#COVID19 Polepole aweka msimamo wake wa kutochanjwa

Mtu yeyote mwenye umbo dogo sana na hujui kama ni mtoto, mtu mzima au mzee kiumbo, huwa kichwani wana matatizo sana, can't be trusted
 
Naomba kujua ni kwanini wale wanaotumia Dawa za ARV's ( Waathirika ) wa UKIMWI ( Dally Kimoko ) hasa hapa Mkoani Dar es Salaam na Dodoma niliobahatika Kukutana nao wanapinga na hawataki kabisa Kuchanjwa wala kuusikia Msamiati wa Kulazimishwa ( Kulazimishana ) Kuchanjwa?
 
Uko nyuma sana. Tuko Phase IV. Ni ya monitoring real vaccination. Hakuna placebo hapo au dada yake
 
We Màtaga Acha ujinga,wanatakiwa juchanjwa ni wale wenye miaka 50+ au wenye changamoto mbalimbali.
He huyo Polepole wako ana miaka 50.
Ukiona amesema mwenyewe kuwa hatochanjwa basi jua ni 50+
 
Tangu uzaliwe hadi leo kuna vaccines ngapi umewhai kuchanjwa? Kuna vaccine unachanjwa ukizaliwa tu, wala hata wazazi wako hawajui. Kuna vaccine nyingi mno, ya ugonjwa wa Njano, Malaria, tetenasi, reprosy etc etc etc
Hizo chanjo za utotoni moja wapo ni kifua kikuu ambacho kinaenezwa kwa hewa kama corona. Sasa jiulize kwa nini miaka yote hukuambiwa uvae barakoa baada ya kupata chanjo ya kifua kikuu ila unaambiwa uvae ukipata chanjo ya corona?

Kama kweli unaijua Elementary Biology kama unavyomnanga mwenzako basi utaona kuna utata mkubwa hapa.
 
Viongz wote inabd walabwe chajo na hasa hawa wenye Rangi ya kisanvu

Sis wengne iwe kundi la hiari
 
Angekua mwenezi saivi angekua anaeneza propaganda za umuhimu wa kuchanjwa chale za kibeberu, akiwa nje ya mfumo anakuwaga kichwa sana
 
Mtu yeyote mwenye umbo dogo sana na hujui kama ni mtoto, mtu mzima au mzee kiumbo, huwa kichwani wana matatizo sana, can't be trusted
Dah!....haya sio maneno mazuri ya kumlenga Comred katibu mwenezi mstaafu, omba radhi
 
Ana haki ya kurochanjwa,soma hii!.Inatisha



 
Hatushangai ndio wale wale watoto wa mwendazake lakini ni haki yake tusimlaumu ni raia wa kawaida kama cc tulioamua kuchanja.
 
Polepole Hana akili huyo, Ana akili ya kuku. I can’t wait 2025 to see him unemployed. The guy is a good example of a moron. Good on Samia to get rid of him.
Mwime-Kahama!Stop your rubish.Humphrey is highly intellectual and distinguishable person.I know him since we sat on the same bench in our early childhood education.And I suggest that those with authority should take very seriously whatever he says concerning the people and interests of this nation.And I believe that Humphrey is after nothing but seeing this country and its people moving steps further.
 
Haya ndiyo maneno ya mbunge wa kuteuliwa mh Polepole.

Msiogope! Hakuna kitu kiuacho kama hofu! Tuchape kazi, tupate mitonyo tule vizuri! Maisha lazima yaendelee.

Chanjo ni hiyari ila mimi sitachanja" Ndg. @hpolepole, Mbunge wa Kuteuliwa na Rais.

Tukisema kwenye msafara wa mamba nakenge wapo tunakuwa na maana.

 
Baada ya kunyang'anywa V8 naona akilizake kamili zimemrudia...😂😂
 
Hayo mashati bora angeacha nje masela wachukue.Yeye atavalia wapi sasa hivi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…