#COVID19 Polepole ataka kiwanda cha dawa za mimea kupambana na Corona, aomba kikafichwe Jeshini

Polepole Corona is not a local problem, wake up, it's a global problem, and therefore it must be solved globally.
Kweli kabisa. Jamaa bado yuko kwenye awamu ya 5. Atakuwa yupo kwenye ndoto.... Bado hajaamini.
 
Jiwe aliwaharibu sana wapuuzi hawa na wakajenga 'iron curtain' kati ya raia na SERIKALI YAO kwa kutumia JESHI LA WANANCHI!
PATHETIC!
 
Polepole anaweza akawa sahihi, make mwendakuzimu mpaka anakufa vita ya kiuchumi vs mabeberu alikuwa hajaimaliza.
 
Mshitueni huyo polepole mwambie kumekucha Yale ya cjui vita vya kiuchumi ishapitwa na wakati UTOPIAN THINKER
 
Mkuu naomba unijibu. Tanzania kujitengenezea dawa yake shida iko wapi? Mbona India imejitengenezea chanjo hujalalamika?
Mpaka lini tutaacha kutegemea nchi zingine?

..bora tungejenga viwanda vya kutengeneza madawa kuliko kununua midege / mi-dreamliner inayotutia hasara toka kwa mabeberu.
 
Mkuu naomba unijibu. Tanzania kujitengenezea dawa yake shida iko wapi? Mbona India imejitengenezea chanjo hujalalamika?
Mpaka lini tutaacha kutegemea nchi zingine?
Dawa au chanjo haitengenezwi kwa matamko ya wanasiasa. Kwa kifupi hayo mambo yanafanywa kwa kutumia utaalam.
 
Polepole Corona is not a local problem, wake up, it's a global problem, and therefore it must be solved globally.
Amewaambia wote waliofuata global solution wamefail and we are better off .mbona hamuelewi? Vi njia vyetu vile vile vimetuweka pahala Safi .nenda Uganda ukachungulie
 
Amewaambia wote waliofuata global solution wamefail and we are better off .mbona hamuelewi? Vi njia vyetu vile vile vimetuweka pahala Safi .nenda Uganda ukachungulie
Uganda waliambiwa Mungu ana kazi nyingi za kufanya.Tanzania pekee dunia nzima ndiyo iliweka imani katika Mungu na kumuomba na tukafanikiwa kwa hiyo tusibeze. Huku kwenda na dunia ni kuzipata pesa zao tu wanazotoa lakini tiba ni kufuata ushauri wa kisayansi na kumuomba Mungu tu.

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 
Yupo sahihi [emoji817] na huo ndo ukwel wote
yaani wewe na pole pole hata akili za kuvukia barabara hamna nahisi
Yaani mbaka leo hii anaamini corona inatibiwa na hayo madawa ya Asili?!
Upuuzi Kama huu utaukuta mataga fc kama hio njia aliyoshauri ingekua na Tija wachina wangekua wameimaliza corona mapema maana kwa miti shamba wao ndio the best kuliko hata watu pori toka chattle mabatini!
 
Hivi hii njia ya kutumia panya ni ss ndo tuliivumbua au wenzetu weshawatumia miaka ya enzi za mbali yaaani?
 
Ninavyojua ni kuwa hakuna "dawa" ya corona mpaka sasa. Kirusi hiki hakina kinga au dawa zaidi ya kinga ya mwili wako na ndiyo maana ya chakula bora, virutubisho, mazoezi na kujikinga ( barakoa, social distancing, kunawa kwa sabuni au sanitizer) na kupunguza viral load kwa kufukiza au kusukutua kwa maji ya chumvi. Dawa zinasaidia kwa kiasi kikubwa lakini kirusi kinaendelea kujibadili badili na utafiti bado unaendelea huko kwa wenzetu walioendelea.sina hakika kama huku tunaendelea na utafiti wa miti shamba.

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 
Ni ngumu kuelewa ya Polepole kwa mtu anayeamini kwamba Mungu aliletwa Africa na wazungu na waarabu.
 
Kwani ile mashine ya nyungu pale muhimbili bado ipo na inafanya kazi?
 
Hakuna shida ya kuficha, ilihali kinatoa product zilizo bora,na Wala sio Jambo jipya that's

Kuna chinise medicine wanatumia dawa za asili ila watu wanasomea pia, hata india ipo

Na sisi tunaweza anzisha tanzania medicine, watu wasomee pia izo dawa za asili ,sio kukurupuka kwamba mnaanzisha kiwanda Cha kutengeneza dawa za asili mnawatumia ndugu zetu wa ndagu, lazima pawepo na programme za watalam husika kujua basic katika mwili wa binadam, Mambo mazuri pia ni gharama ,

Dunia inaenda kasi hakuna miteremko kwamba Pole pole anajua dawa ya kichomi Basi peleka kiwandani chakata then mpe Polepole atibu big No lazima ajue au awe na ufaham wa ABC kuhusu mwili wa binadam na pawepo regulator wa dawa izi vinginevyo ni tatizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…