GE2025 Polepole: CCM wanakwenda kwenye Uchaguzi sababu wana uhakika kushinda kwakuwa kuna mifumo inawabeba

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Polepole aendelee kupiga spana mpaka majambazi waliomo ndani ya mtandao wa majambazi wapoteane!
 
Wizi wa kura sio tuhuma ngeni dhidi ya CCM.
Zipo miaka yote na sidhani kama tunapaswa kushangaa na kuona kitu kigeni.

Kigeni ni kuona watanzania wanaingia barabarani na kudai haki zao bila kutegemea blah blah za wanasiasa ambao nao ni wanufaika wa mifumo mibovu iliyopo.

HP ni part and parcel wa kilichopo na hapaswi kuaminika na ni upumbavu kumuamini HP maana ni yake yake ya EL.
Ina maana EL alikuwa halijui hili kaja kulijuwa HP.
Mbona Lipumba na Dr Slaa mpaka Lyatonga marehemu walishalalamikia juu ya kuibiwa kura?
Ni upumbavu kuendelea kusikiliza hadithi hizi Kila siku bila kuchukua hatua au kuendelea kuomba hisani.
Hakuna jipya kwenye siasa za Tanzania na wizi wa kura wa CCM.

ndani ya mitaa ya Benghazi Libya.
 

Ninakazia:

GE2025 - Polepole: CCM wanakwenda kwenye Uchaguzi sababu wana uhakika kushinda kwakuwa kuna mifumo inawabeba
 
Polepole anatapatapa. Yeye na genge lake la awamu ya 5 wasidhani kila awamu ina mashetani kama wao waliopora uchaguzi 2020. Atulie tuko awamu ya 6.
 
Hapa Hoja ,ni mwanaCCM mwandamiza kupigilia msumali .


Unless wewe ni wale CCM wanufaika, mnajaribu kufifisha aliyoyasema Leo POLEPOLE.
 
H
Hii ni tofauti kabisa hizo za kina lyatonga lipumba nk zilikuwa hearsay Sasa mzigo huu wa polepole ndio haswa wenyewe.
 
Vipi amejua baada yakumtoa mkono kwenye sahani?
Kama kweli upo basi muasisi wa mfumo niyeye kenge huyu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…