Polepole: Bulembo si tu ni mhuni bali pia ni tapeli

Polepole: Bulembo si tu ni mhuni bali pia ni tapeli

Muhuni mmoja kawekwa hadharani.
"Tuliwaheshimu Polepole na mwenzake kutoka CUF anaitwa Bashiru kwa sababu tu aliyewateuwa tulikuwa tunamheshimu, Magufuli alimteuwa Bashiru Kutoka Cuf kuja kutuhoji kuhusu mali za chama nikamgomea kunihoji nikamwambia yeye sio mwana CCM" Abdallah Bulembo.
Hapo kwenye red...kweli Bulembo ameekili yeye ni MHUNI!
 
Hapana tangu lini Mchungaji akahojiwa na Ustadhi kuhusu Ukristo.
 
Kupitia ukurasa wake wa Twitter Polepole ameandika hayo huku akidai hana hata huo muda wa kufanya mdahalo na na tapeli.

"...vilevile aliifilisi Jumuiya yetu moja ndani ya CCM."Ameandika Polepole.
fita ni fita muraaa... fita imefikia patamu !!

Polepole kosa lako kuwabakiza hawa wahuni ndani ya ccm, ulitakiwa uwafagie wote , unaona sasa wanavyokusumbua.
 
JamiiForums345385387.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
.. tapeli vs kiroboto; ngoma inogile!
 
Kila ovu litakalofanyika gizani dhidi ya wenye haki litafichuliwa peupe na bado tutasikia mengi Mungu atazidi kuwaumbua. Tusubiri
 
polepole amefanya mpaka faru Ndugai haonekani tena mtandaoni
 
Back
Top Bottom