenga ukuta jeshi, kununua korosho jeshi, kulinda bank jeshi, mlitaka kuweka mabasi ya jeshi kusafirisha abiria.
Ondoa upuuzi wako hapa.

Hivi hiyo Vita ipigwe Tanzania tu mna nini zaidi ya nçhi nyingine Africa?
Kiwanda ni Cha watanzani kijengwe uraiani
 
Duniani koote, wanasayansi wakubwa wanapatikana jeshini. Kwa kiwango fulani yuko sahihi. Tunapaswa na sisi kufanya kitu kuhusu janga hili. Siyo kusubiria tu. Jana nilikuwa nasikiliza DW Radio wanasema Tanzania wameanza kufanya utafiti kutumia panya kubaini maambukizi ya uviko-19. Walifanikiwa kwa kiasi kikubwa kwenye TB, sasa wanafanya kwenye uviko 19. Wataalam wa SUA wanasema mafanikio yanaonekana. Panya wataweza kufanya kazi hiyo na kwa ufanisi.
... isije ikawa safari hii wakaunda kirusi hatari zaidi kwa kupata 'hybrid' ya virus wa panya na wa binaadam na kutuletea COVID-20++ ...!
1623856441455.png
 
Kuna kitu kinaitwa "Lateral thinking", kinadai kuheshimu mawazo tofauti na ya kwako. Huyo mbunge ana hoja!. Chanjo za Astrazeneca na Johnson Johnson zote zina matatizo ya kusababisha damu kuganda;hazifai lakini pia hazihitaji kuhifadhiwa kwenye baridi kali pengine ndiyo sababu Astrazeneca ndizo zinazoletwa afrika. Zimetiliwa shaka marekani na ulaya ila kwa sababu za kibiashara zinaendelea kutumika lakini zinaua!. Chanjo hizi hazizui maambukizi ya virusi ila usiugue sana unapopata virusi na hii haina garantii. Sasa hapo kwa nini usitumie dawa zako? Dawa ya kwanza ni kumuomba Mungu na amejidhihirisha na tumeona kwa CORONA hata kwa JOBO!.Tutumie vyetu huku tukiibia na vya wazungu.

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 
Mkuu naomba unijibu. Tanzania kujitengenezea dawa yake shida iko wapi? Mbona India imejitengenezea chanjo hujalalamika?
Mpaka lini tutaacha kutegemea nchi zingine?
Huwezi kujitengenezea dawa kwa kujitenga na dunia ama kwa nia ya ku-show off kwamba na Sisi tunaweza! India ni waasisi wa tiba za madawa, hata Magharibi walikopi kwao, lakini msingi wa sayansi yao ya madawa si kutaka kujiondoa ‘ulimwenguni!’
Na hiyo kujitegemea yenu ni nini? Nyungu, pili pili na majani ya mapera?
 
Eti ni vita! Bado ana msongo wa mawazo huyu chakubanga.

Yaani hamjui hata adui yake anaepambana nae, badala ashauri nguvu za kupambana na korona anawaza vita na mabeberu tu ambao bahati mbaya nao wana pambana na korona hiyo hiyo!

Hawa jamaa waambiwe ujinga wa kutuaminisha vita na tupo vitani ili watupige hela na kutufanya wanyonge haupo tena
... wamezoea mahera ya burebure ambazo, kwa kiingereza cha Mang'waza, tunaziita 'JA BHOYO'!
1623856820551.png
 
Back
Top Bottom